Anaandika Tundu Lissu kuhusu kurudi kwa wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

Ushauri wangu kuhusu suala hili:

1. Ziwekwe hadharani barua za maombi ya msamaha zikiwa na sababu zilizowafanya kufanya walioyafanya pamoja na kukubali masharti yeyote watakayowekewa.

2. Kwa sababu kuomba msamaha ni kukiri kuwa walifanya makosa basi itabidi iongozane na barua ya kujiuzuri kutoka Bungeni.

3. Wapewe nafasi ya kujieleza mbele ya vikao vyote vitakavyoshughulikia maombi yao.

4. Kama watakubaliwa ombi lao wazuiwe nafasi yeyote ya uongozi ndani na nje ya chama kwa miaka mitatu. Uanachama wao uwe provisional ambao utathibitishwa baada ya miaka mitatu.

Amandla.
 
Tuliwaonya kuwa laana ya kushangilia kifo cha Magufuli ni kubwa.

Baada ya miaka 3 mnayo hiyo amani mliyosema mtapata? Hamtekwi tena? Hamshindwi tena kwenye chaguzi? Watu hawakimbii chama chenu tena?

Na laana iwatafune milele nyumbu nyie
Acha mawazo mgando huyo magufuri amekuwa alikuwa ni Baba wa kila mtu mpaka aweze kutoa laana Kwa kila mtu
 

Kichekesho hiki tuma kwa nyumbu mwingine
 
Pumba tupu, mafisadi na majizi yapo ccm huku yakilindwa na dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…