Anachofanya huyu mchumba wa rafiki yangu ni sahihi?

Anachofanya huyu mchumba wa rafiki yangu ni sahihi?

Labda mimi ndo nina mtazamo hasi, huyu rafiki yangu Nakaa naye ghetto moja, Ingawa vyumba tofauti, Ana mchumba wake aliemaliza chuo Mwaka huu, huyu kidume ameajiriwa, ni mwalimu wa sekondari,

Kiukweli huyu jamaa anampenda sana huyu mdada, na ana malengo na huyu mdada, na ashamtambulisha huyu mdada hadi kwao..hata nikiwa na huyu mshkaji, msela anasema alitumia miaka miwili hadi kumpata huyu mdada, na anamsifia sana huyu mdada.

KINACHONISHANGAZA:
Mdada amemaliza chuo hajaajiriwa, ila kila mara akija ghetto kwa huyu mwanaume, mwanaume ndo ataosha vyombo, atapika, atafanya usafi, mdada hagusi chochote, hata kumsaidia jamaa kupika, yani mdada akija ghetto analiwa mzigo, hela anapewa, chakula anapikiwa Wanakula, halafu huyoo mdada anasepa.

Yani mwanamke unakuja kwa boyfriend aliekutambulisha kwao, mko kwenye uhusiano wa mda mrefu, tena unaonukia ndoa siku zijazo, unashindwa Walau hata kusaidia kupiga deki ghetto la Mwanaume wako, au kumpikia???? sasa najiuliza

1) huyu mdada ni mvivu?
2)hapendi kupika? Hajui kupika?
3) anamchukulia jamaa kama mwanaume wa kupita??

Nauliza hivi kwasababu baadae hata mm yanaweza kunikuta yanayomkuta huyu jamaa hlf nisijue maamuzi ya kufanya.

Wenye uzoefu na hili mnipe mawazo yenu.
Tafuta pesa acha kuingilia mambo ya watu
 
Anakuja kufanya matusi sio kupiga deki

Kwani huyo mwanaume akipiga deki na kupika jua halitoki?????


Halafu mahaba ya watu hayakuhusu ni yao na utaratibu wao!!!!
 
Hilo halishangazi.

Kuna jamaa yangu alikuwa na mwanamke, alimpenda mpaka akawa ndondocha.

Imagine, mwanamke anaenda kujisaidia. Akishamaliza, anamuambia 'baby njoo nitawaze'.
Jamaa anaenda, anamtawaza alafu anaflash mzigo. 😂😂😂

Kisa nini, demu kaweka mikucha mirefu, hivyo hataki kuchafua kucha zake.

Jamaa aliponiomba ushauri, nikamuambia endelea naye. Ipo siku utaambiwa unyonye nya.

Baada ya jamaa kumkoromea, mwanamke akakata kucha zote. Anafanya usafi, anapika na kufua. Usista duu kule.
😅😅😅
 
anachofanya ni sawa kabisa, yeye hajawa mke bado kwanini aanze kujipa majukumu yasiyomuhusu? kutambulishwa sio ndoa. Hata mimi kabla sijaolewa nilikuwa hivyo kwa bf wangu ambae ndie mume wangu sasahivi na nilimwambia kabisa mimi sio mvivu hakuna kazi inayonishinda ila kamwe siwezi kumfanyia mwanaume ambae sio mume wangu na alielewa vizuri tu, uzuri yeye alipanga nyumba nzima kila kitu ni ndani kwa ndani kwahyo majirani wa aina yako hawakuwa wanaona kinachoendelea
 
Mkuu achana na mambo za watu,Mimi mke wangu nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miezi sita ,kwa muda wote huo alikuwa akija kwangu hapiki,hafui nguo zangu Wala kuosha vyombo,Cha ziada maji ya kuoga nilikuwa nampelekea bafuni.

Acha kufuatilia mahusiano ya watu,anzisha na wewe ya kwako !!!
 
Mwanangu John alikuwa anatoka na kanga amejifunga kiunoni anamfulia Shemu mpka nguo zake



Baadae alilewa akatuhadithia Shemu anampa mpka buza kwa Lulenge mpka leo tukamtunga jina John mpalange sa we huwezi jua mwenzako anapewa nini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom