Anachofanya huyu mchumba wa rafiki yangu ni sahihi?

Labda mimi ndo nina mtazamo hasi, huyu rafiki yangu Nakaa naye ghetto moja, Ingawa vyumba tofauti, Ana mchumba wake aliemaliza chuo Mwaka huu, huyu kidume ameajiriwa, ni mwalimu wa sekondari.

Kiukweli huyu jamaa anampenda sana huyu mdada, na ana malengo na huyu mdada, na ashamtambulisha huyu mdada hadi kwao..hata nikiwa na huyu mshkaji, msela anasema alitumia miaka miwili hadi kumpata huyu mdada, na anamsifia sana huyu mdada.

KINACHONISHANGAZA:
Mdada amemaliza chuo hajaajiriwa, ila kila mara akija ghetto kwa huyu mwanaume, mwanaume ndo ataosha vyombo, atapika, atafanya usafi, mdada hagusi chochote, hata kumsaidia jamaa kupika, yani mdada akija ghetto analiwa mzigo, hela anapewa, chakula anapikiwa Wanakula, halafu huyoo mdada anasepa.

Yani mwanamke unakuja kwa boyfriend aliekutambulisha kwao, mko kwenye uhusiano wa mda mrefu, tena unaonukia ndoa siku zijazo, unashindwa Walau hata kusaidia kupiga deki ghetto la Mwanaume wako, au kumpikia???? Sasa najiuliza.

1) Huyu mdada ni mvivu?
2)Hapendi kupika? Hajui kupika?
3) Anamchukulia jamaa kama mwanaume wa kupita??

Nauliza hivi kwasababu baadae hata mm yanaweza kunikuta yanayomkuta huyu jamaa hlf nisijue maamuzi ya kufanya.

Wenye uzoefu na hili mnipe mawazo yenu.
Usimize head yako.Huyo binti bado ni samaki anayehitaji kulishwa chambo zaidi asishtuke.Ngoja waingie kwenye ndoa ndiyo uhukumu.
 
Labda mimi ndo nina mtazamo hasi, huyu rafiki yangu Nakaa naye ghetto moja, Ingawa vyumba tofauti, Ana mchumba wake aliemaliza chuo Mwaka huu, huyu kidume ameajiriwa, ni mwalimu wa sekondari.

Kiukweli huyu jamaa anampenda sana huyu mdada, na ana malengo na huyu mdada, na ashamtambulisha huyu mdada hadi kwao..hata nikiwa na huyu mshkaji, msela anasema alitumia miaka miwili hadi kumpata huyu mdada, na anamsifia sana huyu mdada.

KINACHONISHANGAZA:
Mdada amemaliza chuo hajaajiriwa, ila kila mara akija ghetto kwa huyu mwanaume, mwanaume ndo ataosha vyombo, atapika, atafanya usafi, mdada hagusi chochote, hata kumsaidia jamaa kupika, yani mdada akija ghetto analiwa mzigo, hela anapewa, chakula anapikiwa Wanakula, halafu huyoo mdada anasepa.

Yani mwanamke unakuja kwa boyfriend aliekutambulisha kwao, mko kwenye uhusiano wa mda mrefu, tena unaonukia ndoa siku zijazo, unashindwa Walau hata kusaidia kupiga deki ghetto la Mwanaume wako, au kumpikia???? Sasa najiuliza.

1) Huyu mdada ni mvivu?
2)Hapendi kupika? Hajui kupika?
3) Anamchukulia jamaa kama mwanaume wa kupita??

Nauliza hivi kwasababu baadae hata mm yanaweza kunikuta yanayomkuta huyu jamaa hlf nisijue maamuzi ya kufanya.

Wenye uzoefu na hili mnipe mawazo yenu.
Yawezekana huyo Dada anahisi akiyafanya hayo kabla ya ndoa atashuka thamani
 
Kosa kubwa limeanzia kwenye kufukuzia miaka miwili,
Halafu kipindi hicho alikuwa chuo,wahuni wa chuo wamemtumia halafu wakamtenda ndo ikabidi amkubalie jamaa yako ili kujipoza na si kwamba anampenda,
Kitakachofuata kwa jamaa yako ni maumivu makali ya kutendwa siku zijazo make hakuna mapenzi hapo
 
Mara zote mwanaume ndo huitaka ndoa kuliko mwanamke...na mwaume ukiona kaoa ama anataka kuoa ujue kasarenda ...
 
unaoa kwaajili ya mbunye au unaoa...kwaajili ya kufanyiwa kazi za ndani...!
 
Ukute kuna sehemu huyo dada anampkia,kumfulia na kumsafishia geto msela ambaye hana hata malengo nae, binafsi nimepitia hiyo situation namuonea huruma teacher.
 
[emoji117]pilipili usoila yakuwasha nini? (in makonde's voice)
[emoji117]mind your own fu*king business (in kanyewest's voice)
 
Ila hata mimi huwa iko ivo, ukija kwangu hakuna cha kufanya kazi ila huwa nafanya hivi kuepuka lawama za nilikuwa nakutoa kwake kwa kila kitu ila kaniacha
 
Hayo mahusiano hayana mdaa...na naweza kuyatabiria kuwa yana life span ya miez sita tuu...nna experienc inayokaribiana na hyo ila ckufikia kiwango hicho
 
Badhi ya wanaume humu wamezidi kuleta umbea wa mahusiano ya watu.

Mwingine alikaa restaurant kushuhudia wapenda nao wakiagiza maji ya buku,akauleta umbea humu[emoji1787][emoji1787].
 
Labda mimi ndo nina mtazamo hasi, huyu rafiki yangu Nakaa naye ghetto moja, Ingawa vyumba tofauti, Ana mchumba wake aliemaliza chuo Mwaka huu, huyu kidume ameajiriwa, ni mwalimu wa sekondari.

Kiukweli huyu jamaa anampenda sana huyu mdada, na ana malengo na huyu mdada, na ashamtambulisha huyu mdada hadi kwao..hata nikiwa na huyu mshkaji, msela anasema alitumia miaka miwili hadi kumpata huyu mdada, na anamsifia sana huyu mdada.

KINACHONISHANGAZA:
Mdada amemaliza chuo hajaajiriwa, ila kila mara akija ghetto kwa huyu mwanaume, mwanaume ndo ataosha vyombo, atapika, atafanya usafi, mdada hagusi chochote, hata kumsaidia jamaa kupika, yani mdada akija ghetto analiwa mzigo, hela anapewa, chakula anapikiwa Wanakula, halafu huyoo mdada anasepa.

Yani mwanamke unakuja kwa boyfriend aliekutambulisha kwao, mko kwenye uhusiano wa mda mrefu, tena unaonukia ndoa siku zijazo, unashindwa Walau hata kusaidia kupiga deki ghetto la Mwanaume wako, au kumpikia???? Sasa najiuliza.

1) Huyu mdada ni mvivu?
2)Hapendi kupika? Hajui kupika?
3) Anamchukulia jamaa kama mwanaume wa kupita??

Nauliza hivi kwasababu baadae hata mm yanaweza kunikuta yanayomkuta huyu jamaa hlf nisijue maamuzi ya kufanya.

Wenye uzoefu na hili mnipe mawazo yenu.
Huyo rafiki yako anajitengenezea bomu la siku za mbeleni. Kama anaweza.kufanya haya wakati wa uchumba jua kuwa ataendelea kuyafanya hata kwenye ndoa. Na akiacha hapo ndo ugomvi utaanzia. Bora amzoezi sasa hivi huyo binti maana sidhani kama ataweza kuendeleza hizo kazi.
 
Back
Top Bottom