Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabinti wenyewe ndio hawa wenye kucha ndefu halafu umwambie akufulie au apige deki?Huyo rafiki yako anajitengenezea bomu la siku za mbeleni. Kama anaweza.kufanya haya wakati wa uchumba jua kuwa ataendelea kuyafanya hata kwenye ndoa. Na akiacha hapo ndo ugomvi utaanzia. Bora amzoezi sasa hivi huyo binti maana sidhani kama ataweza kuendeleza hizo kazi.