Anachofanya huyu mchumba wa rafiki yangu ni sahihi?

Tafuta pesa acha kuingilia mambo ya watu
 
Anakuja kufanya matusi sio kupiga deki

Kwani huyo mwanaume akipiga deki na kupika jua halitoki?????


Halafu mahaba ya watu hayakuhusu ni yao na utaratibu wao!!!!
 
😅😅😅
 
anachofanya ni sawa kabisa, yeye hajawa mke bado kwanini aanze kujipa majukumu yasiyomuhusu? kutambulishwa sio ndoa. Hata mimi kabla sijaolewa nilikuwa hivyo kwa bf wangu ambae ndie mume wangu sasahivi na nilimwambia kabisa mimi sio mvivu hakuna kazi inayonishinda ila kamwe siwezi kumfanyia mwanaume ambae sio mume wangu na alielewa vizuri tu, uzuri yeye alipanga nyumba nzima kila kitu ni ndani kwa ndani kwahyo majirani wa aina yako hawakuwa wanaona kinachoendelea
 
Kama mzigo unaliwa mengine hayana maana
 
Mkuu achana na mambo za watu,Mimi mke wangu nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miezi sita ,kwa muda wote huo alikuwa akija kwangu hapiki,hafui nguo zangu Wala kuosha vyombo,Cha ziada maji ya kuoga nilikuwa nampelekea bafuni.

Acha kufuatilia mahusiano ya watu,anzisha na wewe ya kwako !!!
 
Mwanangu John alikuwa anatoka na kanga amejifunga kiunoni anamfulia Shemu mpka nguo zake



Baadae alilewa akatuhadithia Shemu anampa mpka buza kwa Lulenge mpka leo tukamtunga jina John mpalange sa we huwezi jua mwenzako anapewa nini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…