Huyo rafiki yako anajitengenezea bomu la siku za mbeleni. Kama anaweza.kufanya haya wakati wa uchumba jua kuwa ataendelea kuyafanya hata kwenye ndoa. Na akiacha hapo ndo ugomvi utaanzia. Bora amzoezi sasa hivi huyo binti maana sidhani kama ataweza kuendeleza hizo kazi.