Anachofanya Ibrahim Traore ni kizuri ila kinakosa misingi ya utawala yaani ni one man show

Mkuu ikitokea kijana wetu hayupo nchi itaharibika siasa sio mbaya wabaya ni wanasiasa mfano Magufuli alifanya mambo makubwa ila alikuwa yeye kama yeye
 
Huwezi weka mfumo imara kwenye jamii ambayo Bado wapo kwenye stage ya ukuaji.
Hio mifumo je inaweza shindana na nguvu ya pesa?
 
NYIE MSIFIENI TU BAADAE AKINGANGANIA KAMA WAKINA MUSEVENI NDO MTAJUA MLIKUWA MNAKURUPUKA KUSIFIA NGOZI NYEUSI SISI SIO WAKUAMINIANA SANA
Kama anafanya makubwa ni bora afie madarakani kabisa kuliko kuharibu kodi za wananchi kupitia uchaguzi wa kubadilisha wezi madarakani
 
Watu wa pembeni ndiyo wanaoharibu ,bora aendelee kuwa ONE MAN SHOW...Wapambe NUKSI.
 
Nadhani sote tuna kumbukumbu tulishawahi kuwa na kiongozi wa namna hiyo aliimbwa hadi na Nzi. Miradi ikaanzishwa kwa misingi ya urais wake ghafla akaondoka. Haijulikani alijipanga kupata wapi Pesa Mama akaja kapambana lakini bado hali ni tete Nchi imejaa mashimo barabara hazipitiki " it was a poor planning"

Kujenga Taasisi na kuzilinda kisheria ni Muhimu sana maana hatuna assurance na kesho yetu & we're not perfect, we need absolutely perfect institutions that ensure a full control & monitoring of our National Policies.

Rwanda & Uganda are ghosts that we pray against & will soon collapse. Hakuna Nchi ilisimama kwa kuwa na uongozi wa kifamilia. Nchi kama hizo zinatengeneza vikundi vya kupigania masilahi ya watu wanaojiona wametengwa. Nchi kama Uganda is a staggery Country waiting for its natural death. Am very disappointed with Uganda's Leadership Baba Rais, Mtoto CDF , Mama Waziri wa Elimu na Utamaduni, binti governor BOT so hii ni nchi au takataka. Uhuru Kenyata kwa niaba ya baba yake aje atuombe radhi sisi sio maiti nadhani maiti zipo huko Uganda.
 
Ndio maana nikakwambia wewe ni mpumbavu huwezi hitimisha hoja Kwa poor samplings,shule ulienda kukuza nywele.

Yapi hayo makubwa ambayo hayafanyiki kwingineko?
Wewe ni Kumma huna hoja ya maana fala wewe, ndio maana unaruka ruka tu.. ulitaka nizunguke kwa walimu wote walioajiriwa shule za serikali ndio nije na hitimisho la kwamba idara ya elimu ina watumishi wazembe?

Huyo mwalimu mmoja tu tena ni wakawaida tu ila anaenda kazin muda anaojiskia, na hana wasi wasi wowote inatosha kutuonesha jinsi gani kulivyo na uzembe wa hali ya juu kwenye kada ya elimu na mamtu hayajitumi kabisa yaan yapo kusubiri mishaara tu.

Ukubali ukate hili liserikali la mama ako wa kizimkaz linalea uzembe kuliko serikali zote zilizopita, hata nyie machawa mnalijua hilo ila mnajitoa ufahamu kwa sababu ya mnaishi kwa kula makombo mnayorushiwa na mafisadi yanayofugwa na Samia.
 
Uliwahi ona wapi mtu aliyejaza matusi kichwani akawa na akili.

Kama huwezi kuzunguka kupata acceptable sampling usi draw conclusion inaonekana ni mpumbavu na shule ulienda kukua makalio tuu.

Liserikali linaleta uzembe then ndio liserikali lilipopaform kuliko zote ,hao wasio wazembe walikuwa wanafanya nini?
 
Kwa nchi zetu za afrika, demokrasia uongo bora one man show tu.
 
Umenena vyema
 
Tatizo kubwa linakuja kwenye kutokuaminiana nakhofu ya maadui kupenyeza vibaraka wao kuleta uharibifu pia wananchi kukosa elimu ya uraia ni tatzo kubwa. Unaweza kujenga Taasisi imara mfano time huru ya uchaguz wananchi bado hawajakomaa kiasi Cha kujielewa maranyingi hufanya maamuzi kwa kufuata upepo unapovuma watakutoa kwa uchaguzi na vibaraka watatumia nafas hyo kuzid kuvuruga
 
Mkuu ikitokea kijana wetu hayupo nchi itaharibika siasa sio mbaya wabaya ni wanasiasa mfano Magufuli alifanya mambo makubwa ila alikuwa yeye kama yeye
Siamini ktk Demokrasia
 
Waafrica tatizo ni ulafi bila kujua maono/maisha ya kesho yao. Wanawaza kula na kunya tu. Hata kama akiweka misingi bora kiasi gani atakayeingia atawaza yeye, ndugu, watoto na familia tu. Ataiobomoa hiyo misingi kwa jeuri na kiburi kama " Katiba ni kijitabu tu"
 
Kama africa ndo tuko hivo usemavyo mkuu, basi nchi zetu ni wafu wanaotembea.
Kwamba nchi nzima inakuwa na mwaminifu mmoja tuu? Vipi ikitokea afya ya akili ikiteteleka hawezi kuwamwaga damu za maelefu ya raia wake?.
Tunatakiwa kujua kila nchi inawema na wabaya ila tatizo huanza juu.
 
Piga picha huyo ambaye ume-reply kwake ndo anakua kiongozi ni hatari sana yaan vichwani mwa waafrika wengi kuna giza nene sana hakuna nuru hii ni changamoto kubwa
 
Kwetu sisi waafrica tatizo linaanza kwenye kufuata utaratibu na kusimamia rasilimali za umma wala sio demokrasia. Wala hakuna haja ya kuwa one man show wala kuwalaum mabeberu.
Kwa mfano.
1. Wala rushwa wanashindwa kudhibitiwa kwa sababu ya demokrasia au mabeberu?

2.Ripot kama za CAG wetu hazifuatiliwi kutokana na demokrasia au mabeberu?.
Je, sheria zilizopo za miiko/mipaka ya uongozi hazifuatwi kwasababu ya mabeberu au demokrasia?
Hivi kweli viongoz wajuu ktk nchi za kiafrica wakiamua kuwapa meno na kuzifanyia kazi taarifa za taasis za kijasusi nchi haziwez kunyooka? Lazima watumie one man show?.
 
Piga picha huyo ambaye ume-reply kwake ndo anakua kiongozi ni hatari sana yaan vichwani mwa waafrika wengi kuna giza nene sana hakuna nuru hii ni changamoto kubwa
Kweli kabsaa mkuu, na hii tabia za kutoamini wengine wanaweza kufanya vzuri yamkini likaww moja ya tatizo la akili. Maana hata maofisi au majumbani mwetu wako watu wa hivyo. Yaani yeye anaamin ktk yeye tuu. Hawez waamini wengine.

Kuna wengine wana amini chakula walichopika wao tuu kuwa ndo kizuri akila cha wengine ni mwendo wa kutoa kasoro.
Wengine wakipanda gari hawaamini madereva wanaamini wakiwa wanaendesha wao ndo uhakika wa safari.
 
Akiruhusu hiyo mifumo unayoisema ndio utakuwa mwisho wake wa kutawala ktk hiyo nchi na yeye analijua hilo vizuri.
 
Hivi mkuu kwanin tusiseme kwamba sisi waafrika hatuna akili ya kujiongoza. Ili tuanzie hapo kujikeamua au kusema hivyo ni kijidogosha?
Au tuwaze huwa inafikiaje mpak mataifa yetu yanafika ktk hali ya uozo? Je, sheria zetu ni dhaifu? Au ndo tumeshakuwa sikio la kufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…