ufisadi no
Member
- Jun 20, 2012
- 97
- 34
Anatuma ujumbe kwa Jk!
Nilivyoona hili tukio nikakumbuka na lile la awali nikagundua ni zaidi ya kuumbuana bali huenda hawa watu hawakuwa na good terms maana huu sio utamaduni wao unless Pombe ameamua kuwa mpinzani.
Sasa si ushasema mimi mzushi, sikujui, muongo, namba si yako etc.. Aya nimekubali..
Sasa nirudishe Ignore list, ila I already ring out your bell :hurt:
Inawezekana tunabishana sana hadi tunashindwa kujua nini tunabishania
watu hatupingi nia nzuri ya Waziri mkuu au Rais
ishu hapa sio nia nzuri ,ishu hapa ni njia nzuri ya ku fix tatizo
kuna ulazima wa waziri mkuu kwenda bandarini ghafla mara mbili in a week?
hawezi toa maagizo yakatekelezwa?
kama hilo haliwezekani basi tatizo lipo kubwa somewhere...
Boss mimi napingana na hoja zenu, watanzani ni watu wanaopenda kufuatiliwa sana, waziri akifanya mambo bila wengine kuona sehem zingine wataendelea kulala na kaI haitafanyika -anavyofanya hivi ni kama katembelea taasisi zote za umma at once.Ndo maana wengine tunaona hizi ni bongo movies tu
manake mtu kama unajua ABC hadi Z ya ku fix tatizo huhitaji media...
watu watajikuta tu bandari inafanya kazi vizuri....
kuna nchi unakuta airport inafanya kazi vizuri,bandari pia,barabara zinsafishwa
na hujawahi kuona hata siku moja kuna waziri 'kaja kutingisha'....
Inawezekana tunabishana sana hadi tunashindwa kujua nini tunabishania
watu hatupingi nia nzuri ya Waziri mkuu au Rais
ishu hapa sio nia nzuri ,ishu hapa ni njia nzuri ya ku fix tatizo
kuna ulazima wa waziri mkuu kwenda bandarini ghafla mara mbili in a week?
hawezi toa maagizo yakatekelezwa?
kama hilo haliwezekani basi tatizo lipo kubwa somewhere...
Kwel kuna tatizo kwa waliopewa dhamana ya kusimamia ayo mashirika ya umma.kama meneja anamdanganya PM mbele ya media bila uoga si tatizo ilo,kipind cha pinda,meneja alipewa ripot ya CAG ila hakuifanyia kaz.ndo maana PM kamwendea.
Tulipofikia hayaitajiki maagizo ya vimemo bal ni uso kwa uso.yule mkurugenz wa TRL ndo bure kabsa kashindwa hata kujibu nan aliidhinisha huo mkopo
Kama umekubali basi safi.
Uache tabia mbaya ya kuzushia watu.
Mimi naitwa Richard Mugizi, nina miaka 49, sina mtoto wala mke.
Ni Google upate habari zangu:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:.
Mkuu si unamwona anavyoweweseka hapo.. Alafu mi namwacha tu aendelee kulia lia..
Unaweza kuuficha ukweli kwa kipindi fulani, lakini hutaweza kuuficha ukweli kipindi chote..
Mkuu si unamwona anavyoweweseka hapo.. Alafu mi namwacha tu aendelee kulia lia..
Unaweza kuuficha ukweli kwa kipindi fulani, lakini hutaweza kuuficha ukweli kipindi chote..
Sijui na wewe unaishi USA kama huyo mmiliki wa apartment Masaki na Msasani (Nyani)?
Au kama lah...basi inaonyesha ni muda mrefu haukuwepp bongo land...labda uliondoka enzi za utawala wa mwalimu.
Ila nikujuze kitu...Watanzania wa leo ni sugu sana kwenye mambo ya ufisadi (of course wakiongozwa na Lowassa kwenye rekodi) na rushwa. Bila huu mshike mshike unao endelea wa PM...basi nakuhakikishia kuwa utawala wa Dkt Magufuli utakuwa kama wa Kikwete tu.
Enzi za Kikwete...hicho unacho kipendekeza ndicho kilikuwa kinafanyika...hivyo hivyo. Mtu anaitwa ofisini...kikao kinafanyika...anapatiwa maelekezo...but hakuna mabadiliko. Na hali imedumu kwa miaka 10 ya utawala wa Kikwete...na unaona nchi ilivyo.
Ikiwa mnataka mabadiliko mkuu wangu The Boss...huwezi kutumia approach ile ile iliyotufikisha shimoni...ni lazima tuje na approach tofauti...na ndio hii ya Dkt Magufuli na PM Majaliwa.
Sijui na wewe unaishi USA kama huyo mmiliki wa apartment Masaki na Msasani (Nyani)?
Kuna kitu nakiona hakiko sawa kwenye hii serikali.
But I just can't put my finger on it just yet.
Wanabodi,
Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, sio!.
Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomngoa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini, na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.
Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.
Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makomtena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.
Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkuugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.
Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.
Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.
Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco
Yupo sahihi kwa sababu meneja bandari alipaswa atoe maelezo wakati PM hajaanza kuzunguka kwa mazoea ya viongozi wetu ya kujenga mazoea na viongozi wakuu ndiyo hayo yatawatafuna kanuni ya uongozi inasema uadilifu wako ndiyo kinga yako ya kutodhalilishwa kwa wafuasi wako
Boss mimi napingana na hoja zenu, watanzani ni watu wanaopenda kufuatiliwa sana, waziri akifanya mambo bila wengine kuona sehem zingine wataendelea kulala na kaI haitafanyika -anavyofanya hivi ni kama katembelea taasisi zote za umma at once.
Najua unakubaliana na mimi 100%
Kumbuka unafanya kazi na watanzania sio wamarekani.