Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Wanaompinga Magufuli wetu wote hawaishi TanZania, wanaishi Ulaya na Marekani hivyo wanataka Magufuli wetu atatue kero kama vile Obama anavyotatua kero za Marekani, wanashinda CNN kuangalia wazungu wanavyoishi na kutaka kuleta hapa Bongo wkt wanasahau kwamba WatanZania na wazungu ni watu wawili tofauti, na ndiyo maana ukiwauliza wazazi wa KitanZania kama watoto wao wapigwe viboko shuleni au la wengi wao watasema wapigwe viboko tena vingi na vya kutosha lkn ukiwauliza wazazi wa Kizungu mtagomabana na watakushitaki!
 

Mkuu sisi ni watanzania, tupunguze kidgo kuiga wananchi wetu sio sawa na waingereza, wachina au wamarekani, Hivi kumuona Meneja anamdanganya Waziri mkuu pale mbele ya watu na media kibao, vip wangekaa kikao ofisini wapo wa5 tu??

Muda mwngine tuache kuiga kila kitu.
 


Kwa mfano huu
unaweza ondoa chefs bila hata kumfokea
wala kita wafanyakazi wote na kuwapiga mkwara
unamwambia tu mwezi huu mwisho halafu unaleta mwingine...

kuita wafanyakazi wote na kufoka sana sio dawa....
 

Mbona kuna watanzania wanafanya kazi nje vizuri tu?
mbona sekta binafsi ambazo zinafanya vizuri Tanzania zina watanzania wengi tu?
inakuaje mtanzania huyo huyo akiwa nje au akiwa sekta binafsi aweze
lakini akiwa serikalini ashindwe?
 
Muda utatupatia jibu.

In the meantime I choose to observe.

I shall.

Right now it's too early to give a thorough assessment on their governing style.

But at the same time I refuse to be caught up in the hoopla surrounding it.
 

Wakati mwingine watz tunaonekana kama tumerogwa hivi, au ni rahana, watz hawa tulichoshwa sana na serikali ya ccm, hadi tukafikia mahala kusema kuwa tutapigia hata jiwe au furushi la mavi na si ccm, tatizo kubwa ni watumishi wa serikali ambao wamejilimbikizia fedha nyingi na kuwafanya wawe na dharau kubwa sana, Waziri mkuu anachofanya ni sahihi kabisa, hawa wafanyakazi si wakuitwa pembeni tena-inatakiwa kutumia ukali sana ili waweze kubadilika, nadhani ni mapema mno kumlaumu waziri mkuu, au mnataka awe kama mzee Pinda?
 
Mbona kuna watanzania wanafanya kazi nje vizuri tu?
mbona sekta binafsi ambazo zinafanya vizuri Tanzania zina watanzania wengi tu?
inakuaje mtanzania huyo huyo akiwa nje au akiwa sekta binafsi aweze
lakini akiwa serikalini ashindwe?

Serikali zilizopita zilifanya hivo, matokeo yake unayaonaje??

Tuendelee kutumia njia hiyo unayoitaka wakati previous governments zilitumia hiyo hiyo?
 
Ndio wale wale, heli unidanganyeeee maaan ukweli unaumaaaa!!!!!? Yai kweli Jomo kenyata alisema watz ni maiti, yaaan hy Pasco anasikitisha.
 

Pasco,
Mimi naunga mkono hoja asilimia mia moja. Ni kweli anachofanya kimantiki siyo sawa ILA, KWA SEHEMU TULIPOFIKIA, TUNAHITAJI WAFANYE HIVYO ILI WATU WAACHE KUFANY KAZI KWA MAZOEA. Nchi hii maadamu tumeshindwa kufanya mapinduzi ya kumwaga damu hata siku moja, basi tulitakiwa kuwa na dikteta hasa kama Idd amin ili system inyooke kwanza.

MIMI NAWAPONGEZA MAGUFULI NA MAJALIWA KWA JUHUDI HIZI ILA SIUNGI MKONO KAZI INAYOANZA KUFANYWA NA WATU WANAOJIPENDEKEZA KAMA MAKONDA NA KULE KILIMANJARO
 
Mbona kuna watanzania wanafanya kazi nje vizuri tu?
mbona sekta binafsi ambazo zinafanya vizuri Tanzania zina watanzania wengi tu?
inakuaje mtanzania huyo huyo akiwa nje au akiwa sekta binafsi aweze
lakini akiwa serikalini ashindwe?

Ndo maana nasema sasa hivi tuko kwenye mparaganyiko mkubwa sana.

Tunaenda day by day tu.

Kesho sitashangaa kusikia Samia Suluhu kavamia Tanesco na kuamrisha kamata kamata ya viongozi wake.
 



Tunamhitaji 'IDDI AMINI' ?
 
Mbona kuna watanzania wanafanya kazi nje vizuri tu?
mbona sekta binafsi ambazo zinafanya vizuri Tanzania zina watanzania wengi tu?
inakuaje mtanzania huyo huyo akiwa nje au akiwa sekta binafsi aweze
lakini akiwa serikalini ashindwe?

Sekta binafsi ukiharibu "u are fired"....wakati serikalini mtumishi ukiharibu "unavumiliwa au unahamishwa"....see the difference hapo. Utapata picha kwanini sekta binafsi wafanyakazi wake wanakuwa na nidhamu na kazi....wakati serikali tukiendekeza mizaha na kuchukulia mambo poa.

Ila Dkt Magufuli ameliomba bunge lifanyie sheria maboresho sheria....alisema sheria ya kwanza itakuwa ni sheria ya kazi. Hii ni solution ambayo naamini unapenda kuisikia. Lengo la kubadili sheria hii ni kurudisha nidhamu kwenye ofisi za umma.
 


Hili gazeti lote la nini?? Kama hakuna anayekujua what's bothering u then?? huoni kama watu wanakuona mpuuzi?? Okay, mimi ni mwongo :deadhorse:
 
Hivi watanzania nani katuloga?? Mzalendo na mwenye nia dhati ya maendeleo ya nchi yetu hawezi kuponda juhudi za hawa waheshimiwa. Kwa miaka kumi iliyopita, tungesikia tume nyingi zinaundwa, nchi ilikuwepokuwepo tu. Kwa kweli kwa hatua tuliyofikia, inahitaji uwendawazimu kidogo ili angalau mtanzania wa chini aweze kufaidi keki ya Taifa. Mungu mlinde Rais wetu na wasaidizi wake.
 
bado unawashwa na hela za LUwassa,kwanini usimsindikize mkachunge wote ngombe monduli utuletee habari za mifugo,nyie waandishi wababaishaji hamfai katia jamii,we kitambi hicho kipe RIP tu.
 
Ndo maana nasema sasa hivi tuko kwenye mparaganyiko mkubwa sana.

Tunaenda day by day tu.

Kesho sitashangaa kusikia Samia Suluhu kavamia Tanesco na kuamrisha kamata kamata ya viongozi wake.


Na hao mawaziri sasa wakianza kazi
itakuwa full bongo movie kila wizara
 
Mbona kuna watanzania wanafanya kazi nje vizuri tu?
mbona sekta binafsi ambazo zinafanya vizuri Tanzania zina watanzania wengi tu?
inakuaje mtanzania huyo huyo akiwa nje au akiwa sekta binafsi aweze
lakini akiwa serikalini ashindwe?

The Boss tambua kuwa kila sehem inautaratibu wake na usimamiaji wake.

Kwa watz wanaofanya nje ya nchi huwa huwa kunakuwa na usimamiz wa hali ya juu tofauti na Tz.

Vilevile media zipo kwaajili ya kufikisha msg kwa jamii nzima.
Anaenda na media ili kuwajulisha watz kuwa anachokifanya sio maigizo bali n kweli.

Utendaji wa kimyakimya unakidhi au unatatua matatizo ya sehem husika na sio nje ya sehem husika.

Kwamfano angeingia kimyakimya TRA haw walioko Tamisemi wasingeweza kujua usiriaz wa jambo
 
Last edited by a moderator:

We jamaa ni juha kama jiwe kabisa!

Ndo maana unaitwa Richard Mugizi:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
Sekta binafsi ukiharibu "u are fired"....wakati serikalini mtumishi ukiharibu "unavumiliwa au unahamishwa"....see the difference.

Ndo maana tunasema wabadili system
watu wakiharibu wafukuzwe.....
system ndo tatizo sio watu
 
SiHivi nyie mnataka watu waende mafichoni/ office wabembelezane hata wakati tuko kwenye a some sort of emergency situation sya kuokoa Tanzania na uzembe na kufanya kazi kwa mazoea kama vile umajiriwa na ndugu zako wa karibu? Wakatibkikwete anacheka cheka mlilalamika,wakati lowassa anafukuza watu kwenye tv mlishangilia, sasa mtu anayeenda na document ili aonishe anachoambiwa Na kile anchofahamu nae mbaya anadhalilisha watendaji? Haya ndiyo mabadiliko tunayotaka, na.haya ndiyo mabadiliko tuliyopigania kwenye kampeni na eventually kupigia kura, muda wa kuitana boardrooms na kujiandaa watu watengeneze utetezi hamna, sehemu miaka nenda zina.matatizo kwa nn kwanza waanza kidanganya badala ya kusema ukweli na kukiri na kuahaidi kufanyia kazi matatizo au kasoro zilizojitoUnadanganya ili iwaje, halafu unataka huyu Mhuni anayedanganya apewe courtesy ya kuadhibiwa kwenye boardroom kua serious chief kua serious, wewe the boss toka bade aondolewe unaumwa kabisa kichwani

Cc pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…