Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Mkuu ile ni ripoti ya mkaguz mkuu wa serikal ambayo alipewa jk ila hakuifanyia kaz ndo maana serikal hii imeamua kufanyia kaz ripot zote za CAG.

Narudia uchaguzi umeisha,usiyempenda ndo kashinda.
Maguful kasema ye hajasaidiwa hata na mfanyabiashara mmoja kwahyo hana pakulipa fadhira.kuwen wazalendo na mgombea wenu


Ripoti ya CAG inafanyiwa kazi kwa kuvamia ghafla bandarini?
 
Mkuu Pasco, kwa hali ya nchi hii ilipofikia..... ni mbaya kupita maekezo. Nchi inaongozwa na kodi ya sigara na pombe wakati vyanzo vya maana vya mapato ikiwemo wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi kabisa. Ndo maana nasema, acha waaibishwe tu. Ripoti ya mwaka jana juu ya wakwepa kodi hadi leo utekelezaji bado.... Halafu abembeleze watu? Acha awaaibishe tu, maana hakuna namna nyingine!!!

Ifike wakati tukubali kuwa nchi hii inawahitaji kina Magufuli sana kuliko wakati mwingine wowote ktk historia ya nchi hii!!!!
 
Last edited by a moderator:
Acha wafanye kazi nchi yetu kwa sasa inahitaji watu wa namna hiyo kwani kwa uzoefu pre-miting ndo dalili za rushwa
 
Watanganyika,wanafik sana cjui wanataka mabadiliko ya vipi kweli huu ni unafiki
 
Ngabu iko very clear hawana 'blue print' ya nini wafanye
kubadili hii nchi iondokane na kero
so wanashiriki ku expose kero na kukaripia on tv
lakini 'what to do to change things permanently' ndio hawajui...
'the blue print' ya ku replace hii failed system hawana


Hivi mkuu una hakika na unachokisema.. Au unataka kila kinachofanyika basi na wewe ujue??

Unafikiri hao watu waliopeleka hizo data zote kwa PM hawana njia mbadala ya kuzuia huo ubadhilifu??

Kwanza tu, PM leo alitoa maagizo palepale kwamba ile System yote ya ICT pale bandarini ibadilishwe haraka.. Sasa unaposema hakuna "alternative" ya kuzuia au "njia ya kutokea" hapo tulipokwama sio sahihi.. Huo uwozo wote hauwezi kuwa solved on a single night.. Let's keep our faith, jamaa wameonyesha nia..
 
Target ni JK now naona
naona wanataka ashindwe hata kuitisha vikao vya kamati kuu...
mambo yote sio mapya...nini kifanyike ndo hawaji nacho...ni ku expose na ku expose tu...

Wew unaejua chakufanya twambie basi?

Mnajiabisha sana! Mambo yaliyokuwa yanapigiwa kelele miaka na miaka leo katokea mtu anayarekebisha ninyi mnapinga tu! Tena bila kutoa suluhisho? Ni ujuha!
 
Ww ni miongon mwa hao wanaofanya upuuzi, nakushaur kama ni mfanyakazi na unahisi huo ni udharirishaji bas ni bora ujitoe mapema tu, mm mwenyewe ni mtumisha lakin naunga mkono.hoja hii nchi ina wapuuz wengi xn maofisin sasa kama we unaona anachofanya c sahihi jikatae tu kaka hatutak watendaji vilaza apa
 
Cheap popularity...
washawachota watu wenye upeo mdogo...
usishanga after two to three years waziri mkuu
akawa 'anavamia' ghafla bandarini na watu wakasifia tena

naona mganga wewe mwenyewe na unajipigia ramli wewe mwenyewe,kwa hali hii sidhani kama utapona mkuu
 
Mimi hata akiwashtukiza chooni kama watu wamefanya uzembe ni ujinga wao
 
Hivi mkuu una hakika na unachokisema.. Au unataka kila kinachofanyika basi na wewe ujue??

Unafikiri hao watu waliopeleka hizo data zote kwa PM hawana njia mbadala ya kuzuia huo ubadhilifu??

Kwanza tu, PM leo alitoa maagizo palepale kwamba ile System yote ya ICT pale bandarini ibadilishwe haraka.. Sasa unaposema hakuna "alternative" ya kuzuia au "njia ya kutokea" hapo tulipokwama sio sahihi.. Huo uwozo wote hauwezi kuwa solved on a single night.. Let's keep our faith, jamaa wameonyesha nia..




mkuu sasa kama kila kitu kinafahamika na ripoti ipo
na mapendekezo yapo basi na wewe unakubali kulikuwa hakuna haja
ya waziri mkuu kwenda bandarini na media....
au ripoti haiwezi fanyiwa kazi bila waziri mkuu kwenda ghafla na media?
 
Hao unaowatetea wanadhalilishwa wangefata kanuni za utawala bora wasingejifikisha hapo kwa kuleta hasara kwa Taifa.Mheshimiwa Rais aliposema "tunatumbua majipu"maana yake ndo hiyo kwamba kuna watu kama nyie mtakaopata uchungu.Tukitaka kwenda peponi ni lazima tukubali kufa kwanza.
 
Watanzania ni watu tuliojawa na uzandiki sana. Alikuwepo JK aliyekuwa anafanya mambo kiushikaji mkalalamika kuwa ni mzembe, wamekuja wanaochapa kazi mmeanza kulalamika tena kwamba hawafanyi inavyopaswa. Kuaibishwa kwa watu wezi na wanaotoa taarifa za uongo ni sawa kabisa. Wanachangia kuliibia taifa, halafu wanatoa taarifa za uongo, halafu nyie mnakuja kuwatetea kuwa wanastahili kustahiwa? Damn, inabidi watanzania tufike mahali tuache unafiki. Kama wanataka wastahiwe basi waache kujihusisha kwenye wizi na waseme ukweli daima. Kama kila kitu kiko straight kuna ulazima gani wa kwenda kukisemea chumbani?
Hivi hakuna sheria zinazowabana hao wanaotoa taarifa za uongo? Kama zipo kwanini wasifikishwe mahakamani kwa kosa la udanganyifu?
 
Pasco: This is one of the the definitionp;Good governance is about the processes for making and implementing decisions. It?s not about making ?correct? decisions, but about the best possible process for making those decisions.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kwa taratibu zilivyo pm ni mtu mkubwa sana, sitaki kuamin kuwa majibu anayopewa on the spot ndio sababu za kuwafukuza hao watu, nadhani kuna taarifa huwa wanazo so pale wanaenda kuionesha public ila cjui kama wahusika wakuu ndio hao wahojiwa. Hata kama mtu una majibu sahihi huwezi kuyatoa kwenye public kuonesha weakeness ya mkubwa wako.
 
Wew unaejua chakufanya twambie basi?

Mnajiabisha sana! Mambo yaliyokuwa yanapigiwa kelele miaka na miaka leo katokea mtu anayarekebisha ninyi mnapinga tu! Tena bila kutoa suluhisho? Ni ujuha!

Wachina wana msemo 'mimi sio kuku lakini yai viza nalijua'

sasa hata kama mimi sijui njia bora za kuondoa tatizo hakunizuii kujua njia mbovu ambazo hazifai
na hakunizuii kusema hata kama ninachoamini mimi sio popular for now
 
Ama Kweli USA inawaaribu hawa watu ukute macheni makali,amesuka minywele eti naye anamshauri Mh Waziri Mkuu,hawa Ndio Hata Vibanda Hawajajenga Vijijini Kwao

Kuna wapuuzi humu huwa anawadanganya ana Apartments Msasani na Masaki.. Yeye akilala akiamka ni kusifia USA sasa sijui ya nchini kwetu yanamuuma nini.. Yaani ni sawasawa na MK254 awe anachukizwa na utendaji wa Magufuli..
 
Last edited by a moderator:
mimi sijaona tatizo lolote. ila najua mtu yoyote anayetetea madudu, au kulalamikia anaself interest. kama muanzisha mada
 
Ukiona mtu anamkosoa Rais Dr Magufuli kwa haya yanayofanyika kwenye serikali hii basi ujue ameguswa na huu utumbuaji majipu.

Hiyo siyo kweli.

Kwani mtu hawezi kukosoa kwa nia ya kujenga?

Kwa nini mnachukulia kukosolewa kuwa ni jambo hasi mara zote?

Na Magufuli ni nani mpaka yeye asikosolewe?
 
Hivi bandari na tra haina wakaguzi wa nje wala wandani? Na kama wapo taarifa zao zishawahi kuongelea makontena "potevu?"



Ufatilii mambo kazi yako ni kudandia treni kwa mbele tu.

Mara ya kwanza alivyoenda bandarini alikuwa hana tatizo na bandari....bali alikuwa na ishu na TRA na data zilikuwa za mwezi june hadi novemba.

Leo ameenda kutoa data za mwezi june hadi octoba za mwaka 2014 na zinahusu bandari. Ishu ni kwamba data zinaonyesha makontena yamefika bandarini...ila bandari haina rekodi ya kupokea makontena hayo.

Hivyo unaweza kuona hizo ni cases mbili tofauti na kwa taasisi mbili tofauti.
 
Back
Top Bottom