Mkuu ile ni ripoti ya mkaguz mkuu wa serikal ambayo alipewa jk ila hakuifanyia kaz ndo maana serikal hii imeamua kufanyia kaz ripot zote za CAG.
Narudia uchaguzi umeisha,usiyempenda ndo kashinda.
Maguful kasema ye hajasaidiwa hata na mfanyabiashara mmoja kwahyo hana pakulipa fadhira.kuwen wazalendo na mgombea wenu
Ngabu iko very clear hawana 'blue print' ya nini wafanye
kubadili hii nchi iondokane na kero
so wanashiriki ku expose kero na kukaripia on tv
lakini 'what to do to change things permanently' ndio hawajui...
'the blue print' ya ku replace hii failed system hawana
Target ni JK now naona
naona wanataka ashindwe hata kuitisha vikao vya kamati kuu...
mambo yote sio mapya...nini kifanyike ndo hawaji nacho...ni ku expose na ku expose tu...
Cheap popularity...
washawachota watu wenye upeo mdogo...
usishanga after two to three years waziri mkuu
akawa 'anavamia' ghafla bandarini na watu wakasifia tena
Hivi mkuu una hakika na unachokisema.. Au unataka kila kinachofanyika basi na wewe ujue??
Unafikiri hao watu waliopeleka hizo data zote kwa PM hawana njia mbadala ya kuzuia huo ubadhilifu??
Kwanza tu, PM leo alitoa maagizo palepale kwamba ile System yote ya ICT pale bandarini ibadilishwe haraka.. Sasa unaposema hakuna "alternative" ya kuzuia au "njia ya kutokea" hapo tulipokwama sio sahihi.. Huo uwozo wote hauwezi kuwa solved on a single night.. Let's keep our faith, jamaa wameonyesha nia..
Wew unaejua chakufanya twambie basi?
Mnajiabisha sana! Mambo yaliyokuwa yanapigiwa kelele miaka na miaka leo katokea mtu anayarekebisha ninyi mnapinga tu! Tena bila kutoa suluhisho? Ni ujuha!
Ama Kweli USA inawaaribu hawa watu ukute macheni makali,amesuka minywele eti naye anamshauri Mh Waziri Mkuu,hawa Ndio Hata Vibanda Hawajajenga Vijijini Kwao
Ripoti ya CAG inafanyiwa kazi kwa kuvamia ghafla bandarini?
Ukiona mtu anamkosoa Rais Dr Magufuli kwa haya yanayofanyika kwenye serikali hii basi ujue ameguswa na huu utumbuaji majipu.
Ufatilii mambo kazi yako ni kudandia treni kwa mbele tu.
Mara ya kwanza alivyoenda bandarini alikuwa hana tatizo na bandari....bali alikuwa na ishu na TRA na data zilikuwa za mwezi june hadi novemba.
Leo ameenda kutoa data za mwezi june hadi octoba za mwaka 2014 na zinahusu bandari. Ishu ni kwamba data zinaonyesha makontena yamefika bandarini...ila bandari haina rekodi ya kupokea makontena hayo.
Hivyo unaweza kuona hizo ni cases mbili tofauti na kwa taasisi mbili tofauti.