Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Hama nchi.. Somalia na eritreA wanahitaj watu.
Sasa hvi hakuna kubembelezana .. Hatucheki na kima sasa hivi
 
Pasco: This is one of the the definitionp;Good governance is about the processes for making and implementing decisions. It?s not about making ?correct? decisions, but about the best possible process for making those decisions.
 
Last edited by a moderator:
Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.


Hivi, mwalimu akiingia darasani na akakuuliza 1+1 =? kisha ukajibu 3 halafu akakuonyesha kitabu na ukaone ni 2 utasema ni kudhalilishwa kwa sababu tu jibu alikuwa nalo?

Hao mabwege wameshapiga hela zetu nyingi sana na hawakugusika kwa kwa sababu tu eti 'UTAWALA BORA'. Acha tu wadhalilike, maana hakuna namna nyingine. Wakashitaki tu kwa Mkulu Kumwao.
 
Governance ndio imetufikisha hapa tulipo rich but dying from poverty
 
Ndo tatizo la watanzania hamuishi kasoro watu wakifanya kazi vizuri shida wakienda vibaya shida sasa mnataka nini
 
Kuna wapuuzi humu huwa anawadanganya ana Apartments Msasani na Masaki.. Yeye akilala akiamka ni kusifia USA sasa sijui ya nchini kwetu yanamuuma nini.. Yaani ni sawasawa na MK254 awe anachukizwa na utendaji wa Magufuli..

Ni lini, wapi, na nani humu nilimdanganya mimi nina apartments Msasani na Masaki?

Onyesha nilipodanganya hivyo. Onyesha hapa nilipowahi kudanganya hivyo.
 
mkuu sasa kama kila kitu kinafahamika na ripoti ipo
na mapendekezo yapo basi na wewe unakubali kulikuwa hakuna haja
ya waziri mkuu kwenda bandarini na media....
au ripoti haiwezi fanyiwa kazi bila waziri mkuu kwenda ghafla na media?

Wananchi tunataka kuona uozo uliopo serikalini LIVE. Maana sio wote tunaweza kufika kwa wakati mmoja na kubaini uozo ndani ya serikali...hivyo acha mwakilishi wetu (PM) atuonyeshe uozo uliopo serikalini. Sasa ikiwa wewe una tatizo na media...basi huo ni mjadala mwingine. Ila wananchi wengi tunapenda kuona uozo wa taasisi zetu za serikali kupitia media na namna gani hatua zinachukuliwa ili kuondoa uozo ndani ya serikali. The Boss mpongeze tu PM.
 
Kuna wapuuzi humu huwa anawadanganya ana Apartments Msasani na Masaki.. Yeye akilala akiamka ni kusifia USA sasa sijui ya nchini kwetu yanamuuma nini.. Yaani ni sawasawa na MK254 awe anachukizwa na utendaji wa Magufuli..

Upweke Unamsumbua Huko Aliko Amezoea Vya Ubwete,haiingii Akili Mazuri Yanafanyika Na Viongozi Wetu Wao Wanabeza Au Alitaka Obama Aje Tena Hapa Tanzania Ndio Awaambie Viongozi Kuwa Tunaibiwa Bandarini, Infact Hajui Asimamie Wapi Muache Na Gubu Lake
 
Last edited by a moderator:

Huo muda wa kuitana ofisini kukaa na management ulishapita Hapa Kazi tu hata jipu changa linatumbuliwa.Mie naunga mkono tena hata bakora ingetumika kuna watu wanadhani wao ni untouchable sasa wamepata wanaume.Kanyaga twende
 

Good governance my foot. Maneno meeeengi. Si ungesema tu "tunaonekana vichwamaji tulioahidiwa mabadaliko feki na Lowassa, na sasa aibu inatusuda kwa kushuhudia mabadiliko halisi"? Nani atarajie pongezi kwa ninyi mliokuwa mnamsujudia Lowassa. Na sasa Lowassa halisi anaanza kujulikana kupitia kwa washikrika wake wa karibu akina Awale. Mliimba sana "kama fisadi mpelekeni jela basi" sasa kilio chenu kinasikilizwa na kutekelezwa.

Unataka awataarifu "jamani ee, nakuja kukagua kuhusu upotevu wa makontena. Naomba mniandalie taarifa kamili."?

Ni mtu mwenye matatizo ya akili tu anaweza kuhoji utendaji kazi wa Majaliwa ilhali habari ya msingi ni upotevu wa MAKONTENA ELFU MBILI NA UPUUZI. Nazungumzia makontena as containers za kubebea cargo bandarini sio kontena za take away.

Nendeni zenu huko, hamna hoja, hamha mpya, mnaugulia maumivu tu. Who cares fisadi akiumbuliwa if it helps kupambana na ufisadi? The end justifies the means. Unadhani angeenda kuwachekachekea kama JK tungefahamu kuhusu upotevu huo wa makontena?

Yes, alikuwa na facts lakini alichofanya ni kupata other side of the story kutoka kwa wahusika. La muhimu ni kukamata mhalifu na sio jinsi alivyokamatwa. Msituletee utetezi kama ule wa JK kuhusu HAKI ZA BINADAMU ZA MAFISADI.

Ushauri mwepesi: Lowassa alishindwa urais kabla ya siku ya kura.Tulijaribu sana kuwafumbua macho mkatuona hamnazo. Sasa mnakula jeuri yenu. Choice ni nyepesi, subirini 2020 kama hamwezi kuungana nasi katika operesheni ya kutumbua majipu.

By the way, kelele za chura hazimzuwii ng'ombe kunywa maji.
 
mkuu sasa kama kila kitu kinafahamika na ripoti ipo
na mapendekezo yapo basi na wewe unakubali kulikuwa hakuna haja
ya waziri mkuu kwenda bandarini na media....
au ripoti haiwezi fanyiwa kazi bila waziri mkuu kwenda ghafla na media?


Kwani mkuu si majuzi alienda na akawaambia wajirekebishe wenyewe kabla hajarudi tena hapo?? Na aliwaambia kabisa kwamba atarudi.. Kwanini wao hawakuanza take measures??

Cha kushangaza leo ameenda amekuta hakuna kilichofanyika, sasa ulitaka afanyaje?? Tena amekuta ule ujinga ambao ICT wanaofanya bado walikuwa wanaendelea.. Hakuna namna wacha wahaibishwe tu..
 
pasco alikuwa anapima kina cha maji jamani. amejifunza kwamba watanzania sio wajinga. ni watu wanaokuwa na common good kwa mambo yanayogusa interests zao.
 
Huyo Mpuuzi yuko USA kila siku anatusema tunakula vumbi huku alafu bado eti hii nchi anayoitukana inamkosesha usingizi..

Mpuuzi wa Karne... USA Baby :usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:

Hahahaa wewe lazima huwa nakukereketa sana.

Hahahaa I mean, huachi kunifuatilia.

Mbaya zaidi uko delusional.

Una hallucinate mambo halafu unajishawishi hadi unajiaminisha kuwa ndo ya kweli.

Hivi nikikwambia uthibitishe kuwa kweli niko USA utaweza?

Huko USA alinipeleka mamako?

Mpuuzi ni mamako alokuzaa.

Mburukenge wewe.
 
Wachina wana msemo 'mimi sio kuku lakini yai viza nalijua'

sasa hata kama mimi sijui njia bora za kuondoa tatizo hakunizuii kujua njia mbovu ambazo hazifai
na hakunizuii kusema hata kama ninachoamini mimi sio popular for now

Sasa ukae kimya muache rais afanye kazi yake akifeli ndio uanze kukosoa! Maana kwa sasa hujui kama anacho fanya ni kizuri au kibaya!
 

Wote tuliona comments zako humu za kujisifu kuwa kwa kubeba maboksi USA umeweza kumiliki apartments Masaki na Msasani. Leo unakana maneno yako mwenyewe!? Kweli binadamu wanafiki.
 
Wewe ni kama ka mwanamke kazushi tu.

Ni lini, wapi, na nani humu nilimdanganya mimi nina apartments Msasani na Masaki?

Onyesha nilipodanganya hivyo. Onyesha hapa nilipowahi kudanganya hivyo.

You are such a little pussy and dumb at the same time.

Nirudishe Ignore List, umenitoa lini?? Sasa kuna umuhimu gani wa kuniweka Ignore List??

Aya nirudishe usije pigwa Ban ukakosa kuwadanganya mburulaz..
 
Wote tuliona comments zako humu za kujisifu kuwa kwa kubeba maboksi USA umeweza kumiliki apartments Masaki na Msasani. Leo unakana maneno yako mwenyewe!? Kweli binadamu wanafiki.

Shangaa wewe mkuu... Au labda aliandikiwa..
 
Sasa ukae kimya muache rais afanye kazi yake akifeli ndio uanze kukosoa! Maana kwa sasa hujui kama anacho fanya ni kizuri au kibaya!

Hivi una umri gani?
unaelewa maana ya freeodom of speech?
unaelewa maana ya ku criticize?
aliekwambia nani kukosoa hadi mtu akosee?
wewe unatoa wapi mamlaka ya kuniambia kaa kimya nimuache afanye kazi?
kwani nisipokaa kimya hawezi kufanya kazi?
why mna engage kwenye dialogue ambazo hamziwezi?
wewe unashindwa nini kukaa kimya?
 

Mwabeja sana mkuu kitufe cha LIKE kimefichwa kikirudishwa nitakuLIKE
 
Mkuu hapo mi nakupinga sana,japo nakuheshimu sana ila kwa leo wacha tu nikudharau sana,unajua ni vipi?? Ni hivi,kwa sasa ndio muda muafaka kwa viongozi wachapa kazi na wapenda maendeleo ba ambao hawalitii hasara taifa kung`aa,,na wabovu wote ndio muda wa kuaibika.hebu imagine kama hao wanaoaibishwa kama wangekuwa na data ambazo ni clear si wangepata sifa sana pale kwa waandishi? Na kama wale wangekuwa na data clearly hiyo means PM angeaibika yeye sasa,so mi nampongeza sana majaliwa though ccm siipendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…