Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Kama upo clear na utendaji wako wa kazi hofu ya nn? Hata waziri akiwa ana lala hapo bandalini haina shida.. ila kama una fanya madudu lazma upate jamba jamba
 
Huo muda wa kwenda kupekua uliposema sina.. Ila walioona wanakushangaa hapa unavyokataa.

Kama vipi nirudishe Ignore List tu ntakuboa..

Tena wahi fasta uje uweke hapa.

Ila usije tu na kituko kama cha wakati ule cha uthibitisho wako kuwa mimi naitwa Richard Mugizi.

Haya, wahi ukalete. Tena kimbia.
 



Unashangaa hilo la pesa za tafrija?
hujashangaa aliposema watu wote wafanye usafi tarehe 9 december?
na matamko ya watu wa chini yake yameshatoka kuwa ni 'lazima' kushiriki
vinginevyo hatua kali zitachukuliwa....
 


Endelea kula Junk Foods huko wahed wewe...

teh teh teh teh teh hiyo dozi ya leo inakutosha..
 

Mkuu nchi ina matatizo meng huwez kufix siku moja leo kawaambia wafunge mfumo kulipia ki electronics.kikubwa alichofuata bandari kukagua ule mfumo wa kupitishia mizigo na kuona inakuwaje kunatokea ubadhirifu?kingne ni kumuuliza meneja mbona kwenye ripot ya CAG waliochukuliwa hatua ni vidagaa 10 tu,mbona mapapa yameachwa?ubaya uko wap hapo?PM kukagua ofisi ya umma?
 

Mkuu Si Ungelala Tu Sasa Umekuja Kupost Nini Hiki Mnazalilisha ID Zenu tu
 
Ukweli utawaweka Uhuru .Wawe wanasema ukweli ili waliokuwa wanafanya wizi wakati wa serikali dhaifu wapewe stahili zao
 
Endelea kula Junk Foods huko wahed wewe...

teh teh teh teh teh hiyo dozi ya leo inakutosha..

Huna ujualo.

Umebaki kujitekenya na kucheka tu.

Unaweka namba za simu za ajabu ajabu tu ili uonekane unanijua.

Hahahaaa una hamu kweli ya kutaka kunijua wewe eeh?
 
watu kuonyeshwa udhaifu wao sio good governance ila "kupotea" kwa makontena 2341 ndio good governance? you can't be serious Pasco.
 
Last edited by a moderator:

Inawezekana tunabishana sana hadi tunashindwa kujua nini tunabishania
watu hatupingi nia nzuri ya Waziri mkuu au Rais
ishu hapa sio nia nzuri ,ishu hapa ni njia nzuri ya ku fix tatizo
kuna ulazima wa waziri mkuu kwenda bandarini ghafla mara mbili in a week?
hawezi toa maagizo yakatekelezwa?
kama hilo haliwezekani basi tatizo lipo kubwa somewhere...
 
Zamani hizo vijijini ambako kipindi cha utandawazi na mitandao hakuna, watu waliokwenda kinyume na taratibu walizojiwekea kwenye vijiji vyao walipongundulika wamekengeuka walitungiwa nyimbo za kuwasema na kuwasuta. Hivyo kila mmoja alijua ni nani anazomewa.

Hivi kweli tunataka kuaminishwa kwamba hii ni mara ya kwanza duniani eti viongozi wa Tanzania tu ndio wanavunja taratibu!!!!

Nafikiri tunahitaji kujikumbusha tu kwamba cheo ni dhamana.
 

You would think angeweza tu kuwaita wahusika ofisini kwake na kujieleza kuliko kwenda bandarini na makamera lukuki.

Kwenda yeye mwenyewe huko bandarini na kuanza kuhoji watumishi wa hapo kunaweza kukatafsiriwa vibaya kuwa wanatafuta sifa tu.
 

Naandika kwa ujasiri kuunga mkono ukurupushaji wa waziri mkuu! Hawa watendaji wa mashirika hawna huruma na nchi yao ndo maana wanaiba hata zaidi ya wazungu.


Tena wangekamtwa palepale na kupelekwa keko kwa miezi minne kwanza.

Pasco katika hili sikuungi mkono hawa jamaa ni makatili kwa uchumi wetu.

Wangenyongwa hata nina hasira na mfumo huu tena kwenye hili usianze kuzungumzia hizo good governance coz this is management
 
Huna ujualo.

Umebaki kujitekenya na kucheka tu.

Unaweka namba za simu za ajabu ajabu tu ili uonekane unanijua.

Hahahaaa una hamu kweli ya kutaka kunijua wewe eeh?


Sasa si ushasema mimi mzushi, sikujui, muongo, namba si yako etc.. Aya nimekubali..

Sasa nirudishe Ignore list, ila I already ring out your bell :hurt:
 
Bwaha ha ha ha haaa, Pasco bhana, kama vile umekasirika kweli!
 

Yesssss enough is enough. Waliaibika wametaka wenyewe .tuliwapa nchi wakajaza matumbo yao .leo mnaona wanadhalilishwa ???
Hebu angalia hutba ya JK aliposema magufuli kaenda kwenye wizara na anacheka kwa kukejeli .walifikiria wamepata watakaye muendeshaaaa lakini kiumbe mzitooooo. Na uzuri wake hajali ukawa wala ccm anajali ichapaji kazi. Wote watanzania
 
Hayo Mapigo Uliyotoa Ni Kama Ya Ninja Assasin, Picha Limekwisha

Mkuu si unamwona anavyoweweseka hapo.. Alafu mi namwacha tu aendelee kulia lia..

Unaweza kuuficha ukweli kwa kipindi fulani, lakini hutaweza kuuficha ukweli kipindi chote..
 
You would think angeweza tu kuwaita wahusika ofisini kwake na kujieleza kuliko kwenda bandarini na makamera lukuki.

Kwenda yeye mwenyewe huko bandarini na kuanza kuhoji watumishi wa hapo kunaweza kukatafsiriwa vibaya kuwa wanatafuta sifa tu.

Ndo maana wengine tunaona hizi ni bongo movies tu
manake mtu kama unajua ABC hadi Z ya ku fix tatizo huhitaji media...
watu watajikuta tu bandari inafanya kazi vizuri....
kuna nchi unakuta airport inafanya kazi vizuri,bandari pia,barabara zinsafishwa
na hujawahi kuona hata siku moja kuna waziri 'kaja kutingisha'....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…