Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Ngafu umenena, sana kuna watu humo kwenye Halmashauri walishajifanya Miungu watu. Sasa hivi wanahaha mno! Wapishe vijana wasomi na waadilifu wachukue kazi.
 
Mtu mzima mwenye akili timamu angeanza kwa kujiuliza ni kwanini hayo yote yanafanyika? Kwanini Ziara za ghafla, kwanini kwenda na media? Kwanini kuuliza maswali wakati majibu yake unayo? Na je hayo yote yameleta matokeo gani? Na kama yamejenga hofu kwa wafanyakazi ninini Athari zake? (Hasi au Chanya).
Kitu kinaweza kuwa kimoja ila kila mtu akawa na goals zake za kukifanya hicho hicho kitu kimoja, wengine mkifikiria PM na Raisi wanatafuta Publicity, wengine tunawaza baada ya hiyo publicity je, production imeongezeka au La! Hamasa ya kazi ipo au bado watu wamelala?

Kabla ya uchaguzi nilikuwa nafuatilia issue moja hivi TRA, ilinipotezea kama 3 weeks kushughulika nayo, lakini After uchaguzi issue hiyo hiyo niliishughulikia for 4 days. Hata mi najiuliza ni kwanini imekuwa hivyo! TAFAKARI, CHUKUA HATUA.
 
Utendaji kazi wa Waziri Mkuu ni mbinu bora na sahihi kuturejesha katika msitari wa uadilifu na uwajibikaji
 
Ngafu umenena, sana kuna watu humo kwenye Halmashauri walishajifanya Miungu watu. Sasa hivi wanahaha mno! Wapishe vijana wasomi na waadilifu wachukue kazi.

Hapo ndo penyewe....halmashauri zmeoza pesa mingi sana znaliwa huko......hawa watu wajengewe jela yao kabisa....
 
ww kwel huna maana kama mlizoea kutunyonya ww na hao unaosema wazir mkuu anawadharirisha sasa bac mwache majaliwa afanye kazi
 
Pasco umejivunjia kwa hii post, unatakaje hasa, atoe taarifa kama anaenda sehemu kukagua au unataka afanyeje, hebu leta njia mbadala jinsi gani waziri mkuu anatakiwa afanye kazi. Tumeibiwa miaka 10, nchi imekuwaje ya watu fulani tu, Leo mkombozi kapatikana pasco unalalamikia? Watanzania tulisharogwa nadhani, hatuna jema
 
Waziri Mkuu anafanya kazi nzuri .....na wote wanaompinga ni wa wale wanao au walio kuwa wananufuika na mfumo badhirifu.

Namba lazima isomeke vizuri hapa ..... Hon Majaliwa what u r doing is very okay and probably not enough

This is what We Tanzanians want .....hatutaki maigizo ya watendaji kwenye kodi za watanzania.
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomngoa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini, na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makomtena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkuugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco

Umekula maharage ya wapi?kwa hiyo ulitaka awachekee tu?mungu amesikia kilio chetu,tuwaache magufuli na timu yake wapige kazi na ningekuwa mimi hata viboko wangepigwa hadharani!hii ndio tanzania tuliyoitaka.
 
wamekwepa kama nusu trillioni, kwakuwa wanaficha kwa dollar hivyo wamechangia madafu ishuke vibaya, ....
 
Mkuu Pasco,

Unaweza ukawa sahihi ila kwa level tuliyofikia, tunahitaji kutumia aina fulani ya ukichaa. Wakipunguza kudhalilisha itasaidia ila kwa mengine nawaunga mkono.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomngoa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini, na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makomtena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkuugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco

I find emotions in your post.
Are you and can you be rational?
Open up, I believe you are afraid of loosing your lucrative contracts from the present
corrupt leaders of public corporations.
Let Kassim and his boss JPM salvage whatever is salvageable.
MP's should help this new administration by enacting a law to question Presidents, past and present.
 
Naipenda hii kasi ya magufuli lakini naona kwenye management kidogo something is lacking. sio kazi ya majaliwa kukagua makontena. Fix the system ifanye kazi yenyewe hata ukiwa umelala nyumban!!!
 
Ndiyo walikuwa kwenye serikali iliyopoita lakini walikuwa wana wakubwa juu yao walikuwa wakipewa amri ,wasingeweza fanya hivyo sasa ndiyo wakubwa
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomngoa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini, na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makomtena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkuugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco
Ila alichofanya jecha Zanzibar ndio good governance?
 
Paraphrasing a story that I read when I was a little boy (which is infinitely long ago), let me say that when they see the PM they are not seeing their judge; they are seeing their judgement!

Majaliwa anawashukia akiwa ameshakusanya ushahidi wa kutosha kuwahukumu. Hukumu haitolewi kifichoni bali inatolewa hadharani ili iwe funzo kwa wote. Hapashwi kuwaita pembeni kwani nia ni kutoa somo kali kwa wote.

Inanikumbusha Jerry Rawlings alipotwaa madaraka mara ya kwanza. Uozo uliokuweko Ghana ulimlazimisha awapange viongozi mstari mmoja ufukweni na kuwapa adhabu kali kuliko zote, na watu walishuhudia. Fundisho.

Kwa hapa mwanzoni, lazima Majaliwa achukue hatua kali na za kutoa fundisho kwa wengine. Haendi huko kufanya mazungumzo nao bali anakwenda kuwaadhibu. keep it up!
 
Acheni wizi Majaliwa hatawadhalilisha. Kama mtaendelea na wizi msitarajie kuwatunzia heshima. Kwa nini useme uongo kwa kiongozi mkuu wa serikali na hapo hapo akikuonyesha ushahidi tena ugeuke na kusema unazo taarifa? Nini hasa unataka Majaliwa afanye?
 
kama uchawi upo basi mganga wa ccm na jk kiboko.kwa miaka yote mkasema elimu bure hadi chuo kikuu haiwezekani!Kumbe makontena ya bandarini pekee hata tusipolima tunaweza kula na kusaza.kagame mate yanamtoka akitazama ramani na kugundua hana bandari.elimu bure hadi chuo kikuu inawezekana kama mapato yakidhibitiwa
 
Mtoa hoja uwe na hata chembe ya aibu kutoa hoja kama hii, anachofanya Rais wengi wamekikubali. Ungekuwa umesomea uongozi wa umma kwa level ya juu ungemwelewa Rais ana maana gani kutumia technique hiyo.

Tatizo naloliona kwako si uelewa tu wa taaluma ya uongozi bali hata kuchang

anua mambo kidogo kwako ni ngumu.
 
Anavyofanya sawa sawa. Waache Headmaster (Magufuli) na Academic Master (Majaliwa) wetu wachape kazi.

Tena Bado Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Nendeni na huko. Majengo yote yale waliyojenga lazima Kuna Mafisadi wa majengo hatari.

Fanyeni kazi bila kumuangalia mtu usoni, iwe barabarani, ofisini au korokoroni.

Go Magufuli, Go Majaliwa. Tumbueni MAJIPU.

We are behind you, and we pray for you.

Ni sawa kabisa kwani uzembe na ufisadi vilitamalaki.Bado nhc na mifuko yote ya hifadhi ya jamii. Kuna ufisadi mkubwa sana humo. Majengo kodi kubwa na hawapati wa pangaji. Ni kutokana na gharama za ujenzi kuwa juu kuliko gharama halisi. Nhc wanauza medium cost 3 room apartment tzs 400m wakati kujenga one storey house haizidi tzs 150m hapa Arusha.
 
Back
Top Bottom