Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Pasco, mimi nilidhani ungempongeza waziri mkuu kwa kufanya mambo bila kukurupuka. Kwa maana tayari amekwishafanya uchunguzi na kukusanya data za kiutendaji kisha anakwenda kufuatilia.

Pengine mawaziri wengi hawakuwa na tabia ya kukusanya data za wizara zao na hupelekea kudanganywa na watendaji walio chini yao. Hivi unadhani Waziri Majaliwa asingekuwa na data za kutosha (likaratasi alilolichomoa) angekuwa na nguvu ya hata kubishia majibu aliyopewa?

Bila shaka angekubali majibu ya watendaji kumbe kuna watu wanaendelea kupiga pesa kila uchao na kuikosesha serikali mapato.

Suala la msingi ni kila mtendaji awajibike kwa nafasi yake. Unapopewa kazi ya kuwatumikia watanzania, unakuwa umepewa dhamana ya watanzania. Fanya kazi, na uwe tayari kutoa taarifa za kiutendaji muda wowote utakiwapo.

Kukosekana kwa hali hii kumeifanya Tanzania kufikia hapa tulipo. Hongera Magufuli, Hongera Majaliwa.
 
Last edited by a moderator:

Wewe pascko kama unadaiwa kodi na unaujua muda uliopewa kalipe kodi acha ubabaishaji hii ndio kazi zinavyotakiwa kufanwya na kunongona
 
Pasco, mimi nilidhani ungempongeza waziri mkuu kwa kufanya mambo bila kukurupuka. Kwa maana tayari amekwishafanya uchunguzi na kukusanya data za kiutendaji kisha anakwenda kufuatilia.

Pengine mawaziri wengi hawakuwa na tabia ya kukusanya data za wizara zao na hupelekea kudanganywa na watendaji walio chini yao. Hivi unadhani Waziri Majaliwa asingekuwa na data za kutosha (likaratasi alilolichomoa) angekuwa na nguvu ya hata kubishia majibu aliyopewa?

Bila shaka angekubali majibu ya watendaji kumbe kuna watu wanaendelea kupiga pesa kila uchao na kuikosesha serikali mapato.

Suala la msingi ni kila mtendaji awajibike kwa nafasi yake. Unapopewa kazi ya kuwatumikia watanzania, unakuwa umepewa dhamana ya watanzania. Fanya kazi, na uwe tayari kutoa taarifa za kiutendaji muda wowote utakiwapo.

Kukosekana kwa hali hii kumeifanya Tanzania kufikia hapa tulipo. Hongera Magufuli, Hongera Majaliwa.
 
Last edited by a moderator:
Hapa Pasco naanza kukudharau. Hivi kati ya waziri mkuu aliye muuliza mtu swali kisha mtu yule akajibu uongo na udanganyifu ni yupi ana mdhalilisha mwenzie? Kumbuka huu usemi. Maana na nukuu tu " Mtu akikuambia jambo la kipumbavu na akifahamu wazi kwamba wewe una fahamu kwamba jambo lile nila kipumbavu , Wewe ukalikubali - Mtu huyo atakudharau ". Sasa wewe Pasco ndugu yangu ulitaka Waziri mkuu afanyeje? Huna hata aibu kuandika post yako hii?
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kassim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomng'oa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huku akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo karatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa Rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkurugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.

Pasco

My Take:
Tuna tatizo kubwa la uelewa humu, ila pia kufuatia wengi kuchoshwa na kukinaishwa na rushwa na ufisadi, wamekata tamaa na kuhamaniko na mihemuko ya kuchukuliwa hatua kali sana na ikibidi hata wanyongwe!.

Nimenote wengi humu hawakunielewa!, japo nimeanza kwa utangulizi wa kuunga mkono hatua zozote zinazochukuliwa na awamu ya 5 kupiga vita rushwa na ufisadi, siungi mkono the means kwa kutumia populistic approach ya kufanya ili watu waone unafanya!.

Tanzania ni nchi inayofuata mfumo wa haki wa Uingereza, wa presumed innocent until proven guilt beyond reasonable doubt by the court of competant juisdiction!, kinachofanyia ni media trial kumuonyesha mtu ni mkosaji mbele ya camera!.

Sio wengi humu wanaojua kuwa hata mhalifu anahaki!, hata mlaushwa, fisadi, mwizi, pia ana haki!. Hata muuaji aliyehukumiwa kifo kwa kunyongwa naye pia ana haki zake, ananyongwa kwa heshima yake, na kabla hajanyongwa, anaitwa daktari kumpima afya yake, akikutwa na maadhi yoyote, hanyongwi!, bali anatibiwa mpaka apone ndipo adhabu hiyo itekelezwe!.

Japo kisheria hairuhusiwi kamera za waandishi kuingizwa mahakamani, Tanzania tunaingiza kamera mahakamani!, polisi nao wanawaparade wahalifu
kwa waandishi wa habari ili hali wako mikononi mwa polisi!, ni kama kuwahukumu kabla!. Kama Kova kila uchao, kwenye screen!, hilo baraza jipya likiishateuliwa, kama kila waziri nae atatembea na media team ili watu waone si itakuwa chaos?!.

Vita dhidi ya uzembe, rushwa, ufisadi, na ukwepaji kodi yes!, means no!, haki sio tuu itendeke bali pia ionekane kutendeka!.

Pasco

Langu jicho! Ngoma ivumayo........
 
Pasco ukiona siasa inakushinda usiifuatilie, sio lazima jaribu vitu vingine ambavyo vitakupendeza wewe.
unaleta ujinga watu wanajitahidi kunyoosha nchi we unaleta siasa zako za kitoto. kaa pembeni wanaume wafanye kazi. tabia hizi hizi za kina Pasco ndizo zimefanya taifa hili likafika hapa. tabia zi azoleteleza kuoneana haya, urafiki, undugu sijui na nini.
naomba unielewe
 
Pasco unatupotezea muda kujadili viti vya kitoto. embu grow up kidogo. sio kila siku unaleta habari za utani utani tu. wewe ulifaa kuishi kama China ndio ungenyooka, ambapo ukila rushwa tu unachapwa risasi.
 
Wanaomuunga Mkono mleta mada wanayatetea majizi ya Mali/fedha za umma,unataka utaratibu ktk kumwajibisha mwizi?:what:
 
Tulikuwa tunalalamika mwizi wa kuku kuchomwa moto na mafisadi wa mabilioni wakipeta tu. Leo wanaadabishwa tena tuanze kulialia khaa!! Wewe ni LIPUMBAVU likubwa kubwa buana...
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kassim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomng'oa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huku akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo karatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa Rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkurugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.

Pasco

My Take:
Tuna tatizo kubwa la uelewa humu, ila pia kufuatia wengi kuchoshwa na kukinaishwa na rushwa na ufisadi, wamekata tamaa na kuhamaniko na mihemuko ya kuchukuliwa hatua kali sana na ikibidi hata wanyongwe!.

Nimenote wengi humu hawakunielewa!, japo nimeanza kwa utangulizi wa kuunga mkono hatua zozote zinazochukuliwa na awamu ya 5 kupiga vita rushwa na ufisadi, siungi mkono the means kwa kutumia populistic approach ya kufanya ili watu waone unafanya!.

Tanzania ni nchi inayofuata mfumo wa haki wa Uingereza, wa presumed innocent until proven guilt beyond reasonable doubt by the court of competant juisdiction!, kinachofanyia ni media trial kumuonyesha mtu ni mkosaji mbele ya camera!.

Sio wengi humu wanaojua kuwa hata mhalifu anahaki!, hata mlaushwa, fisadi, mwizi, pia ana haki!. Hata muuaji aliyehukumiwa kifo kwa kunyongwa naye pia ana haki zake, ananyongwa kwa heshima yake, na kabla hajanyongwa, anaitwa daktari kumpima afya yake, akikutwa na maadhi yoyote, hanyongwi!, bali anatibiwa mpaka apone ndipo adhabu hiyo itekelezwe!.

Japo kisheria hairuhusiwi kamera za waandishi kuingizwa mahakamani, Tanzania tunaingiza kamera mahakamani!, polisi nao wanawaparade wahalifu
kwa waandishi wa habari ili hali wako mikononi mwa polisi!, ni kama kuwahukumu kabla!. Kama Kova kila uchao, kwenye screen!, hilo baraza jipya likiishateuliwa, kama kila waziri nae atatembea na media team ili watu waone si itakuwa chaos?!.

Vita dhidi ya uzembe, rushwa, ufisadi, na ukwepaji kodi yes!, means no!, haki sio tuu itendeke bali pia ionekane kutendeka!.

Pasco
We need transformation not changes. To achieve this you must bold, cold blooded kind of leader.
Hakuna muda wa maadiliano na a good thing ni kwamba Mh. Ameenda pale akiwa na ushahidi wa kutosha.
Kama unaotaka wapewe heshima hawajiheshimu unataka mkuu wao awaheshimu kwa lipi?
Sifahamu mfumo wao wa kazi/ chain of command lakini mtu kama Mkurugenzi alikuwa na uwezo wa kuomba appointment na mh ili akumweleze madude ya taasisi yake badala ya kusubiri "atembelewe".
Tuache kufanya kazi kwa mazoea na kulalamika.
Ilifika wakati mkawa mnaomba kiongozi dictator ili mambo yaende, ndio huyu sasa. ..tufanye kazi.
 
ati bandari inakopa benki alafu hiyo pesa inafanya kazi ya kulipa mishahara?!!!
 
Mtoa post sio mzima, kuna neno umeandika bila sababu!!!! Haa yaani wizi wote huo sio sababu??? Good governance ya jk ndio imetufikisha hapa, kama mbinu hazitusaidii ya nn kuzifuata, bora iwe hvyo tu labda kama angekuwa anawasingizia
 
Pasco, To hell na uelewa wako. sisi hatutaki uelewa. Tunachotaka ni rushwa inakoma, wananchi wanapata huduma kama wananchi ni si wa kimbizi. Huo uelewa wako tia kapuni uelimishe familia yako.
 
wanabodi,

kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na waziri mkuu, wetu, mhe. Majaliwa, kassim majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha tra kilichomng'oa kamishna mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huku akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo karatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.

Hata tra siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda trl na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 tib za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, mkurugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya waziri mkuu, wetu, mhe. Majaliwa, kasim majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, leo nimemuona magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na waziri mkuu, wetu, mhe. Majaliwa, kasim majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, sio sawa, sio haki, sio good governance!, ni udhalilishaji na kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.

Pasco

my take:
Tuna tatizo kubwa la uelewa humu, ila pia kufuatia wengi kuchoshwa na kukinaishwa na rushwa na ufisadi, wamekata tamaa na kuhamaniko na mihemuko ya kuchukuliwa hatua kali sana na ikibidi hata wanyongwe!.

Nimenote wengi humu hawakunielewa!, japo nimeanza kwa utangulizi wa kuunga mkono hatua zozote zinazochukuliwa na awamu ya 5 kupiga vita rushwa na ufisadi, siungi mkono the means kwa kutumia populistic approach ya kufanya ili watu waone unafanya!.

Tanzania ni nchi inayofuata mfumo wa haki wa uingereza, wa presumed innocent until proven guilt beyond reasonable doubt by the court of competant juisdiction!, kinachofanyia ni media trial kumuonyesha mtu ni mkosaji mbele ya camera!.

Sio wengi humu wanaojua kuwa hata mhalifu anahaki!, hata mlaushwa, fisadi, mwizi, pia ana haki!. Hata muuaji aliyehukumiwa kifo kwa kunyongwa naye pia ana haki zake, ananyongwa kwa heshima yake, na kabla hajanyongwa, anaitwa daktari kumpima afya yake, akikutwa na maadhi yoyote, hanyongwi!, bali anatibiwa mpaka apone ndipo adhabu hiyo itekelezwe!.

Japo kisheria hairuhusiwi kamera za waandishi kuingizwa mahakamani, tanzania tunaingiza kamera mahakamani!, polisi nao wanawaparade wahalifu
kwa waandishi wa habari ili hali wako mikononi mwa polisi!, ni kama kuwahukumu kabla!. Kama kova kila uchao, kwenye screen!, hilo baraza jipya likiishateuliwa, kama kila waziri nae atatembea na media team ili watu waone si itakuwa chaos?!.

Vita dhidi ya uzembe, rushwa, ufisadi, na ukwepaji kodi yes!, means no!, haki sio tuu itendeke bali pia ionekane kutendeka!.

Pasco
wape wape za usoni majizi hao heshima gani wanastahili hawa majizi wa fedha za wananchi kiasi inashindwa kujiendesha wao wanalala wanaangalia senema live ya dolar zetu? Hayo waliyataka badala ya kufanya waliyotakiwa
 
Makampuni ya umma...competence ianze kurudi sasa. Wizi ifike ukomo
 
Tunaomjua Pasco tunapita kimya kimya hapa...
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kassim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomng'oa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huku akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo karatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa Rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkurugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.

Pasco

My Take:
Tuna tatizo kubwa la uelewa humu, ila pia kufuatia wengi kuchoshwa na kukinaishwa na rushwa na ufisadi, wamekata tamaa na kuhamaniko na mihemuko ya kuchukuliwa hatua kali sana na ikibidi hata wanyongwe!.

Nimenote wengi humu hawakunielewa!, japo nimeanza kwa utangulizi wa kuunga mkono hatua zozote zinazochukuliwa na awamu ya 5 kupiga vita rushwa na ufisadi, siungi mkono the means kwa kutumia populistic approach ya kufanya ili watu waone unafanya!.

Tanzania ni nchi inayofuata mfumo wa haki wa Uingereza, wa presumed innocent until proven guilt beyond reasonable doubt by the court of competant juisdiction!, kinachofanyia ni media trial kumuonyesha mtu ni mkosaji mbele ya camera!.

Sio wengi humu wanaojua kuwa hata mhalifu anahaki!, hata mlaushwa, fisadi, mwizi, pia ana haki!. Hata muuaji aliyehukumiwa kifo kwa kunyongwa naye pia ana haki zake, ananyongwa kwa heshima yake, na kabla hajanyongwa, anaitwa daktari kumpima afya yake, akikutwa na maadhi yoyote, hanyongwi!, bali anatibiwa mpaka apone ndipo adhabu hiyo itekelezwe!.

Japo kisheria hairuhusiwi kamera za waandishi kuingizwa mahakamani, Tanzania tunaingiza kamera mahakamani!, polisi nao wanawaparade wahalifu
kwa waandishi wa habari ili hali wako mikononi mwa polisi!, ni kama kuwahukumu kabla!. Kama Kova kila uchao, kwenye screen!, hilo baraza jipya likiishateuliwa, kama kila waziri nae atatembea na media team ili watu waone si itakuwa chaos?!.

Vita dhidi ya uzembe, rushwa, ufisadi, na ukwepaji kodi yes!, means no!, haki sio tuu itendeke bali pia ionekane kutendeka!.

Pasco
Ndg Pasco,

Kwanza niseme Sisi tuliowengi ndio tumedhalilishwa na wachache tuliowapa DHAMANA kutowajibika ni tendon la GOOD GOVERNANCE?
JE hawakujua zipo consequences kwa njia moja ama nyingine ie kuwajibishwa, kulindwa na kufumbiwa macho.

Pasco, zipo njia nyingi za kufika ROMA!
 
Watu ambao dhamiri zao zimekufa dawa yao ndiyo hiyo hiyo ya Majaliwa. Sasa mtu anaulizwa anasema uongo, kwa nini methali ya njia ya mwongo ni fupi isimfikie?

Wanaosema kasi ya hawa ndugu zetu tuliowapatia dhamana inadhalilisha viongozi waliopita ni propaganda tu. Kama tunafikiri walipaswa wafanye kama waliotangulia basi tuna wafanya wapiga kura kuwa hawana macho. Wapiga kura tumekuwa na kiu ya haya yanayoendelea miaka mingi.

Kauli mbiu ya Maisha bora kwa kila Mtanzania ilipokuja tulitarajia haya ya sasa. Lakini ikapotea kama mwanga wa mshumaa. Ikaja ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya, matokeo yake ndiyo haya tunayopigwa butwaa na ufisadi wa kutisha kila kona.

Mbona mahakamani maswali ya ajabu watu wanaulizwa mbele ya wasikilizaji na hatusemi watu wamedhalilishwa????? Acheni mambo yenu ya kutaka kuturudisha nyuma. Kura yangu natamani itendewe haki. Hatuwezi kufuga watu waliokufa dhamiri zao na utu wao kwa kisingizio cha good governance. Kama good governance ni kupelekea kuwaacha matapeli wa kila na kunywa hata kisichowahusu, basi hiyo good governance ni upumbavu.

Waziri Mkuu na Rais wanafanya kazi yao nzuri. Hatuwezi kuwa tunakopa mabilioni na mabilioni ya pesa kujenga na kuboresha bandari zetu, halafu watu wachache wenye kujinufaisha wakakalia mikopo yetu wakati bado tunaumia kulipa deni la taifa.

Tena Rais awanyooshe vizuri. Kuna Mwenyekiti mmoja wa kampuni fulani, hivi karibuni ametangaza kwamba wakati anaazimisha miaka kadha wa kadha ya gazeti lake, wote waliozaliwa 21 December wawasilishe vielelezo wapate 50,000. Hawa ni aina ya watu wanaojilimbikizia pesa za wizi wa kodi na kuzitumia kwa anasa au kujitafutia sifa za kijinga. Sasa watu wa namna hii wakibainika wanakwepa kodi unataka good governance???

Ninaomba maombi yafuatayo yamfikie Rais na Waziri Mkuu. Ulinzi wenu uimarishwe sawasawa maana wapo waliozoea kuishi kama kupe kwenye mwili wa nchi yetu. Hawa hawakosi kutenda hila juu yenu, hivyo ulinzi imara ni wa lazima. Mfalme Daudi wa Israeli alipoona anawindwa sana alituma watu wakaenda kuwachukua wazazi wake kuwaleta kambi ya jeshi lake kwa usalama. Nina maanisha kila eneo la maisha yenu lidhibitiwe sawasawa.

Vita yenu ni vita kati ya Wenye Haki na wahujumu uchumi na walanguzi. Mhe. Majaliwa hapo ni kama Sokoine wetu aliyetutangulia. Vita zidi ya wahujumu uchumi na walanguzi si ya kuibeza.

Pili, nirejee ushauri ambao nimeutoa mara nyingi. Kwa Mhe. Magufuli na Mhe. Majaliwa kwamba usafiri wa chopa siyo salama kwa mazingira ya hapa kwetu. Mhe. Magufuli ni shahidi jinsi Mungu aliye hai alivyowanusuru mwaka ule mafuriko yalipotokea. Pale tu itakapokuwa hakuna jinsi ndipo mtumie usafiri huo, vinginevyo achaneni nao.

Tatu tunawaombea. Fanyeni kazi. Kila Mtanzania mwenye kupenda Haki amefunga mikono yake pamoja kuwaombea.
 
Back
Top Bottom