Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Mkuu samahani hivi hakuna muslam aliyesoma mwenye vigezo vya kua sehemu fulani ya selikali mpaka teuzi zote zilenge wakristo?Kuna kitu hamuelewi tu au mnaelewa mnajaribu kupotezea
Wakati wakristo wanapeleka watoto wao shuleni duniani kote,ninyi watoto wenu mliwapeleka madrasa
Dunia inaendeshwa na elimu dunia hii ambayo ina misingi ya kizungu na wazungu ni wakristo,mlipotea pale mliposoma tu dini lakini mkiishi ktk dunia inayoendeshwa na elimu dunia na mnayaishi maisha hayo
Hapo ndipo anguko lenu lilipo na si lawama kwa mtu yoyote isipokua ninyi wenyewe
Jamii yenu kubwa imebeba ukorofi,visasi na kumsingizia MUNGU kua ndiyo anawaelekeza kubeba hasira zenu dhidi ya jamii ya imani nyingine. Na kwa ufinyu wa kufikiri mnakua mnaona kua nchi au dunia inaendeshwa kwa misingi ya kikristo lakini si kweli.
Ni kwa sababu tu hao wakristo ni wengi na wasomi, hivyo utawaona ktk kila jambo na utaishia kuumia tu
Majaliwa! Wapo waislamu wengi tu naona wewe ukiona wamefunga tai unaogopa unadhani wakristo.Mkuu samanani hivi hakuna muslam aliyesoma mwenye vigezo vya kua sehemu flani ya selikali mpaka teuzi zote zilenge wakristo?
Nadhani hujamwelewa jamaa bado, hana shida na ukristu wa magufuli, wala hana shida na yeye kusali makanisani.......Mtoa hoja nadhani kuna jambo kubwa kubwa sana una-miss na iko haja kuweka record sawa.
Nianze na ku-declare interest, mimi ni Mkristo pia, ili muktadha wa mjadala uwe sawia.
Kusudi la Injili ya Kristo ni kuwahubiri wanadamu wote upendo wa Mungu ili wawe Wakristo. Ndio maana ujio wa Ukristo kupitia wamishenari, walihubiri Ukristo kwa watu wote na walioamini walikuwa converted kutoka kwenye dini zao ili wawa Wakristo bila kuja dhehebu.
Matthew 28: 19-20
Therefore go and make disciples of all nations, baptizing them in the name of the Father and of the Son and of the Holy Spirit, and teaching them to obey everything I have commanded you
Mara nyingi Rais Magufuli ameonekana makanisani, sio kanisa lake la Katoliki bali hata makanisa mengine. Sijawahi kumsikia akihubiri injili ya kuwataka Watanzania wawe converted kuwa Wakristo.
Mara nyingi amekuwa akitutaka/akituasa Watanzania tumtangulize Mungu katika mambo yetu, tumwombee yeye, tuitakie nchi amani; mambo haya ni sawa kabisa kwa mtu yeyote nobble.
John Magufuli ambae pia ni Rais, kwa msingi wa imani ya Kikristo alitakiwa ahubiri injili na kuwataka watu wote wabatizwe kama Biblia ilivyoandika (rejea Matthew 28); angesimama kuhubiri upendo wa Kristo madhabahuni na kuwataka Watanzania wawe converted kuwa Wakristo, nadhani kesho yake mitandao ya kijamii na media za ughaibuni zingeponda sana kwanini Rais anahubiri Ukristo madhabahuni huku pia ni sehemu ya wajibu wake.
Itoshe kusema, tumepata Rais ambae anampenda Mungu bila kujali mapungufu machache ambayo anaweza kuwa nayo kama mwanadamu yeyote yule. Kwa yeye kwenda kusali mbele za Mungu makanisani ni ishara ya unyenyekevu kwa Mungu; Yesu alisema, mwenye afya hamwitaji Daktari, sisi wengi twaenda kanisani si kwa kuwa tu wakamilifu, bali tunahitaji injili inayohubiriwa madhabahuni itungeuze mioyo yetu tumjue Mungu zaidi na kuwatendea wema jirani zetu sawia na maandiko yanvyo tuangiza.
Tumwombeeni John Magufuli kwa kuwa ni mwanadamu, tumwombeeni John Magufuli kwa kuwa ni Rais, Mkuu wa Nchi na Amri Jeshi Mkuu.
...Therefore I [a]exhort first of all that supplications, prayers, intercessions, and giving of thanks be made for all men, for kings and all who are in [b]authority, that we may lead a quiet and peaceable life in all godliness and [c]reverence
...I urge, then, first of all, that petitions, prayers, intercession and thanksgiving be made for all people— for kings and all those in authority, that we may live peaceful and quiet lives in all godliness and holiness.
1Timothy 2:1,2
Asante sana mkuuNadhani hujamwelewa jamaa bado, hana shida na ukristu wa magufuli, wala hana shida na yeye kusali makanisani.......
tatizo analoliona yeye ni kukifanya kitendo cha yeye kusali kama habari ya taifa, yan kurugenzi ya mawasiliano Ikulu haitofautishi kati ya habari za Raisi Magufuli na habari za Mkristo Magufuli.........
ndio mana akauliza, Je Mkapa hakuwa anaenda kanisani? Kikwete msikitini?
mimi nadhani pres wetu somehow anataka kupata advantage kisiasa ya ukristo wake, which is too bad
Angekuwa mdini angemchagua Waziri mkuu muislam?Magufuli ni Mdini, Mkabila, mpenda ubaguzi wa kikanda na mdharau wanawake. Amethibitisha hilo mara nyingi kupitia matamshi na matendo yake
Umeeandika mambo mazito mno. Watanzania wengi najua hatuwazi mbali hivyo wengi watakupinga. Ukweli siko zote hukawia kufika lakini lazima ufike. Madhara ya anachofanya Magufuli sasa hivi yataonekana siku zijazo. Sikatai rais au kiongozi yoyote kuwa mcha Mungu (au kujifanya mcha Mungu), lakini anaposhindwa kutenganisha uongozi wake na dini yake hapo kuna madhara makubwa. Jana rais alipokuwa kwenye mkutano wa viongozi wa Assemblies Of God aligeuka kuwa mhubiri na mbaya zaidi tukio linaonyeshwa na kuchukuliwa kama tukio la kitaifa. Hili ni kosa kubwa sana. Na wakristo wengi tunaunyanyapaa uislam ndiyo maana hatuoni hili. Tuombe Mungu siku moja aje kuingia rais muislam aliyeshika dini kisawasawa (au anayejifanya kushika dini) uone nchi itakavyokuwa na kelele nyingi.Kabisa
Amedeclare yeye ni mkristo mkatoliki,umemu attack Kama muislamu.wewe ndio upo biased unakitu unachoamini kichwani mwako ndio unaona sahihi hikohiko , kuwa free minded mambo haya hayatakufikirisha mfano umemquotes mhe. mkapa kwenye kitabu chake ila mm nilivyosoma hiyo quotation nimeelewa alikuwa anaongelea mfumo wa elimu enzi za ukoloni..
serikali za kikoloni waliwaachia missionary wahusike kwenye swala la kutoa elimu kwa kuwaruhusu wajenge mashule hivyo ulisababisha wakristo wanufaike zaidi ya waisilamu ambao wao walitegemea zaidi shule za serikari na zilikuwa chache sana.
lkn haina maana mfumo wetu wa elimu sasa pia unapendelea wakristo zaidi HAPANA
watu disaini yk ni hatari imagine wewe umebahatika kusoma labda ikatokea kuaminiwa utoe mawaidha na waumini wenzako msikitini ambao wengi hawana elimu km yako ukaanza kufanya quotation km uliyoifanya hapa na ukawaaminisha wenzio kuwa mfumo wetu wa elimu unapendelea wakristu tu, utawapandikiza chuki waumini wenzio zidi ya serikali na wakristo isiyo na sababu mwishowe ni machafuko..
nikushauri tu ukiona km wakristo wanamashule mengi ujue waliivest na wanainvest kwa kuchangishana makanisani na misaada michache kutoka nchi waisani na wewe washawishi waumini wenzako na nchi wahisani ili mjenge mashule na vyuo vingi ili mjiinue kielemu na baada ya muda utakuwa sawa na wenzenu au hata kuwapita.
nadhan kuna shida kwa sisi Wakristo, tena kubwa....... Yesu ametufundisha kutenda mema na kuwa Nuru ndio kutawafanya hata mataifa(wasioamini including muslims) waipende hii imani na kuja huku....... hakutufundisha kuwachukia au kuwatendea vibaya!Asante sana mkuu
wewe ndio upo biased unakitu unachoamini kichwani mwako ndio unaona sahihi hikohiko , kuwa free minded mambo haya hayatakufikirisha mfano umemquotes mhe. mkapa kwenye kitabu chake ila mm nilivyosoma hiyo quotation nimeelewa alikuwa anaongelea mfumo wa elimu enzi za ukoloni..
serikali za kikoloni waliwaachia missionary wahusike kwenye swala la kutoa elimu kwa kuwaruhusu wajenge mashule hivyo ulisababisha wakristo wanufaike zaidi ya waisilamu ambao wao walitegemea zaidi shule za serikari na zilikuwa chache sana.
lkn haina maana mfumo wetu wa elimu sasa pia unapendelea wakristo zaidi HAPANA
watu disaini yk ni hatari imagine wewe umebahatika kusoma labda ikatokea kuaminiwa utoe mawaidha na waumini wenzako msikitini ambao wengi hawana elimu km yako ukaanza kufanya quotation km uliyoifanya hapa na ukawaaminisha wenzio kuwa mfumo wetu wa elimu unapendelea wakristu tu, utawapandikiza chuki waumini wenzio zidi ya serikali na wakristo isiyo na sababu mwishowe ni machafuko..
nikushauri tu ukiona km wakristo wanamashule mengi ujue waliivest na wanainvest kwa kuchangishana makanisani na misaada michache kutoka nchi waisani na wewe washawishi waumini wenzako na nchi wahisani ili mjenge mashule na vyuo vingi ili mjiinue kielemu na baada ya muda utakuwa sawa na wenzenu au hata kuwapita.
hahahaaaaaa tutamwita m-suni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (wale wavaa kanzu na vibkuta sijui ndio wanaita misuli[emoji23])Umeeandika mambo mazito mno. Watanzania wengi najua hatuwazi mbali hivyo wengi watakupinga. Ukweli siko zote hukawia kufika lakini lazima ufike. Madhara ya anachofanya Magufuli sasa hivi yataonekana siku zijazo. Sikatai rais au kiongozi yoyote kuwa mcha Mungu (au kujifanya mcha Mungu), lakini anaposhindwa kutenganisha uongozi wake na dini yake hapo kuna madhara makubwa. Jana rais alipokuwa kwenye mkutano wa viongozi wa Assemblies Of God aligeuka kuwa mhubiri na mbaya zaidi tukio linaonyeshwa na kuchukuliwa kama tukio la kitaifa. Hili ni kosa kubwa sana. Na wakristo wengi tunaunyanyapaa uislam ndiyo maana hatuoni hili. Tuombe Mungu siku moja aje kuingia rais muislam aliyeshika dini kisawasawa (au anayejifanya kushika dini) uone nchi itakavyokuwa na kelele nyingi.
Hujamuelewa mtoa mada,zaidi na wewe umehubiriMtoa hoja nadhani kuna jambo kubwa kubwa sana una-miss na iko haja kuweka record sawa.
Nianze na ku-declare interest, mimi ni Mkristo pia, ili muktadha wa mjadala uwe sawia.
Kusudi la Injili ya Kristo ni kuwahubiri wanadamu wote upendo wa Mungu ili wawe Wakristo. Ndio maana ujio wa Ukristo kupitia wamishenari, walihubiri Ukristo kwa watu wote na walioamini walikuwa converted kutoka kwenye dini zao ili wawa Wakristo bila kuja dhehebu.
Matthew 28: 19-20
Therefore go and make disciples of all nations, baptizing them in the name of the Father and of the Son and of the Holy Spirit, and teaching them to obey everything I have commanded you
Mara nyingi Rais Magufuli ameonekana makanisani, sio kanisa lake la Katoliki bali hata makanisa mengine. Sijawahi kumsikia akihubiri injili ya kuwataka Watanzania wawe converted kuwa Wakristo.
Mara nyingi amekuwa akitutaka/akituasa Watanzania tumtangulize Mungu katika mambo yetu, tumwombee yeye, tuitakie nchi amani; mambo haya ni sawa kabisa kwa mtu yeyote nobble.
John Magufuli ambae pia ni Rais, kwa msingi wa imani ya Kikristo alitakiwa ahubiri injili na kuwataka watu wote wabatizwe kama Biblia ilivyoandika (rejea Matthew 28); angesimama kuhubiri upendo wa Kristo madhabahuni na kuwataka Watanzania wawe converted kuwa Wakristo, nadhani kesho yake mitandao ya kijamii na media za ughaibuni zingeponda sana kwanini Rais anahubiri Ukristo madhabahuni huku pia ni sehemu ya wajibu wake.
Itoshe kusema, tumepata Rais ambae anampenda Mungu bila kujali mapungufu machache ambayo anaweza kuwa nayo kama mwanadamu yeyote yule. Kwa yeye kwenda kusali mbele za Mungu makanisani ni ishara ya unyenyekevu kwa Mungu; Yesu alisema, mwenye afya hamwitaji Daktari, sisi wengi twaenda kanisani si kwa kuwa tu wakamilifu, bali tunahitaji injili inayohubiriwa madhabahuni itungeuze mioyo yetu tumjue Mungu zaidi na kuwatendea wema jirani zetu sawia na maandiko yanvyo tuangiza.
Tumwombeeni John Magufuli kwa kuwa ni mwanadamu, tumwombeeni John Magufuli kwa kuwa ni Rais, Mkuu wa Nchi na Amri Jeshi Mkuu.
...Therefore I [a]exhort first of all that supplications, prayers, intercessions, and giving of thanks be made for all men, for kings and all who are in [b]authority, that we may lead a quiet and peaceable life in all godliness and [c]reverence
...I urge, then, first of all, that petitions, prayers, intercession and thanksgiving be made for all people— for kings and all those in authority, that we may live peaceful and quiet lives in all godliness and holiness.
1Timothy 2:1,2
Umeruka ruka hoja za mtoa mada kwa sababu unazozijua.wewe ndio upo biased unakitu unachoamini kichwani mwako ndio unaona sahihi hikohiko , kuwa free minded mambo haya hayatakufikirisha mfano umemquotes mhe. mkapa kwenye kitabu chake ila mm nilivyosoma hiyo quotation nimeelewa alikuwa anaongelea mfumo wa elimu enzi za ukoloni..
serikali za kikoloni waliwaachia missionary wahusike kwenye swala la kutoa elimu kwa kuwaruhusu wajenge mashule hivyo ulisababisha wakristo wanufaike zaidi ya waisilamu ambao wao walitegemea zaidi shule za serikari na zilikuwa chache sana.
lkn haina maana mfumo wetu wa elimu sasa pia unapendelea wakristo zaidi HAPANA
watu disaini yk ni hatari imagine wewe umebahatika kusoma labda ikatokea kuaminiwa utoe mawaidha na waumini wenzako msikitini ambao wengi hawana elimu km yako ukaanza kufanya quotation km uliyoifanya hapa na ukawaaminisha wenzio kuwa mfumo wetu wa elimu unapendelea wakristu tu, utawapandikiza chuki waumini wenzio zidi ya serikali na wakristo isiyo na sababu mwishowe ni machafuko..
nikushauri tu ukiona km wakristo wanamashule mengi ujue waliivest na wanainvest kwa kuchangishana makanisani na misaada michache kutoka nchi waisani na wewe washawishi waumini wenzako na nchi wahisani ili mjenge mashule na vyuo vingi ili mjiinue kielemu na baada ya muda utakuwa sawa na wenzenu au hata kuwapita.
Wewe nawe hujamuelewa,zaidi umeandika kwa jazba kubwa,muelewe kwanza mkristo mwenzio.Mleta huu uzi ni lijinga sana, mmekosa udhaifu wa Dkt Magufuli sasa mnataka kuanza kutugawa watanzania kwa dini ili CUF wapate wafuasi wa dini ya kiislamu. Nadhani wewe na wenzako ni wajinga mno, mnapaswa hukumu ya kifo kabisa maana hatutaki mtu anayetugawa kwa sasa, tunahitaji mtu anayehimiza umoja, na siyo mawazo ya kigaidi kama uamusho. Na kwa uzi wako huu lazima ufuatiliwe ili liwe fundisho pimbi mkubwa
Wewe unawashambulia waislamu,Uzi huu alieandika ni mkristo,muelewe alichoandika msiandike kwa kuongozwana jazba.rudia Tena kusoma mada ndugu.Kuna kitu hamuelewi tu au mnaelewa mnajaribu kupotezea