Anachokifanya Rais Magufuli kingefanywa na Rais muislam basi angekosolewa vikali

Anachokifanya Rais Magufuli kingefanywa na Rais muislam basi angekosolewa vikali

Status
Not open for further replies.
Mkuu, kwa mfano uzi huu ungekua umeletwa na muislam, labda tuseme mzee Mohamed Said, basi watu wasingesoma hata content bali ingekua ni full mashambulizi bila kujali kama alichokiandika kina mashiko au la.
The very fact that i feel the need to declare my faith underpins it all.
Sidhani kama ingekuwa hivyo at all.
Ili kutofautiana kupo.
 
Waislamu sijui mna shida gani katika nchi hii yaani kila siku ni kulalamika tu mara nchi mfumo Kristo,mara wanawaferisha watoto wenu halafu ili usijulikane ni mjahidina umejivika ukristo bandia,jamani hizo dini zimeletwa zisiwafanye msitumie ufahamu wenu kujua mambo.
Mkristo mwenzio ndoameandika usiwashambulie waislamu
 
Yaani kama hata salamu zinakukera basi your narrow minded kwenye salamu hizo dini zote zinatajwa cha ajabu nini, kama unajenga hoja kwa vitu vidogo kama hivi basi hoja yako imekosa mashiko mbona kwenye nyumba za ibada za kiislamu anaingia na kutoa misaada hujazungumzia hapa,basi ungekataza asiingie kwenye nyumba za ibada zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta huu uzi ni lijinga sana, mmekosa udhaifu wa Dkt Magufuli sasa mnataka kuanza kutugawa watanzania kwa dini ili CUF wapate wafuasi wa dini ya kiislamu. Nadhani wewe na wenzako ni wajinga mno, mnapaswa hukumu ya kifo kabisa maana hatutaki mtu anayetugawa kwa sasa, tunahitaji mtu anayehimiza umoja, na siyo mawazo ya kigaidi kama uamusho. Na kwa uzi wako huu lazima ufuatiliwe ili liwe fundisho pimbi mkubwa
Chief Mudawote, kwani huwezi kutoa hoja zako kistaarabu kama mtu matured?
 
Mkuu bandiko zuri..

Nashangaa wao(Serikali ya CCM hasa magufuli) huwa wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa lakinj kibaya zaidi wamekua wa kwanza kuhubiri siasa kwenye nyumba ya Mungu tena imekua ni kama kawaida mpaka unajiuliza kuna ulazima gani Rais aongee wakati akiwa pale anakua chini ya kiongozi wa dini.

Kuhusu salam nakubaliana na wewe kwa 100% kwani zinaonyesha ubaguzi mkubwa sana kwa dini zingine na yumkini zinatugawa bila sisi kujua,unaposema A/alykum au bwana asifiwe na wakati kuna wahindu,wapagani nk ni ubaguzi,pia hata kutumia lugha za kikabila bila sababu ya msingi hasa kwenye mikutano ya mjini kwenye idadi kubwa ya wanaozungumza kiswahili fasaha ni ubaguzi pia.
 
Yeye kaamua kuileta tanzania na watanzania mbele za Mungu..hata wakati wa corona alisema marufuku kufunga misikiti na makanisa, watu waachwe waabudu, kitu ambacho hata nchi ambazo tawala zake ni za kidini kabisa zilishindwa.

Uzuri anaamini katika Mungu sio katika dini ndio maana anaingia dini zote na madhehebu na kumbuka aliwahi kuwakaribisha ikulu viongozi wa dini wote na kujadiliana nao kitu ambacho hakikuwepo kabla.

Huyu ni mkatoliki pure. Lakini ndio yeye aliomba ujengwe msikiti mkubwa kabisa ukiwa na maktaba ya dini ndani unaojengwa dar. Lakini aliomba na Dodoma ujengwe msikiti mkubwa kabisa afrika mashariki.

Ni yeye aliomba ushiriki wa muhadhara mkubwa wa kiislamu chini ya sheikh Nurdin kishki na kuwapa eneo maeneo ya temeke kama walivyoomba kwa miaka mingi wajenge hospital.

Lakini pamoja na yote yeye anabaki kuwa kiongozi wa nchi ambaye ana haki ya kuzungumza mafanikio ya nchi popote anapokutana na watanzania sababu inawezekana wengine ndio fursa yao ya kumsikiliza hapo tu.
 
Mosi: mimi sio muislamu, hakuna muislamu anayeikana dini yake.

Pili: kwakua sio muislam niko kwenye nafasi nzuri ya kuandika bila kuwa biased
Kwani Uisilamu au Ukristo ni Jina au kutamka humu mimi Mkristo ima Muisilamu?!
IMG_20200815_102221_693.jpg
 
Yeye kaamua kuileta tanzania na watanzania mbele za Mungu..hata wakati wa corona alisema marufuku kufunga misikiti na makanisa, watu waachwe waabudu, kitu ambacho hata nchi ambazo tawala zake ni za kidini kabisa zilishindwa.

Uzuri anaamini katika Mungu sio katika dini ndio maana anaingia dini zote na madhehebu na kumbuka aliwahi kuwakaribisha ikulu viongozi wa dini wote na kujadiliana nao kitu ambacho hakikuwepo kabla.

Huyu ni mkatoliki pure. Lakini ndio yeye aliomba ujengwe msikiti mkubwa kabisa ukiwa na maktaba ya dini ndani unaojengwa dar. Lakini aliomba na Dodoma ujengwe msikiti mkubwa kabisa afrika mashariki.

Ni yeye aliomba ushiriki wa muhadhara mkubwa wa kiislamu chini ya sheikh Nurdin kishki na kuwapa eneo maeneo ya temeke kama walivyoomba kwa miaka mingi wajenge hospital.

Lakini pamoja na yote yeye anabaki kuwa kiongozi wa nchi ambaye ana haki ya kuzungumza mafanikio ya nchi popote anapokutana na watanzania sababu inawezekana wengine ndio fursa yao ya kumsikiliza hapo tu.

Well said, JPM wakati anatengeneza mazingira kwa mfalme wa Morocco na yaliyotokea baadaye watu wako kimya. Ila akienda Kanisani akaongelea hapo ni mdini Mkristo. Hapa nimetumia jina zuri Mkristo wana lile jina maarufu wanalotuitaga manini vile!!!!
 
Mleta huu uzi ni lijinga sana, mmekosa udhaifu wa Dkt Magufuli sasa mnataka kuanza kutugawa watanzania kwa dini ili CUF wapate wafuasi wa dini ya kiislamu. Nadhani wewe na wenzako ni wajinga mno, mnapaswa hukumu ya kifo kabisa maana hatutaki mtu anayetugawa kwa sasa, tunahitaji mtu anayehimiza umoja, na siyo mawazo ya kigaidi kama uamusho. Na kwa uzi wako huu lazima ufuatiliwe ili liwe fundisho pimbi mkubwa
Acha upumbavu kubali ukatae,jiwe ni mfitini mkubwa kwa umoja umoja wa taifa letu.
 
Kwani Uisilamu au Ukristo ni Jina au kutamka humu mimi Mkristo ima Muisilamu?!
View attachment 1537787
Sasa ni matendo gani ambayo nimefanya yanayoashiria kuwa mimi sio mkristo? Kuandika ukweli?

Lakini pia kumbuka maneno ya kristo katika Mathayo 10:33
"Lakini yeyote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni"

Hivyo basi mimi kama mkristo, siwezi kumkataa Yesu mbele ya watu ikiwa ni pamoja na nyie wakuu wa hapa jukwaani.
 
Well said, JPM wakati anatengeneza mazingira kwa mfalme wa Morocco na yaliyotokea baadaye watu wako kimya. Ila akienda Kanisani akaongelea hapo ni mdini Mkristo. Hapa nimetumia jina zuri Mkristo wana lile jina maarufu wanalotuitaga manini vile!!!!
Ni kweli ila ni wachache ambao bado wanawaza hivyo kama huyo mtoa mada.

Kumbuka huyu jamaa amewanyoosha hadi viongozi wa kanisa katoliki na katika kikao chake na viongozi wa dini aliwachana ikulu kuhusu kuchaji gharama kubwa kwenye hospital zao pamoja na mambo ya kifisadi. Alitoa mfano hospital ya bugando inayomilikiwa na kanisa katoliki kwa kuwaambia hata yule sister aliyejiua alikutwa na zaidi ya mill 100 kwenye akaunti yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom