Hivi juzi kati Msajili wa vyama aliiandikia ACT Wazalendo barua ya kuwataka wajieleze kwa kutumika neno la Kidini (ALlahu Akbar wakati wa kupandisha bendera ya chama ) kwenye hafla ya kushusha Tanga na kupandisha Tanga kule Zenji.Walio sema Maneno hayo ni wafuasi tuu si Viongozi wala haikuwa Rasmi.Pia tujiulize, salamu za kidini zina ulazima gani kwenye shughuli za kiserikali? Sikumbuki kuwahi kumsikia Mzee Mkapa akisalimia watu 'Bwana Yesu asifiwe', au 'As-salaam aleikum', au 'Bwana apewe sifa'
Hakuna mkristo hapo.Mkristo mwenzio ndoameandika usiwashambulie waislamu
Ukweli hata Mimi salaam za kidini wanazosalimia wanasiasa kwenye mikutano ya kisiasa huwa zinanichefua Sana. Mengine ni masheitwani halafu yanasema salaam za kidini.you have a point. salamu za kidini kwenye mikutano ya hadhara are very awkward. salamu ni mabibi na mabwana habari" hiyo tu inatosha
Ni kweli ila ni wachache ambao bado wanawaza hivyo kama huyo mtoa mada.
Kumbuka huyu jamaa amewanyoosha hadi viongozi wa kanisa katoliki na katika kikao chake na viongozi wa dini aliwachana ikulu kuhusu kuchaji gharama kubwa kwenye hospital zao pamoja na mambo ya kifisadi. Alitoa mfano hospital ya bugando inayomilikiwa na kanisa katoliki kwa kuwaambia hata yule sister aliyejiua alikutwa na zaidi ya mill 100 kwenye akaunti yake.
Vipi hili analosema mtoa mada kuhusu kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu kufanya suala la mh rais kuabudu kama habari kuu, je hili kwako walionaje?wewe ndio upo biased unakitu unachoamini kichwani mwako ndio unaona sahihi hikohiko , kuwa free minded mambo haya hayatakufikirisha mfano umemquotes mhe. mkapa kwenye kitabu chake ila mm nilivyosoma hiyo quotation nimeelewa alikuwa anaongelea mfumo wa elimu enzi za ukoloni..
serikali za kikoloni waliwaachia missionary wahusike kwenye swala la kutoa elimu kwa kuwaruhusu wajenge mashule hivyo ulisababisha wakristo wanufaike zaidi ya waisilamu ambao wao walitegemea zaidi shule za serikari na zilikuwa chache sana.
lkn haina maana mfumo wetu wa elimu sasa pia unapendelea wakristo zaidi HAPANA
watu disaini yk ni hatari imagine wewe umebahatika kusoma labda ikatokea kuaminiwa utoe mawaidha na waumini wenzako msikitini ambao wengi hawana elimu km yako ukaanza kufanya quotation km uliyoifanya hapa na ukawaaminisha wenzio kuwa mfumo wetu wa elimu unapendelea wakristu tu, utawapandikiza chuki waumini wenzio zidi ya serikali na wakristo isiyo na sababu mwishowe ni machafuko..
nikushauri tu ukiona km wakristo wanamashule mengi ujue waliivest na wanainvest kwa kuchangishana makanisani na misaada michache kutoka nchi waisani na wewe washawishi waumini wenzako na nchi wahisani ili mjenge mashule na vyuo vingi ili mjiinue kielemu na baada ya muda utakuwa sawa na wenzenu au hata kuwapita.
Me Sio Mzanzibari!
Hii mada ulitakiwa uweke angalizo la wenye akili tu na walio neutral kimawazo kuwa ndo wahusika kuchangia. Bahati mbaya wamekuja wafia dini na wajinga wajinga ambao hawajui lolote kuhusu utengamano wa kitaifa.
Mimi mkristo, zile barua za wazi kutoka TEC na wakristo wengine kipindi cha Kikwete ziko wapi leo. Ule ukosoaji kipindi kile uko wapi? Mbona sikuwahi ona matangazo kuwa Kikwete kaenda kuswali Ijumaa.
Yani Magufuli anaenda kusali nayo inakuwa headline kwenye media, kurugenzi ya ikulu nayo inasema. Hawa watu wanaolazimisha tuwaone wacha Mungu sijawahi waamini.
Mimi ni shabiki mzuri sana wa secularism. Imagine Kikwete angekuwa anavaa kanzu kama watu wa Pwani si yangetolewa matamko ya kupinga.
Ziara ya mfalme wa Morocco ulikua ni ugeni wa kiserikali, lakini kitendo cha mheshimiwa rais kuomba msaada wa msikiti ni cha kujidhalilisha mno, hata huyo mfalme atakua alimshangaa!Hawawenzi kuelewa hilo. Ni muhimu kuelezana na kufundishana. Baadhi ya wenzetu hawa si wote lakini wakizazi chao ambacho kimeingia uzeeni sasa wanakuto kujiamini flani hivi walikojijengea. Unakuta mtu alisoma shule ya kanisa akapata elimu nzuri tu. Baadaye akaajiriwa serikalini kazi nzuri tu, ikamtoa kimaisha lakini bado nafsini mwake anakaubaguzi na chuki kwa wakristo.
Ndio unakuta mambo kama yale ya UDOM enzi zile na kuna wakati moja ya majeshi yakitafuta makuruta hata darasa la saba ili mradi tu awe wa dini yetu Wakati kazi yake huyu kuruta itamuhitaji ajue aeiou za sheria.
Wakati JPM anaongea na mfalme wa Morocco hatukusikia mbona anatumia urais kwenye mambo ya dini, unafiki unafiki tu..
Ni mkristo, siwezi kuikana imani yangu. Lakini namshukuru Mungu kuwa ukristo wangu haunitii upofu kwenye haki za wengine.
Ziara ya mfalme wa Morocco ulikua ni ugeni wa kiserikali, lakini kitendo cha mheshimiwa rais kuomba msaada wa msikiti ni cha kujidhalilisha mno, hata huyo mfalme atakua alimshangaa!
Tatizo letu wakristo ndio hili, tunadhani waislam mahitaji yao ni misikiti tu.
Ni mimi mwenyewe nimesukumwa na nafsi yangu mkuu, kwakweli nimeona japo hii ni topic 'sensitive' lakini ni jambo la heri zaidi tuijadili kuliko kukaa nayo mioyoni mwetu.mwarobaini_ je, umetumwa na nani hasa kuja 'Kupandikiza' hizi 'Chuki' zako za 'Kidini' hapa JF hasa kupitia tu huu 'Ufafanuzi' / 'Uchambuzi' wako?
Haijalishi kama ni BAKWATA au nani walimshauri, lakini haibadili ukweli kuwa mahitaji ya waislam nchi hii ni zaidi ya misikiti pekee.Wewe unajua wazo la kumuomba mfalme wa Morocco msikiti Mh Rais alishauriwa na nani? Kabla ya kuandika hivi. Hii si afya hata kidogo, unless uko na kazi nyingine umepewa hapa ya kutuchepusha kiana. Vinginevyo hii si nzuri hata kidogo.
Umesoma na kuuelewa uzi kweli?Kuna kitu hamuelewi tu au mnaelewa mnajaribu kupotezea
Wakati wakristo wanapeleka watoto wao shuleni duniani kote,ninyi watoto wenu mliwapeleka madrasa
Dunia inaendeshwa na elimu dunia hii ambayo ina misingi ya kizungu na wazungu ni wakristo,mlipotea pale mliposoma tu dini lakini mkiishi ktk dunia inayoendeshwa na elimu dunia na mnayaishi maisha hayo
Hapo ndipo anguko lenu lilipo na si lawama kwa mtu yoyote isipokua ninyi wenyewe
Jamii yenu kubwa imebeba ukorofi,visasi na kumsingizia MUNGU kua ndiyo anawaelekeza kubeba hasira zenu dhidi ya jamii ya imani nyingine. Na kwa ufinyu wa kufikiri mnakua mnaona kua nchi au dunia inaendeshwa kwa misingi ya kikristo lakini si kweli.
Ni kwa sababu tu hao wakristo ni wengi na wasomi, hivyo utawaona ktk kila jambo na utaishia kuumia tu
Ni mimi mwenyewe nimesukumwa na nafsi yangu mkuu, kwakweli nimeona japo hii ni topic 'sensitive' lakini ni jambo la heri zaidi tuijadili kuliko kukaa nayo mioyoni mwetu.
Ni mimi mwenyewe nimesukumwa na nafsi yangu mkuu, kwakweli nimeona japo hii ni topic 'sensitive' lakini ni jambo la heri zaidi tuijadili kuliko kukaa nayo mioyoni mwetu.