Anachokifanya Rais Magufuli kingefanywa na Rais muislam basi angekosolewa vikali

Status
Not open for further replies.
Mkristo Anapoona jambo lipo ndivyo sivyo Anamkimbilia Yesu kwa Kufunga na Kusali ili Yeye Asawazishe!
Humu ulimo leta Tukusaidie nini??Kama wanao Tesa na kuteseka, wamo Wakristo, Wapagani, na Waisilamu!
Hiyo mistari uliyo weka kwani ibilisi hawezi kughani??
 
umeongea vizuri, kwaio tatizo ni kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kugeuza hata mambo binafsi ya magufuli kuwa mambo ya kiserikali.........


mtu kuwa serious (au kujionesha kuwa serious) na imani yake naipenda hata mimi pia,....... japo napenda sana matendo ndio yaoneshe kwamba huyu kweli ni mtu mwenye hofu ya Mungu!
 
Sio hilo tu mengi yanafanywa ya ovyo ila hakuna wa kukemea wala kupinga hata kwa maneno tu ya kinafiki. Baada ya utawala huu atakayekuja atakuwa na kazi kubwa ya kurejesha usawa au utu wa kila mmoja aliyeumizwa kwa namna yake.
Wewe umeumizwaje?
 
Mkuu uko sahihi kabisa. Na haya yanayowatokea waisilamu, kwa kiwango fulani wanafanyiwa wapinzani, tena wanayokutana nayo wapinzani ni machafu zaidi. Na mifumo yote iko kimya kabisa kwenye tabia hizi za hatari.
Waislamu wamekutana na nini?
 
Nikitaka kuwa mkweli wa nafsi yangu, naamini kuwa Rais Magufuli ni Mkristo wa jina na siyo mkristo wa imani.

Hakuna aliye mkamilifu lakini kuna mambo ambayo mwanadamu yeyote ambaye ana hofu ya Mungu, kamwe hawezi kufanya, lakini yanafanyika kwenye utawala wake.

Naamini anaenda Kanisani kupata platform lakini siyo kwenda kupata kinachopatikana kanisani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu kanisani tu
 
naomba nitoe summary ya andiko lako.......


"wakristo au wanaopenda kuitwa wakristo ni wanafiki, na kwa % kubwa mno hata Kristo wanayemtamka midomoni hawamfuati au kuyaishi aliyoyaagiza".......
 
Mithali 31
8. Fumbua kinywa chako kwa ajili yake aliye bubu;
Uwatetee watu wote walioachwa peke yao;
9. Fumbua kinywa chako, uhukumu kwa haki;
Uwapatie maskini na wahitaji haki yao
 
Labda waarabu waliofika huku pwani ya Africa mashariki, elimu haikuwa kipaumbele chao.
 
umeona eee, yaani, yetu macho
 



Mkuu hii post yako imekaa kichochezi zaidi kuliko kukosoa, ilikupasa umkosoe Magufuli pekee bila kuhusisha Uisilamu au waisilamu kwani kufanya hivyo ni kumgombanisha Magu na Waisilamu, kama tunavyojua uchaguzi mkuu upo mbioni nawe unataka kutumia njia hii ya kuwagombanisha waisilamu na Magufuli hii sio sawa kabisa. Usiwafanye waisilamu kama bakora ya magufuli katika agenda zako za kisiasa.

Unatakiwa kumlaumu magufuli bila kuhusisha waisilamu hapo utaeleweka.
 
pointi ya mtoa mada bado ni ya msingi. iso.e vizuri uelewe usikurupuke
 
The advisor of the EAMWS Sheikh Hassan bin Ameir al-Shirazy was arrested and deported to Zanzibar. The Jamiyãt al-Islãmiyyah fi Tanganyika, which focused on the pressing educational needs of Muslims in Tanganyika was also banned in 1970 in the gist of secularism of education, before the government expressed its hostility in 1973 that only adults could perform Hajj (pilgrimage) to...

Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika — Mwalimu Julius K. Nyerere.
 
Kwakweli lengo langu sio kumgombanisha Magufuli na waislam, bali ni kukosoa mwenendo wa serikali yake wa kuchanganya shughuli za kiserikali na dini.
Lengo ni kujenga sio kubomoa, hata rais angekua muislam na angekua anayafanya haya ningeandika vilevile.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…