Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Punguza utoto dogo.Ajiandae na uchaguzi, ache genye mshindo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza utoto dogo.Ajiandae na uchaguzi, ache genye mshindo
Mara pap, vyombo vya dola vinasema haviko tayari tena kutumika kukibeba chama chochote cha siasa.Ushauri wa kipumbavu sana, hawajajiandaa kwa uchaguzi wanataka muda, hatuwapumzishi, ni mchaka mchaka tu
Panic disorderhuyo mpumbavu wenu mwambieni awaambie hao mabwana zake kule Ulaya nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu siyo kwa upuuzi wake huo.
upuuz tuKiburi ndio kitawamaliza ccm. Hoja aliyokuja nayo Lisu itakuwa na mashiko kwa umma kupita maelezo.
Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM. Nimesikiliza mahojiano yake kwa makini sana.
Pendekezo lake la "No Reforms na Elections" kwa alivyofafanua na nikamuelewa, anasema kwamba, Chadema wako tayari CCM iendelee kuwa madarakani kwa muda ulioongezwa, yaani Samia na Wabunge waendelee kuwa madarakani, hadi Reforms zikamilishwe.
Zikishakamilishwa basi ndipo sasa ipangwe Bunge livunjwe lini na Uchaguzi Mkuu ufanyike lini, labda October 2026 badala ya October 2025, au hata October 2027. Yaani Wabunge na Raisi waongezewe vipindi vyao vya sasa, labda mwaka mmoja, hadi miwili ikibidi, ili kufanya Reforms.
Sasa mimi nadhani kwa mtu mwenye kufikiri, hili si wazo baya, ni wazo la mtu mwenye akili na alie tayari kutafakari. Amesha-compromise.
Kwa upande wa pili ina make sense. Kwa nini uingie kwenye uchaguzi ambao unajua unafanyika katika misingi mibovu? Ni vema uahirishe uchaguzi ili urekebishe hiyo misingi mibovu kwanza.
Na hii ni lojiki ya kawaida ya maisha ya kila siku. Nikitaka kusafiri kesho, huku nikitambua gari nitakayotumia ni mbovu itanikwamisha njiani, basi ni vema nicheleweshe safari ili gari irekebishwe kuliko kusema ngoja niende tu nitafanya cha kufanya huko mbele. Unaweza ukafia njiani.
Sasa CCM msipoelewa hili nyie ni wakorofi na mnafanya makusudi kwa sababu hamtaki Reforms
Hebu Wasira katika busara za uzee wake atuambie ubaya wa hili wazo ni nini?
Angalia pia: Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano
Punguza utoto dogo utakuja kupakatwa. Watu wakiongea mambo yaliyonje ya upeo wake uache kiherehere. Subiri zile post zako zenye mambo ya kipuuzi ndio uweke huu utoto wako.Nimelisoma. Nachoona Lissu anataka Samia n bunge la CCM waongezewe muda ili tupate katiba mpya. Sielewi kwa nini anataka utawala wa CCM uongezewe muda.
I say, ikitokea tutazika wengi sana kwa pressure, na utashangaa wote ni wa chama kilekile!Mara pap, vyombo vya dola vinasema haviko tayari tena kutumika kukibeba chama chochote cha siasa.
Ni kuwa huru - hii iliyopo haiko huru, inafanya kazi kwa maelekezo ya chama tawalaSifa za Tume huru ni zipi?
KonyoPunguza utoto dogo.
Kweli kabisa, safari hii TAL atawapigisha ngoma CCM wacheze hadi viuno viwakatikePanic disorder
Hayawezekani kwa nini? Tukipigwa Corona October uchaguzi utafanyika? Tukipatwa na janga la Tsunami Octoba Dar yote ikamezwa na maji na watu wakafa kwa wingi uchaguzi utafanyika?Anatoa mawazo yasiyowezekana kufanikika anadhani CCM ni wajinga kiasi hicho yy kama hawez uchaguzi 2925 aususie wengine wale
Anatoa mawazo yasiyowezekana kufanikika anadhani CCM ni wajinga kiasi hicho yy kama hawez uchaguzi 2925 aususie wengine wale