Anachosema Lissu ni kwamba, Bunge lisivunjwe mwezi wa sita, Rais na Wabunge waendelee hadi Reforms zikamilishwe, ndio uchaguzi mkuu ufanyike

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM. Nimesikiliza mahojiano yake kwa makini sana.

Pendekezo lake la "No Reforms na Elections" kwa alivyofafanua na nikamuelewa, anasema kwamba, Chadema wako tayari CCM iendelee kuwa madarakani kwa muda ulioongezwa, yaani Samia na Wabunge waendelee kuwa madarakani, hadi Reforms zikamilishwe.

Zikishakamilishwa basi ndipo sasa ipangwe Bunge livunjwe lini na Uchaguzi Mkuu ufanyike lini, labda October 2026 badala ya October 2025, au hata October 2027. Yaani Wabunge na Raisi waongezewe vipindi vyao vya sasa, labda mwaka mmoja, hadi miwili ikibidi, ili kufanya Reforms.

Sasa mimi nadhani kwa mtu mwenye kufikiri, hili si wazo baya, ni wazo la mtu mwenye akili na alie tayari kutafakari. Amesha-compromise.

Kwa upande wa pili ina make sense. Kwa nini uingie kwenye uchaguzi ambao unajua unafanyika katika misingi mibovu? Ni vema uahirishe uchaguzi ili urekebishe hiyo misingi mibovu kwanza.

Na hii ni lojiki ya kawaida ya maisha ya kila siku. Nikitaka kusafiri kesho, huku nikitambua gari nitakayotumia ni mbovu itanikwamisha njiani, basi ni vema nicheleweshe safari ili gari irekebishwe kuliko kusema ngoja niende tu nitajua cha kufanya huko mbele. Unaweza ukafia njiani.

Sasa CCM msipoelewa hili nyie ni wakorofi tu na mnafanya makusudi kwa sababu hamtaki Reforms

Hebu Wasira katika busara za uzee wake atuambie ubaya wa hili wazo ni nini?

Angalia pia: Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano
 
Labda sasa mazungumzo yanapaswa kuwa muda wa Raisi na Wabunge uongezwe kwa muda gani, muda utakaotosha kukamilisha Reforms? Ila kwa ninavyowaelewa CCM, wanaweza kusema sawasawa, wazo zuri sana. Tusogeze uchaguzi mbele kwa miaka mitano tushughulikie Reforms!
 
Lissu anataka Samia aongezewe muda?

Hii mbona kama sio bahati mbaya, kuna nini nyuma ya pazia?
Nadhani ameelewa inabidi Chadema wa-sacrifice kitu ili kupata kitu. Kumwongeza Samia na Wabunge miaka hadi miwili ili kupata kitu cha kudumu kwa ajili ya Watanzania wote naona ni wazo linaloweza kutoka kwa mzalendo wa kweli tu, anaeweka maslahi ya taifa mbele.
 
Mafisiem yanahaha na kutapatapa halafu yanajifanya kama vile ushindi wa Lissu hauna impact yoyote kwao, eti sasa hivi ndio yanauliza kwani hata akiwa mwenyekiti atafanya nini, kama yanajua hatafanya kitu mbona yamechukia yeye kushinda na yalikuwa yanatamani Mbowe ndio aendelee
 
Kabisaa! Akili kubwa sana hii. Wabunge waongezewe muda hata kama ni miaka mitatu ilimradi reforms zifanyike za maana.

Na itashangaza kama waliopo madarakani watakataa kuongezewa muda ikiwa wanaendelea kunufaika na posho za ubunge.

Reforms na maridhiano ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu.

Mfumo vyama vingi una faida sana kuliko hasara, hivyo ifike muda kuwepo na uchaguzi huru na haki ili serikali itakayokuwepo iwe imara kwa sababu wakijua wakipuyanga wataondolewa madarakani.
 
huyo mpumbavu wenu mwambieni awaambie hao mabwana zake kule Ulaya nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu siyo kwa upuuzi wake huo.
Sasa wewe ndio unaonyesha upumbavu wako hapa. Hivi ni vitu vya maana vinaongelewa hapa, mambo mazito yanayohusu Tanzania sio shemeji zako wanaokusaidia hela ya kula
 
Kabisaa! Akili kubwa sana hii. Wabunge waongezewe muda hata kama ni miaka mitatu ilimradi reforms zifanyike za maana.

Na itashangaza kama waliopo madarakani watakataa kuongezewa muda ikiwa wanaendelea kunufaika na posho za ubunge.

Reforms na maridhiano ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu.

Mfumo vyama vingi una faida sana kuliko hasara, hivyo ifike muda kuwepo na uchaguzi huru na haki ili serikali itakayokuwepo iwe imara kwa sababu wakijua wakipuyanga wataondolewa madarakani.
Mimi nikiwa Mbunge najua siwezi kurudi au sina mpango wa kugombea tena nitakuwa wa kwanza kuunga mkono hoja ya Lissu!!! Miaka miwili ya ziada si pesa haba, na kiinua mgongo kinaongezeka!!!
 
Nadani ameelewa inabidi Chadema wa-sacrifice kitu ili kupata kitu. Kumwongeza Samia na Wabunge miaka hadi miwili ili kupata kitu cha kudumu kwa ajili ya Watanzania wote naona ni wazo linaloweza kutoka kwa mzalendo wa kweli tu, anaeweka maslahi ya taifa mbele.
Hata mitano ni sawa tu ili wakose kisingizio cha kufanya reforms. Na kuongezewa muda na kushindwa kufanya kitu cha maana ni kujichongea kwa wananchi ambapo CHADEMA wakienda kuwashtaki CCM kwa wananchi kwa reference ya kuongezewa muda na kushindwa kufanya reforms, basi hapo CCM ndio wataonekana wakwamishaji wa reforms na maridhiano
 
Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM.

Pendekezo lake la "No Reforms na Elections" kwa alivyofafanua na nikamuelewa, anasema kwamba, Chadema wako tayari CCM iendelee kuwa madarakani kwa muda ulioongezwa, yaani Samia na Wabunge waendelee kuwa madarakani, hadi Reforms zikamilishwe. Zikishakamilishwa basi ndipo sasa ipangwe Bunge livunjwe lini na Uchaguzi Mkuu ufanyike lini, labda October 2026 badala ya October 2025, au hata October 2027. Yaani Wabunge na Raisi waongezewe kipindi cha mwaka mmoja, hadi miwili ikibidi, ili kufanya Reforms.

Sasa mimi nadhani kwa mtu mwenye kufikiri, hili si wazo baya, ni wazo la mtu mwenye akili na alie tayari kutafakari. Amesha-compromise.

Kwa upande wa pili ina make sense. Kwa nini uingie kwenye uchaguzi ambao unajua unafanyika katika misingi mibovu? Ni vema uahirishe uchaguzi ili urekebishe hiyo misingi mibovu kwanza.

Na hii ni lojiki ya kawaida ya maisha ya kila siku. Nikitaka kusafiri kesho, huku nikitambua gari nitakayotumia ni mbovu itanikwamisha njiani, basi ni vema nicheleweshe safari ili gari irekebishwe kuliko kusema ngoja niende tu nitafanya cha kufanya huko mbele. Unaweza ukafia njiani.

Sasa CCM msipoelewa hili nyie ni wakorofi na mnafanya makusudi kwa sababu hamtaki Reforms
Na hii itawaletea vurugu zaidi CCM kwa sababu mifumo ikiwekwa vizuri Huyo mgombea wao wa kujiteua hawezi shinda dhidi ya Chadema na hapo ndipo CCM watataka wambadilishe mgombea na hapo ndio mwanzo wa kugawana fito
 
CCM ni wataalamu wa kujizima data.
 
Na hii itawaletea vurugu zaidi CCM kwa sababu mifumo ikiwekwa vizuri Huyo mgombea wao wa kujiteua hawezi shinda dhidi ya Chadema na hapo ndipo CCM watataka wambadilishe mgombea na hapo ndio mwanzo wa kugawana fito
I say umeona mbali 😀

Ila sasa, hizo Reforms za uchaguzi za kikatiba labda hazitagusa process za kuteuana ndani ya vyama!
 
Mimi nikiwa Mbunge najua siwezi kurudi au sina mpango wa kugombea tena nitakuwa wa kwanza kuunga mkono hoja ya Lissu!!! Miaka miwili ya ziada si pesa haba, na kiinua mgongo kinaongezeka!!!
Kwa wale wasiopenda mabadiliko hii hoja hawataki kuisikia kabisa mana ni mtego. Yaano waongezewe muda wakati wakijua kabisa watajishtaki kwa kushindwa kufanya reforms. Ngoja tusubiri tuone
 
Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM.

Pendekezo lake la "No Reforms na Elections" kwa alivyofafanua na nikamuelewa, anasema kwamba, Chadema wako tayari CCM iendelee kuwa madarakani kwa muda ulioongezwa, yaani Samia na Wabunge waendelee kuwa madarakani, hadi Reforms zikamilishwe. Zikishakamilishwa basi ndipo sasa ipangwe Bunge livunjwe lini na Uchaguzi Mkuu ufanyike lini, labda October 2026 badala ya October 2025, au hata October 2027. Yaani Wabunge na Raisi waongezewe kipindi cha mwaka mmoja, hadi miwili ikibidi, ili kufanya Reforms.

Sasa mimi nadhani kwa mtu mwenye kufikiri, hili si wazo baya, ni wazo la mtu mwenye akili na alie tayari kutafakari. Amesha-compromise.

Kwa upande wa pili ina make sense. Kwa nini uingie kwenye uchaguzi ambao unajua unafanyika katika misingi mibovu? Ni vema uahirishe uchaguzi ili urekebishe hiyo misingi mibovu kwanza.

Na hii ni lojiki ya kawaida ya maisha ya kila siku. Nikitaka kusafiri kesho, huku nikitambua gari nitakayotumia ni mbovu itanikwamisha njiani, basi ni vema nicheleweshe safari ili gari irekebishwe kuliko kusema ngoja niende tu nitafanya cha kufanya huko mbele. Unaweza ukafia njiani.

Sasa CCM msipoelewa hili nyie ni wakorofi na mnafanya makusudi kwa sababu hamtaki Reforms
Huo ni mtego ccm wakikubali tu!Baada ya oktoba 25 muda wa madaraka utakua umeisha na rasmi serikali haitotambuliwa coz muda umeisha na ndipo jeshi litachukua nchi!!

Wanaccm wenye uchu hawatakubali hilo!!

Naona vurugu au ccm kupoteza Dola kwanini

Move ya Lisu inafanana na wale wenye nchi waliosema uchaguzi wa serikali za mitaa usubiri katiba mpya mwenyekiti amekiuka kwahiyo Hadi sasa ni tagert Kwa wale jamaa coz walionya "mtajwa asipoanza mchakato Hadi mwakani yaani 2022 itakua too late kwake"neno TOO LATE ni neno kubwa mno!!
 
Back
Top Bottom