Anadai ana mimba yangu, kutoa hataki, kulipa kodi hataki, kuhama hataki

Anadai ana mimba yangu, kutoa hataki, kulipa kodi hataki, kuhama hataki

Braza wakati unaambiwa vaa KONDOMU ukagoma, ukaambiwa MWAGIA NJE, we ukashusha mzigo laNDANI uingereza, ulikuwa unategemea nini [emoji23][emoji1787]
 
Sio wa kulaumiwa,
Kuna mazingira mkuu huchomoki.

Wanawake wana mbinu Sana.

Uyu wangu alianza kunisifia, baadae akaanza kuniita niende usiku.

Tena sometimes anafake sauti kana kwamba kavamiwa na majambaz, ukifika vitimbi haviishi, Mara samahan nlkua nakutania sikU nying hujaja uku.

sikU moja kalewa Sana,
Mfanyakaz mwenzie kanipigia niwah HARAKA anataka kujiua, kufika aliepga sim akasepa tukabak wawili.

Sarakasi zikaanza, mara anaomba nimsadie nmgonge TU kimoja apate nafuu Yuko ovyo.

Nkambia nmeoa, sihitaj mahusiano kwa Sasa,
Akadai hatutakua na mahusiano eti nifanye Kama vile daktari anamsaidia mgonjwa mahututi, anamiaka hajagongwa na anahidi kutunza siri.

Yaani anaomba "KIMOJA TU"

Nilipompa kimoja, anataka Cha pili nikamwambia acha ujinga nawai nyumban APO NMETOA TU MSAADA NTALIPWA NA MUNGU.

Baada ya Apo,
Akawa kila Mara anataka.

Kodi yake ilipoisha akaanza kuleta sarakasi,
Nkambia usinletee ujinga wewe.

Nkaanza kumtuma wife akadai Kodi mwnyw Kuna mpangaji Ni msumbufu, alipokutana na mtiti wa wife KODI AKALIPA.

Baadae akanitafuta kuniomba radhi,

Ila radhi yenyewe inavyoombwa Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]

Wee acha TU,
THE REST IS HISTORY [emoji4]
Pole mkuu, ulinasuka vipi kwenyw huo mtego broda
 
Nina kajinyumba kangu kadogo kakushikia kiwanja Goba kunguru, kana vyumba viwili vya kulala, sebule, chumba kimoja kina choo na bafu ndani na pia kina choo cha wageni jirani na sebuleni.

Yaliyonikuta najuta kuzaliwa jamani, natamani nilie, kilio hakitoki, natatamani niende kwa Mwamposa nikanywe lori zima la maji ya upako, na nikitoka huko niende kwa Sharifu Majini, maana mambo yamenifika pabaya.

Kwenye kajumba kangu haka, kuna jamaa yangu pia ni dalali wa nyumba, nilipokuwa nakamalizia akaniambia kuwa anataka kuniletea mpangaji wa kunilipa laki 4 kwa mwezi, nikacheka kizungu, nikasema mlete fasta asije akalaghaiwa na madalali wenye nyumba za mbavu za mbwa wamuharibu na kunghiribu akili.

Kweli akamleta binti mmoja mkali sana, amemliza chuo, kapata kazi kampuni moja ya fedha hapo Mlimani City. Binti kaja na kibunda chake mkononi, kasema anataka kulipa miezi sita.

Nikakubali, nikabeba mzigo na kuondoka.

Kutokana na usasa wa mifumo ya umeme na maji na ya kiulinzi binti alikuwa akinipigia simu mara kwa mara kuniuliza kile na hiki.

Tukazoeana tukawa tukikutana mara kadhaa mwisho wa wiki, na taratibu taratibu nikajikuta kamoyo kanadondokea upande wa mashariki ya uwanja.

Halaula, mara penzi likawa jau, mambo moto moto, yakaongezeka hadi yakawa mpwitompwito.

Siku zikaenda, binti mwili unabadilika, tumbo linaongezeka, hasemi kuwa ana mimba, mimba ilipofika miezi sita ndio anasema ana ujauzito wangu, kuhama hataki, kutoka hataki, kulipa kodi hataki, anasema hiyo ni nyumba yake yeye na kiumbe wake ajaye.

Jamani, hivi huyu Mpalestina anataka kunipora nyumba hivihivi mchana kweupe, ananionea kwasababu mimi ni msukuma Mshamba...

Sasa hajui, nimeenda kuwatafuta madalali wa kupiga minada nyumba, watangaze na gari yao kuwa hiyo nyumba inadaiwa na benki na Jumamosi ndio mnada wenyewe. Tayari nimesha mseti mnunuzi feki. Kuanzia kesho gari inapita mitaani na maspika jioni mida ambayo amerudi kazini, na mlangoni wataweka notice yao ya mnada.

Jumamosi atake asitake atatoka.

Sanasana atapata grace period ya siku moja tu...

Hiiiiiiiiiiiii baghoshaaaaa
Kumbe ndio wewe jirani
 
Ukisikia mitihani ndo hiii sasa, sasa unamfukuza yes na mimba ni yako yes hivi akienda ustawi wa jamii kwamba alikuja kama mpangaji ilaa ukampenda na kumpa mimba kuwa mtaishi hapo utasemaje? Na akisema ulikuwa unakuja na kulala hapo kwenu kama mme mtarajiwa utakataa?

Hii ni ngumu Sanaa kumfukuza kirahisi tena akiwa na mimba yako yaan labda mtoto akizaliwa ndo unaweza Fanya hivyoo kwa sharti la kuhudumia mtoto.
Sio mke wake ajamuoa anaweza kumfukuza mbona simple tu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hiv bujibuji hv vistori unavitoaga wap? Napendaga kuvisoma maana hua Kama real story. Ila Kuna watu hawajakuelewa humu unakuta wako busy kumshaur bujibuji
 
Hiv bujibuji hv vistori unavitoaga wap? Napendaga kuvisoma maana hua Kama real story. Ila Kuna watu hawajakuelewa humu unakuta wako busy kumshaur bujibuji
Nahitaji ushauri wa dhati jamani, msiache kunishauri. Dunia ni mapito na mapito yametofautiana kati ya mtu na mtu, wengine tunatokea kwenye familia nzito, hivyo basi tunakutana na mitihani mizito mizito tu
 
Na kuolewa hataki ?

Zege ukishalikoroga haliwezi rudi kuwa sementi
 
Sio wa kulaumiwa,
Kuna mazingira mkuu huchomoki.

Wanawake wana mbinu Sana.

Uyu wangu alianza kunisifia, baadae akaanza kuniita niende usiku.

Tena sometimes anafake sauti kana kwamba kavamiwa na majambaz, ukifika vitimbi haviishi, Mara samahan nlkua nakutania sikU nying hujaja uku.

sikU moja kalewa Sana,
Mfanyakaz mwenzie kanipigia niwah HARAKA anataka kujiua, kufika aliepga sim akasepa tukabak wawili.

Sarakasi zikaanza, mara anaomba nimsadie nmgonge TU kimoja apate nafuu Yuko ovyo.

Nkambia nmeoa, sihitaj mahusiano kwa Sasa,
Akadai hatutakua na mahusiano eti nifanye Kama vile daktari anamsaidia mgonjwa mahututi, anamiaka hajagongwa na anahidi kutunza siri.

Yaani anaomba "KIMOJA TU"

Nilipompa kimoja, anataka Cha pili nikamwambia acha ujinga nawai nyumban APO NMETOA TU MSAADA NTALIPWA NA MUNGU.

Baada ya Apo,
Akawa kila Mara anataka.

Kodi yake ilipoisha akaanza kuleta sarakasi,
Nkambia usinletee ujinga wewe.

Nkaanza kumtuma wife akadai Kodi mwnyw Kuna mpangaji Ni msumbufu, alipokutana na mtiti wa wife KODI AKALIPA.

Baadae akanitafuta kuniomba radhi,

Ila radhi yenyewe inavyoombwa Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]

Wee acha TU,
THE REST IS HISTORY [emoji4]
Acha kujilegeza wewe, labda huchomoki peke yako si wote, mbona zee zima ila huna akili wewe?
 
Back
Top Bottom