Huenda huyo yuko mbele mkuu, ndo maana alifika mbali akasimama akawa anawafuatilia walio nyuma kuulizia wamefika wapi.Utetezi wako hauna maana,
Narudia tena,usipoteze muda wako kufuatilia maisha ya watu,
Mtu amesha hama ila bado tu unamfuatilia mpaka kujua kodi analipa kiasi gani per month!
Jikeep bussy kijana ama sivyo,wenzako wote watakuacha nyuma.
Unakula kwa mume wa dada yakoKwa nini mkuu, kwani nakulaga kwenu?
Acha kukariri kijana,hiyo Dar ni mjini kwa upande wako,Mimi nilisha vuka hiyo stage,we ni mgeni mjini hapa
Yeye ndo huja kwangu, kati yangu na yeye nani anamfuatilia mwenzakeHuenda huyo yuko mbele mkuu, ndo maana alifika mbali akasimama akawa anawafuatilia walio nyuma kuulizia wamefika wapi.
Ndo maana hadi alivohama akaendelea kumfatilia
Wapi mimi nimekwambia kua unamuonea wivu?Hujanielewa mkuu, simuonei wivu na kazi zangu vizuri tu, yeye huja kwangu kunisalimia watu humuona na wanajua ni mshikaji wangu Sasa lazima nimpeleleze mkuu, ili kujihami mapema, hapo shida nini?
Wewe hapo usiejitambua.Yeye ndo huja kwangu, kati yangu na yeye nani anamfuatilia mwenzake
Hahahahahaaa🤣🤣🤣🤣 emu ngoja nicheke, Yani niache nyumba yangu, nije kulala ulaya kwenye vibaraza vya maduka, ya wakina McDonald's SI takua mjinga wa Karne,Acha kukariri kijana,hiyo Dar ni mjini kwa upande wako,Mimi nilisha vuka hiyo stage,
Karibu tupige box hapa,na wewe utengeneza Pounds.
Nimfatilie mtu nae mzidi maisha, una akili timamu mkuu? toka kwa shemeji yako kapange huzijui changamoto za mtaa weweWewe hapo usiejitambua.
Alikuchoka kwa unavyomfatilia akaamua ahame awe mbali na wewe ila hukutosheka ukamfata hulo huko kuulizia hadi kodi anayolipa.
Utazalishwa mtoto mkuu!
Kaka si nilitaka ni prove tu shida nini, si ninge eleweshwa tusasa mkuu si alishakuambiaga mishe zake ? yanini huku tena,hoja ya kuonekana mpashukuna ni pale umekuja huku kabisa kutaka ku prove kama inawezekana🫴
Wewe ni mpumbavu,huwezi kua na maisha kisha ukaanza kufuatilia maisha ya wanaume wenzako,yani mpaka unakuja kufungua uzi ili ujue kama hiyo biashara ina lipa? Na ukiendelea na tabia hiyo,wana watakuja kukuchomeka vidole.Hahahahahaaa🤣🤣🤣🤣 emu ngoja nicheke, Yani niache nyumba yangu, nije kulala ulaya kwenye vibaraza vya maduka, ya wakina McDonald's SI takua mjinga wa Karne,
Mkizeeka mkija huku mnaita huruma na miwani makuubwaa, ka fundi welding, vimechoka ka nini
Mtoa mada atazalishwa mtoto muda si mrefuWewe ni mpumbavu,huwezi kua na maisha kisha ukaanza kufuatilia maisha ya wanaume wenzako,yani mpaka unakuja kufungua uzi ili ujue kama hiyo biashara ina lipa? Na ukiendelea na tabia hiyo,wana watakuja kukuchomeka vidole.
unajitesa bure mkuu,mimi sio nabii ila naona una wivu na rafiki yako ndiyo maana unatafuta ukweli,Kaka si nilitaka ni prove tu shida nini, si ninge eleweshwa tu
Si ajabu tayari wamesha mtia mimba.Mtoa mada atazalishwa mtoto muda si mrefu
Nina maisha mkuu, ili uamini NJOO kwangu nikupe khanga na mtandio ujifunike, huku ukinipikia na KAZI zingine za ndani takupa jina la mwajumaWewe ni mpumbavu,huwezi kua na maisha kisha ukaanza kufuatilia maisha ya wanaume wenzako,yani mpaka unakuja kufungua uzi ili ujue kama hiyo biashara ina lipa? Na ukiendelea na tabia hiyo,wana watakuja kukuchomeka vidole.
Tena nimepata wazo mkuu.Si ajabu tayari wamesha mtia mimba.