Anaejua bus la bei nafuu from Dar to Mwanza

Anaejua bus la bei nafuu from Dar to Mwanza

Sishauri umchukulie la bei nafuu mkuu mwanza to dar ni mbali sana,ni safari inayochosha mno it's better apande luxury tu.. mi naonaga hizi safari ndefu huwa tunazibaka kwanza kusafiri kwa basi au gari lolote ni mtihani,yani safari inakuzodoa..!
Mkuu jipigepige walau umpunguzie machungu ya safari apande luxury.. hayo cheap anaweza kukawia hata kufika shida juu ya shida..😂
Sasa mkuu, wote wakipanda ya luxury, mengine yatapata wapi abiria? Ujue hayo mabasi nayo yana wafanyakazi wanaotarajia kulipwa mishahara, na hao wafanyakazi wana wategemezi wanaowatazama kwa mahitaji yao. Ili wote hao waweze kutimiziwa mahitaji yao, ni lazima hayo mabasi yafanye safari.

Lakini kingine, inawezekana mpaka kupata hiyo 50,000/= ametokwa jasho sana, kiasi kwamba hata ukimwambia aongeze elfu moja tu inaweza ikawa ni sawa na umemwambia aongeze milioni moja. Watu "hatulingani" mkuu.

Maadam kataka la bei nafuu, mwache akune mkono wake unakofika.
 
Kuongeza ni kama anayo si lazima najua kuhusu bajeti hata mimi sinacho ila lilikuwa ni pendekezo tu!.

Mkuu mabasi hayo hayawezi kukosa safari,ipo namna watamake money tu suggestions yangu ni kuwa kwa safari za mbali ni heri kupanda luxury,japo sio lazima.
 
Kuna mtu namchukulia tiketi leo ili aondoke na bus la alfajiri. With much thanks in advance
Siku nyingine usiulize huu ujinga....Bei zinapangwa na LATRA na kwa Sasa mafuta yamepanda.
Ushauri:
Panda treni usafirishwe kama MUHA ulale njiani siku tatu huku unang'atwa na mbu na kereng'ende huko porini.
 
Ofisini jumapili?
Wakati wwe umekariri kua Jumapili ni siku ya kufuwa nguo zako za week nzima! Dunia imebadilika sana, wakati wwe unatoka.kuwajibika kwenye mishe zako unarudi zako home,unapishana na wengine na wao ndiyo kwanza wanaenda kuwajibika katika mishe zao!!
 
Back
Top Bottom