Anaejua bus la bei nafuu from Dar to Mwanza

Mabasi ya bara mengi ni majina ya watu [emoji3][emoji28]

Very interesting [emoji3166]

Utasikia Zuberi, Najimunisa, Ally’s, Zakaria, n.k.
Mkuu ivi ili neno bara huwa nimeanza kuliskia toka nikiwa katoto ila sijawai kuelewa maana yake hivi lina maanisha nini?
 
Mkuu kwani kwenda kwa ndege kutoka Dar had Mwanza au Mwanza had Dar naul ni Tsh ngap!? Nahtaj kujua tafadhal.

Huwa inategemea na season,

Saingine go and return inaweza kufika karibia 500,000/- kwa mtu mmoja.

Kama uko na Wifi/Shemeji karibia milioni 1 kwa high season.

Lakini kawaida ni laki 2-3 kwa wastani kwa mtu mmoja.

Halafu ni kama unakata tiketi leo kesho uondoke lakini ukiweza kufanya booking mapema mwezi kabla au wiki 2-3 kabla inakuwa na afadhali kubwa sana nazani.
 
Asante san mkuu nafkir nmepata mwanga hapa.
 
Niliwahi panda champion from dom to dar asee nilijuta sana na cha ajabu tofauti ya nauli unakuta ni sh 2000-5000 ndo inakufanya uteseke
 
Kwa wanaojua dar babati gari gani zuri na nauli sh. ngp?
Dar babati mabusi kuna shabiby,maning nice,mtei,skyline na polepole panda shabiby ndo first class nakushauri kata tickets online inakua 39 ofisini 40 ukienda kichwa kichwa kwenye mabus mengine unaweza katishwa hata 45 madalali wengi sana sa hivi
 
🙏🙏🙏🙏 Shukran sana boss mwezi wa 12 tapita babati land
 
Back
Top Bottom