MALANGA LANGA
JF-Expert Member
- Jun 1, 2023
- 362
- 1,081
Mkuu ivi ili neno bara huwa nimeanza kuliskia toka nikiwa katoto ila sijawai kuelewa maana yake hivi lina maanisha nini?Mabasi ya bara mengi ni majina ya watu [emoji3][emoji28]
Very interesting [emoji3166]
Utasikia Zuberi, Najimunisa, Ally’s, Zakaria, n.k.
Zanzibar nzima hakuna mabus ya yutongvipi Zanzibar hakuna majina ya watu[emoji23]
Kwa dole, kibanda maiti, mchamba wima, nkvipi Zanzibar hakuna majina ya watu[emoji23]
Waalimu mnazingua, wengine jpili ni jina tuu kazi lazima.Jpili uko ofisini na watu, umezingua
Ally'sMkuu ntajie basi moja la nauli ya 120,000
[emoji23][emoji23]Apande malori,20k hadi mwanza[emoji28]
Interesting observation [emoji28]Mabasi ya bara mengi ni majina ya watu [emoji3][emoji28]
Very interesting [emoji3166]
Utasikia Zuberi, Najimunisa, Ally’s, Zakaria, n.k.
MkuuuTungis,Zuberi,Isamilo.
Mkuu ivi ili neno bara huwa nimeanza kuliskia toka nikiwa katoto ila sijawai kuelewa maana yake hivi lina maanisha nini?
Mkuu kwani kwenda kwa ndege kutoka Dar had Mwanza au Mwanza had Dar naul ni Tsh ngap!? Nahtaj kujua tafadhal.
Haiendi Mwanza
Asante san mkuu nafkir nmepata mwanga hapa.Huwa inategemea na season,
Saingine go and return inaweza kufika karibia 500,000/- kwa mtu mmoja.
Kama uko na Wifi/Shemeji karibia milioni 1 kwa high season.
Lakini kawaida ni laki 2-3 kwa wastani kwa mtu mmoja.
Halafu ni kama unakata tiketi leo kesho uondoke lakini ukiweza kufanya booking mapema mwezi kabla au wiki 2-3 kabla inakuwa na afadhali kubwa sana nazani.
Si useme tu maskani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka kishenzi ofisinzima wamenishangaa
Oyaah acha basi mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]Si useme tu maskani
Dar babati mabusi kuna shabiby,maning nice,mtei,skyline na polepole panda shabiby ndo first class nakushauri kata tickets online inakua 39 ofisini 40 ukienda kichwa kichwa kwenye mabus mengine unaweza katishwa hata 45 madalali wengi sana sa hiviKwa wanaojua dar babati gari gani zuri na nauli sh. ngp?
🙏🙏🙏🙏 Shukran sana boss mwezi wa 12 tapita babati landDar babati mabusi kuna shabiby,maning nice,mtei,skyline na polepole panda shabiby ndo first class nakushauri kata tickets online inakua 39 ofisini 40 ukienda kichwa kichwa kwenye mabus mengine unaweza katishwa hata 45 madalali wengi sana sa hivi