Anaelekea kupata Mafao nimemshauri awekeze kwenye Bonds kakataa, anataka kufungua Baa

Wakati anazichanga wewe ulikua unafanya nini
 
Unamshauri mlevi?
 
Kama hasikii ushauri muda ndio utakao mpa majibu sahihi...
 
Assume amewekeza shs 80m kwa hiyo hati fungani unategemea apate sha ngapi kwa mwezi?
 
"Let the young man in his desperation go out and hunt. If he kills the elephant, his poverty ends. If the elephant kills him, his poverty ends" - African Proverb

Mwache mjomba ajaribu bahati, akifeli tunakimbiza mwili, akifaulu atakua inspiration kwa wastaafu wengine​
 
Hapo ndo heshima huwa inaanza kuonekana kati yake na wana waliojikataa mwenye mifumo ya ajira..niseme namuonea huruma sana huyo mstaafu maana hayo maisha sitaki hata mwanangu aje ayapitie.
 
ATatoboa mpaka utamshangaa
 
Wapumbavu mlikuwa mnashauriana .... mwambie hiyo pesa agawe NUSU KUWAPATIA WATOTO WAKE NA ILIYO BAKI AFANYE AONAVYO
 
Muache afungue bar halafu baada ya miezi mitatu uje utuambie kama bado ana pesa ya kununulia bia hata kreti moja tu....Nimuongezee kreti 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…