Dialysis
JF-Expert Member
- Sep 22, 2021
- 325
- 677
Mwajiri gani? Wewe ni mwajiri? Umeshawahi kuajiri?Kama huwezi kuita chepe chepe na sio kijiko kikubwa basi hio ndo roho mbaya mkuu
Makosa ya kiuandishi ni big turnoff kwa waajiri
Ndo maana hata ukifatilia makala za kuomba kazi unaambiwa barua yako ya application na cv zikiwa na makosa ya kiuandishi hata email yako haijibiwi
Its a cruel world mkuu and only the strong and smart people take hold of it!
Nchi gani?
Kuna mazingira ya kutoa hukumu.Hata walimu wanaosahihisha mitihani kuna wakati wanaangalia mwelekeo wa wanafunzi kwenye swali . Lakini mwajiri au lecturer mwenye roho na akili yako huwezi kusaidia. Mkuu leo iko kwa jamaa kesho iko kwa ndugu yako au mtoto wako tutaona kesho kama atakuwa smart kwa kiwango cha 100%.ACHA ROHO MBAYA UENDE MBINGUNI.