Tatizo lako umemrekebisha mtu kwa kejeli mkuu ,sio vizuri kijana anatafuta pakujishikiza halafu wewe unamkejeli hata Mungu hapendi aseehBwana mkubwa mbona umeniandama sana mkuu?
Mimi nlichotaka ni kurekebisha tu. Kama ni kosa msamaha ni kitu cha bure. Samahani🙏🏾🙏🏾