W wizy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2016 Posts 4,193 Reaction score 10,440 Nov 29, 2022 #41 Green Beret said: Bwana mkubwa mbona umeniandama sana mkuu? Mimi nlichotaka ni kurekebisha tu. Kama ni kosa msamaha ni kitu cha bure. Samahani🙏🏾🙏🏾 Click to expand... Tatizo lako umemrekebisha mtu kwa kejeli mkuu ,sio vizuri kijana anatafuta pakujishikiza halafu wewe unamkejeli hata Mungu hapendi aseeh
Green Beret said: Bwana mkubwa mbona umeniandama sana mkuu? Mimi nlichotaka ni kurekebisha tu. Kama ni kosa msamaha ni kitu cha bure. Samahani🙏🏾🙏🏾 Click to expand... Tatizo lako umemrekebisha mtu kwa kejeli mkuu ,sio vizuri kijana anatafuta pakujishikiza halafu wewe unamkejeli hata Mungu hapendi aseeh
Green Beret JF-Expert Member Joined Apr 22, 2022 Posts 631 Reaction score 991 Nov 29, 2022 #42 LIMBS said: Ahsante chief nililiona kabla yako lakini nilishindwa ku-edit nisamehe Click to expand... Sio kosa mkuu Samahani pia kama nimekukwaza
LIMBS said: Ahsante chief nililiona kabla yako lakini nilishindwa ku-edit nisamehe Click to expand... Sio kosa mkuu Samahani pia kama nimekukwaza
W wizy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2016 Posts 4,193 Reaction score 10,440 Nov 29, 2022 #43 Green Beret said: Mungu anapenda unapoona kosa ulisemee mapema Na huwa anatumia mifano migumu sana kurekebisha watu (haya tunasoma kwenye vitabu vya dini) Ukiona kosa ukanyamaza ni kosa pia mkuu Tuliache hili sasa Click to expand... Sawa lakini jua haya maneno ya hivi huwa yanakatisha sana tamaa najua wewe unaona niyakawaida Naliongea hili nikiwa nishakutana na ishu kama hii wakati mtu upo frustrated na kazi halafu mtu akucrush aseeh inaumiza sana
Green Beret said: Mungu anapenda unapoona kosa ulisemee mapema Na huwa anatumia mifano migumu sana kurekebisha watu (haya tunasoma kwenye vitabu vya dini) Ukiona kosa ukanyamaza ni kosa pia mkuu Tuliache hili sasa Click to expand... Sawa lakini jua haya maneno ya hivi huwa yanakatisha sana tamaa najua wewe unaona niyakawaida Naliongea hili nikiwa nishakutana na ishu kama hii wakati mtu upo frustrated na kazi halafu mtu akucrush aseeh inaumiza sana
HS CODE JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 1,784 Reaction score 4,376 Nov 29, 2022 #44 Hahaha! Aisee jobless ni jeshi lenye nguvu sana. Kuwa makini unapotaka kumgusa mmoja wao.