Anaezifahamu vizuri gari aina ya Toyota Vanguard na Harrier msaada tafadhali

Ngoja niende .. kumbe napitwa kizembe zembe hizi
 
Kmmmk just to find out mtu anaendesha Dualis 🀣🀣🀣 ila mbembwe zake ni za G wagon wakati Toyota na Nissan ni mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo.
Acha tu, wanachekesha sanaaaaa yaaani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€... unaeza kuta gari anayomiliki isiyo toyota inaoigwa gepu na toyota kibao... mbembwe za maskini acha tu..

!anachukulia poa toyotaa.. kama hii ati akipewa hata bure hataki maviii😳😳😳

 
Hahahah cha ajabu hizo gari tofauti ni kasha tu ila engine ni ile ile,cha zaidi Vanguard inakuwaga na 4WD!

Engine ni 2AZ-FE ya 2349cc ama 2.4L sasa sielewagi huo unafuu wa kula mafuta unatoka wapi baina ya gari mojawapo katika hizi?
 
Hilo Century ni level za Rolls Royce
 
Sina chakukulipeni Wakuu. mmenifungua vizuri sana. Ko ili nijue kama limelipiwa au lina exemption pa bila wao kujua nifanyeje? nikienda Tra na plt number wanaweza niangalizia au njia gani nitumie?
Yap ukienda unaomba uangaliziwe tu wala hamna shida. Waambie unataka ununue kwa mtu then wakuangalizie kama lina deni au issue yeyote kwenye usalijili.
 
Hapo ndio kipengele.
 
Utamuuzia nani Generator mkononi? I mean taasisi gani itafanya huo uboya wa kununua generator la mamilioni mkononi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…