Anaezifahamu vizuri gari aina ya Toyota Vanguard na Harrier msaada tafadhali

Anaezifahamu vizuri gari aina ya Toyota Vanguard na Harrier msaada tafadhali

Hakuna mbinu yoyote mkuu....weekend kama hii we washa ndinga pita hapo chuo cha TIA uhasibu....utakuta watoto kibao wanasubiri daladala za kwenda kariakoo, simu 2000, nk...unaangali pisi moja kali... unaipa lift, unachukua namba yake ya simu...mpk hapo utakuwa ushamaliza mchezo[emoji3][emoji3]
Ngoja niende .. kumbe napitwa kizembe zembe hizi
 
Kmmmk just to find out mtu anaendesha Dualis 🤣🤣🤣 ila mbembwe zake ni za G wagon wakati Toyota na Nissan ni mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo.
Acha tu, wanachekesha sanaaaaa yaaani 😀😀😀😀... unaeza kuta gari anayomiliki isiyo toyota inaoigwa gepu na toyota kibao... mbembwe za maskini acha tu..

!anachukulia poa toyotaa.. kama hii ati akipewa hata bure hataki maviii😳😳😳

Toyota-Century-concept-front-three-quarter.jpg
 
Kwanza hizo 14.3 Million unazodai ni kidogo sana ukilinganisha na mfumuko wa bei za magari sahivi kwa bongo. Van Guard ni kaka yake RAV4, chukua hiyo hutajutia kama ina engine ya VVTi lita moja ninakupeleka 10-14km kutegema na uchakavu wake. Achana na Harrier ni jini la kubugia mafuta
Hahahah cha ajabu hizo gari tofauti ni kasha tu ila engine ni ile ile,cha zaidi Vanguard inakuwaga na 4WD!

Engine ni 2AZ-FE ya 2349cc ama 2.4L sasa sielewagi huo unafuu wa kula mafuta unatoka wapi baina ya gari mojawapo katika hizi?
 
Acha tu, wanachekesha sanaaaaa yaaani 😀😀😀😀... unaeza kuta gari anayomiliki isiyo toyota inaoigwa gepu na toyota kibao... mbembwe za maskini acha tu..

!anachukulia poa toyotaa.. kama hii ati akipewa hata bure hataki maviii😳😳😳

View attachment 1672623
Hilo Century ni level za Rolls Royce
 
Sina chakukulipeni Wakuu. mmenifungua vizuri sana. Ko ili nijue kama limelipiwa au lina exemption pa bila wao kujua nifanyeje? nikienda Tra na plt number wanaweza niangalizia au njia gani nitumie?
Yap ukienda unaomba uangaliziwe tu wala hamna shida. Waambie unataka ununue kwa mtu then wakuangalizie kama lina deni au issue yeyote kwenye usalijili.
 
Hayo magari kama yaliingizwa bila kodi jiandae pia kulipia kodi,nadhani table ya kodi imewekwa hapo juu.Labda kama watakulipia kodi wenyewe,kitu ambacho najua hawawezi maana kodi itazidi hizo usd 6k unazowadai

Ila kama walishalipia kodi basi poa ,wakusaidie kubadilisha ownership maana TRA kwa sasa hawaeleweki sana wanaweza kuku charge capital gain tax,kwa kutafuta tofauti ya bei ya soko kwa hizo gari na kiasi ambacho wewe umewalipa ambacho ni hizo unazowadai.

otherwise wakuachie gari yao pamoja na docs ,wewe uendelee kutumia bila kubadili umiliki.Ila siku ukipata ajali malipo ya Bima itabidi yaingie kwenye akaunti inayosoma jina la mmiliki
Hapo ndio kipengele.
 
Achana na habari za hayo magari, kama hiyo taasisi ilikuwa kubwa basi naamini waliokuwa na Emergency Generator kubwa. Wewe komaa wakuachie hiyo jenereta kubwa maana wao huwa wananunua zikiwa mpya na Kwa miaka 2 itakuwa na Masaa machache iliyofanya kazi.

Na hutopata tabu kuliuza maana thamani yake sokoni kubwa,hakuna maswala ya Kodi, risk za ajali.
Pambana upate mtambo wowote au mashine hutojutia uamuzi.
Utamuuzia nani Generator mkononi? I mean taasisi gani itafanya huo uboya wa kununua generator la mamilioni mkononi?
 
Back
Top Bottom