In fact kajitahidi kwa kweli.Ni hiki kimoja tu
Ina sound good.Ngoja waje kukupa muongozo
Tehtehteh... kama unatania ujue haya ndiyo majibu ya wamama.Mimi ni mke wa mtu ninahitaji kuhudumiwa
"Mwanamke mpumbavu" ndio huyu tulie ambiwa kwenye vitabu vya diniMajukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.
Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi gani wala haombi pesa yangu.
nimfundishe vipi kutunza mke?
Yaani.Kwanza Anabana wapi, hela yote anayopata ni kwa ajili yake.. so sad(some women)Huyo wako kidogo ana jielewa mama hujui kubana matumizi humo unaweza kupata pesa ya matumizi yako.
Unajua mwanamke anaweza kuwa na pesa ya kutosha lakini akatamani biscuits ya efu 3 kutoka kwa mume/mpenzi wake