20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,263
Life ni kusapotiana, lengo la mkee kufanya kazi ni kusaidiana majukumu. Ungekuwa goli kipa, angejua huna ABC za kupata income. Na kazi yako ingekuwa ndoa tu, kumsubili yeye, kumhudumia yeye n. KMajukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.
Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi gani wala haombi pesa yangu.
nimfundishe vipi kutunza mke?
Sasa kama pesa yako huweki mezani, iingie ktk mzunguko wa familia, ameamua hiwe kwa matumizi yako binafsi. Hiyo ni fair sana.
Sasa kam hata kujihudumia, unataka tena aanze kila kitu yeye pesa yako wafanyia nini.
Kuweni fair, basi.
Mnataka 50/50 kwingine tu.
Sent using Jamii Forums mobile app