Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

Cresida,
Kuna wakati usiposikia shida za wenzio huwezi jua una mtu anayejali kwa kiasi kikubwa....

Anyway... BORA SHETANI UNAYEMJUA KULIKO MALAIKA UNAYESIMULIWA..
 
Achana nae huyu mtaka vyote,mtu gani haridhiki?
Labda kama huu uzi ni changamsha genge tu,ila kama ni kweli ndo yuko hivi basi mumewe ana balaa ndani ya nyumba.
Ninalipa kodi mwenyewe, ninasomesha mwenyewe, ninatafuta milo na ya mtoto mwenyewe.
Mavazi yetu, bills zote unazozijua.
Lakini ninasahau kipengele cha urembo.
Nafikiri sababu ya majukumu kubana na uchumi.
Halafu huyu mwenzangu kwake yeye ni vice versa na analalamika.
Life is not fair aiseeee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom