Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

Ukija utajionea mwenyewe, kwanza umenichukulia biscuits?
Nikajua leo ungependa chocolate, juice na wine. Ngoja nirudi supermarket nikanunue,,

1580128295752.png
 
Hii thread bwana imenigusa kinamna flani hivi.Baada ya kuona amekaa muda nyumbani ikabidi nitengeneze idea fulabi hivi cha biashara.kweli bwana kibiashara kidogo lakini kwa siku faida anakunja 15k,hyo pesa ni yake ikitokea nimekwama aisee hanipi bure lazima anikopeshe.Nahudumia familia kwa kila kitu +watoto ada.
Yeye anaratiba ya chakula leo tule hiki kesho kile,ikafika zamu ya kula chips kuku,mwanaume sina pesa,nikamwambia bibie leo ipo 5000 tu kwa kuwa jtatu na nne tumekula kuku wa kienyeji pika chakula cha kawaida sababu stock ya chakula ipo.
Asee nilipewa maneno ,wewe unakula vizuri njee,hujali familia,alinichamba.Nikamjibu mama lakini kuna biashara yako hapo nilikufungulia wewe nae ni mzazi toa basi hata faida ya leo kama vipi.Nilifedheheka sana.ikabidi nimpe 10000 yote mi mwana akanipa 5000 ya kusukuma hyo siku
Nilihuzunika sana wanawake ni wabinafsi sana
 
Ukirudi ukiwa umeshiba na wala humgusi kwa wiki moja atajua umepata mchepuko. Hapo sasa unaweza kulogwa umpende.😂
 
Hii thread bwana imenigusa kinamna flani hivi.Baada ya kuona amekaa muda nyumbani ikabidi nitengeneze idea fulabi hivi cha biashara.kweli bwana kibiashara kidogo lakini kwa siku faida anakunja 15k,hyo pesa ni yake ikitokea nimekwama aisee hanipi bure lazima anikopeshe.Nahudumia familia kwa kila kitu +watoto ada.
Yeye anaratiba ya chakula leo tule hiki kesho kile,ikafika zamu ya kula chips kuku,mwanaume sina pesa,nikamwambia bibie leo ipo 5000 tu kwa kuwa jtatu na nne tumekula kuku wa kienyeji pika chakula cha kawaida sababu stock ya chakula ipo.
Asee nilipewa maneno ,wewe unakula vizuri njee,hujali familia,alinichamba.Nikamjibu mama lakini kuna biashara yako hapo nilikufungulia wewe nae ni mzazi toa basi hata faida ya leo kama vipi.Nilifedheheka sana.ikabidi nimpe 10000 yote mi mwana akanipa 5000 ya kusukuma hyo siku
Nilihuzunika sana wanawake ni wabinafsi sana
Mnawadekeza sana hawo mbuzi... Watakuuweni shauri yenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela yako unaipeleka wapi?

Kwanini ung'ang'anie akung'arishe kwa hela yake, hela yakwako kazi yake nini?

Wewe unakitu gani unakitoa kwaajili ya mumeo/familia yako kama sio mzigo kwao?( kama ni hicho kigegedeo chako ndio kinakupa kiburi basi hata malaya wa sinza wanacho kisikuhashue)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili ya kimahaba haijawai kukua kwa mwanamke! Unaeza nijengea na nisione km kuna jambo umenifanyia, ila kitendo cha kuninunulia pichu nitakuwek moyoni adi kwene utumbo mwembamba adi naingia kaburini
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu anakufanyia hilo moja tu unaanza kunung'unika wakati mshahara unao ninyi ndo mnaofanya wanaume tunawahi kufa kwa stress...na bado mnadai 50/50 wakati hamna huo ubavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukuacha na mshahara wako ni sawa na kukupa zaidi ya matunzo ya urembo wako vinginevyo ulitakiwa uweke huo mshahara mezani halafu mpange matumizi kwa pamoja then hapo unahaki yakudai matunzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom