Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,350
- 11,727
Sio upumbavu ni vile anatamani kuufeel mchango wa mumewe ktk muonekano wake"Mwanamke mpumbavu" ndio huyu tulie ambiwa kwenye vitabu vya dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio upumbavu ni vile anatamani kuufeel mchango wa mumewe ktk muonekano wake"Mwanamke mpumbavu" ndio huyu tulie ambiwa kwenye vitabu vya dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua jukumu moja ata la bill ya umeme na maji....afu yeye asimamie show ya urembo wakoMimi ni mke wa mtu ninahitaji kuhudumiwa
Upo kwenye ndoa??Sio upumbavu ni vile anatamani kuufeel mchango wa mumewe ktk muonekano wake
Sio upumbavu ni vile anatamani kuufeel mchango wa mumewe ktk muonekano wake
🤣 🤣 🤣 🤣Nitaendelea na show ya urembo wangu
Yes
Unataka upewe nini tena.... Gunia la chawa au, jifunze kuridhika mamyMajukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.
Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi gani wala haombi pesa yangu.
nimfundishe vipi kutunza mke?
Ni kweli, sio eti mwanamke unatoka kila siku asubui watoto wanalelewa na binti wa kazi afu ata nyanya tu uwezi kununua.....mwanaume anachokaNa wakati mwingine mwanaume anatamani kuona mchango wa mkewe kwenye maendeleo ya familia kwa wale wenye kipato
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akutunze, na uendelee kujitambua siku zote za maisha yakoWanawake wengine kichefuche yaani huulizwi kwa lolote na bado unashindwa kujirembesha kwa hela yako aise mie siwezi nahudumia nyumba bila kuona uchungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki ni ya kila mwanadamu. Majukumu yamegawanyika kimakundi. Ukipewa majukumu ya mke sidhani kama utayawezaWanawake mnataka haki raha ila hamtaki majukumu sawa.. Shame on you women
Na bado wapo kwenye ndoa, na wanawapenda waume zao kwa dhati kabisaDada mshukuru Mungu hata huyo anakumbuka majukumu yake wapo wamama wenzio hata sukari yake hawaijui.
Mhuuuuu! Acha tu mkuu....... Kuna watu wanakufuru sana yaniNa bado wapo kwenye ndoa, na wanawapenda waume zao kwa dhati kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app