Kipengele namba moja ktk masharti ndio kimeleta uelewa wa watoto...!Nimeandika mtoto/watoto sababu inawezekana mtoto akazaliwa mmoja au mapacha wawili
Aongeze dau sioMie nikafupi halafu fuata ushauri wangu
Hivi vitu ni probability, wewe umejuaje?Kipengele namba moja ktk masharti ndio kimeleta uelewa wa watoto...!
Na kama ni mtoto basi ya lakike nimoja lita rutubishwa hivyo ikiwekwa mtoto/watoto hapa ni mtego kuwa tuna tazamia zaidi watoto na sio mtoto na kama itatokea mtoto basi ni dharura tu...!
Yap eti 20,000tsh Kwa siku mtu afanye 30,000tshAongeze dau sio
Ndio target...! Kama kirutubisha mtoto mmoja ni yai moja la mama... na una fahamu una enda kutafuta mtoto mmoja... kama watoto ni wawili gharama zina bidi ziongezeke, pia kuwe na gharama za huyu mwanamke kuangalia jinsi ya kukabiliana na athari zitokanazo na kujifungua hasa za kiafya na kisaikolojiaMapacha mkuu....
NimetabiliHivi vitu ni probability, wewe umejuaje?
Upo sahihi, na watoto wakiwa wawili gharama za matunzo zitakua tofauti yani badala ya 50,000 baada ya kujifungua kwa mtoto mmoja kwa siku basi itakua 100,000 kwa siku sababu ni watoto wawili kwa mwaka mmoja wa kunyonyesha.Kipengele namba moja ktk masharti ndio kimeleta uelewa wa watoto...!
Na kama ni mtoto basi ya lakike nimoja lita rutubishwa hivyo ikiwekwa mtoto/watoto hapa ni mtego kuwa tuna tazamia zaidi watoto na sio mtoto na kama itatokea mtoto basi ni dharura tu...!
Alisema wakitokea wawili dau atalidoubleNdio target...! Kama kirutubisha mtoto mmoja ni yai moja la mama... na una fahamu una enda kutafuta mtoto mmoja... kama watoto ni wawili gharama zina bidi ziongezeke, pia kuwe na gharama za huyu mwanamke kuangalia jinsi ya kukabiliana na athari zitokanazo na kujifungua hasa za kiafya na kisaikolojia
Kitu cha muhimu ni kulinda ustawi wa mtoto! Hizi sheria wenzetu yaliwakuta mengi. Hivi Unadhani kama hana mtoto na kwa bahati mbaya asipate mwingine, atakugeuka na kuclaim ni mtoto wake! Unajua sheria ya Tanzania inatambua Mpaka kesho mwanamke anayemtoa mtoto katika k yake ndiye mama halisi?Upo sahihi, lakini hivi vitu vinabadilika ndugu sio lazima tukafanya kama wazungu kila kitu
Postnatal impacts kama zipi dada?Alisema wakitokea wawili dau atalidouble
Other postnatal impacts hajazicover kwakwelii
Ni sahihi ndio maana nikasema mkataba utasainiwa mahakamani na ustawi wa jamii, sababu ndio wanaohusika na hayo mamboKitu cha muhimu ni kulinda ustawi wa mtoto! Hizi sheria wenzetu yaliwakuta mengi. Hivi Unadhani kama hana mtoto na kwa bahati mbaya asipate mwingine, atakugeuka na kuclaim ni mtoto wake! Unajua sheria ya Tanzania inatambua Mpaka kesho mwanamke anayemtoa mtoto katika k yake ndiye mama halisi?
Sasa apo msosi na kila kitu si anagharamia? Hiyo 20 ni vocha tu.Yap eti 20,000tsh Kwa siku mtu afanye 30,000tsh
Yeah alikuwa mzima na afya yake kama mashart yanavyo mtaka kuwa na afya njema nk...Alisema wakitokea wawili dau atalidouble
Other postnatal impacts hajazicover kwakwelii
Nakuona Mkuu unavyopiga mahesabu utafkiri unafanya biashara ya vitoto vya mbwa 😂Upo sahihi, na watoto wakiwa wawili gharama za matunzo zitakua tofauti yani badala ya 50,000 baada ya kujifungua kwa mtoto mmoja kwa siku basi itakua 100,000 kwa siku sababu ni watoto wawili kwa mwaka mmoja wa kunyonyesha.
Pia kutakua na ongezeko la milioni 10 kama watoto wakiwa wawili.
Achana na mikataba, mkataba makaratasi ujue! Huyu ni kiumbe akizaliwa akapendeza, mama atamtaka! Na kama ni donor, hilo unalo! Yametukuta mengineNi sahihi ndio maana nikasema mkataba utasainiwa mahakamani na ustawi wa jamii, sababu ndio wanaohusika na hayo mambo
Asante kwa mawazo ya kujenga,Yeah alikuwa mzima na afya yake kama mashart yanavyo mtaka kuwa na afya njema nk...
Ikitokea baada ya kutengwa na wapendwa wake ile hali ya kukubali kuwa mbali na familia (watoto) kisaikolojia
Pia yaweza tokea madhara ya afya ya uzazi baada ya kujifungua ambayo yana weza chukua muda mrefu ata baada ya mkataba wa kuhudumiwa kuisha pia...
Maaana mkataba una elezea kula kula ili watoto wale ambao ndio shabaha ya mwenye uhitaji waweze kuwa na afya lakini afya ya mama ni kama imewekwa kando
Tuliandikiwa awe na njema ya akili(asiwe na matatizo ya akili) ukija kupatwa na matatizo ya akili yatokanayo na uzazi una fanyaje na hii ni biashara!?
Ile pesa 25m haitakiwi kuhusika ktk hizo gharama sababu ndio zawadi (earn/profit) na ndio maana tuna ona kuna mnyumbuliko wa pesa za vyakula na nk...
Kuna mambo mengi, wengine hawa pendi ndoa, wengine ktk ndoa wana uhitaji wa watoto lakini hawataki kuongeza mke hivyo wana kubaliana na mke kutafuta mtu atakae wasaidia na baada ya hapo mke wa katika ndoa ana kuja walea wale watoto na watoto wana kua wakitambua wale ndio baba na mamaNakuona Mkuu unavyopiga mahesabu utafkiri unafanya biashara ya vitoto vya mbwa 😂
Naomba kuiliza,
kwanini unataka kufanya hiki kitu?
Are you a homosexual?
Ndugu mkataba ni mkataba, hakunaga mawazo binafsi kwenye mkataba wa kisheria uliosainiwa mahakamani na ustawi wa jamii.Achana na mikataba, mkataba makaratasi ujue! Huyu ni kiumbe akizaliwa akapendeza, mama atamtaka! Na kama ni donor, hilo unalo! Yametukuta mengine
Umechambua vizuri sana na umewasaidia wale ambao wana nia ya kujaribu bahatiiYeah alikuwa mzima na afya yake kama mashart yanavyo mtaka kuwa na afya njema nk...