Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Nimeandika mtoto/watoto sababu inawezekana mtoto akazaliwa mmoja au mapacha wawili
Kipengele namba moja ktk masharti ndio kimeleta uelewa wa watoto...!

Na kama ni mtoto basi ya lakike nimoja lita rutubishwa hivyo ikiwekwa mtoto/watoto hapa ni mtego kuwa tuna tazamia zaidi watoto na sio mtoto na kama itatokea mtoto basi ni dharura tu...!
 
Hivi vitu ni probability, wewe umejuaje?
 
Mapacha mkuu....
Ndio target...! Kama kirutubisha mtoto mmoja ni yai moja la mama... na una fahamu una enda kutafuta mtoto mmoja... kama watoto ni wawili gharama zina bidi ziongezeke, pia kuwe na gharama za huyu mwanamke kuangalia jinsi ya kukabiliana na athari zitokanazo na kujifungua hasa za kiafya na kisaikolojia
 
Kipengele namba moja ktk masharti ndio kimeleta uelewa wa watoto...!

Na kama ni mtoto basi ya lakike nimoja lita rutubishwa hivyo ikiwekwa mtoto/watoto hapa ni mtego kuwa tuna tazamia zaidi watoto na sio mtoto na kama itatokea mtoto basi ni dharura tu...!
Upo sahihi, na watoto wakiwa wawili gharama za matunzo zitakua tofauti yani badala ya 50,000 baada ya kujifungua kwa mtoto mmoja kwa siku basi itakua 100,000 kwa siku sababu ni watoto wawili kwa mwaka mmoja wa kunyonyesha.
Pia kutakua na ongezeko la milioni 10 kama watoto wakiwa wawili.
 
Ndio target...! Kama kirutubisha mtoto mmoja ni yai moja la mama... na una fahamu una enda kutafuta mtoto mmoja... kama watoto ni wawili gharama zina bidi ziongezeke, pia kuwe na gharama za huyu mwanamke kuangalia jinsi ya kukabiliana na athari zitokanazo na kujifungua hasa za kiafya na kisaikolojia
Alisema wakitokea wawili dau atalidouble

Other postnatal impacts hajazicover kwakwelii
 
Upo sahihi, lakini hivi vitu vinabadilika ndugu sio lazima tukafanya kama wazungu kila kitu
Kitu cha muhimu ni kulinda ustawi wa mtoto! Hizi sheria wenzetu yaliwakuta mengi. Hivi Unadhani kama hana mtoto na kwa bahati mbaya asipate mwingine, atakugeuka na kuclaim ni mtoto wake! Unajua sheria ya Tanzania inatambua Mpaka kesho mwanamke anayemtoa mtoto katika k yake ndiye mama halisi?
 
Ni sahihi ndio maana nikasema mkataba utasainiwa mahakamani na ustawi wa jamii, sababu ndio wanaohusika na hayo mambo
 
Alisema wakitokea wawili dau atalidouble

Other postnatal impacts hajazicover kwakwelii
Yeah alikuwa mzima na afya yake kama mashart yanavyo mtaka kuwa na afya njema nk...

Ikitokea baada ya kutengwa na wapendwa wake ile hali ya kukubali kuwa mbali na familia (watoto) kisaikolojia

Pia yaweza tokea madhara ya afya ya uzazi baada ya kujifungua ambayo yana weza chukua muda mrefu ata baada ya mkataba wa kuhudumiwa kuisha pia...

Maaana mkataba una elezea kula kula ili watoto wale ambao ndio shabaha ya mwenye uhitaji waweze kuwa na afya lakini afya ya mama ni kama imewekwa kando

Tuliandikiwa awe na njema ya akili(asiwe na matatizo ya akili) ukija kupatwa na matatizo ya akili yatokanayo na uzazi una fanyaje na hii ni biashara!?

Ile pesa 25m haitakiwi kuhusika ktk hizo gharama sababu ndio zawadi (earn/profit) na ndio maana tuna ona kuna mnyumbuliko wa pesa za vyakula na nk...
 
Upo sahihi, na watoto wakiwa wawili gharama za matunzo zitakua tofauti yani badala ya 50,000 baada ya kujifungua kwa mtoto mmoja kwa siku basi itakua 100,000 kwa siku sababu ni watoto wawili kwa mwaka mmoja wa kunyonyesha.
Pia kutakua na ongezeko la milioni 10 kama watoto wakiwa wawili.
Nakuona Mkuu unavyopiga mahesabu utafkiri unafanya biashara ya vitoto vya mbwa 😂
Naomba kuiliza,
kwanini unataka kufanya hiki kitu?
Are you a homosexual?
 
mitindo huru hili suala si rahisi kama unavyofikiria! Unajua surrogate akimaliza hiyo hela anakujia tena kwa kuuguza mshono? Ndiyo maana wenzetu wanahakikisha hamfahamiani hata mara moja
 
Ni sahihi ndio maana nikasema mkataba utasainiwa mahakamani na ustawi wa jamii, sababu ndio wanaohusika na hayo mambo
Achana na mikataba, mkataba makaratasi ujue! Huyu ni kiumbe akizaliwa akapendeza, mama atamtaka! Na kama ni donor, hilo unalo! Yametukuta mengine
 
Yeah alikuwa mzima na afya yake kama mashart yanavyo mtaka kuwa na afya njema nk...

Ikitokea baada ya kutengwa na wapendwa wake ile hali ya kukubali kuwa mbali na familia (watoto) kisaikolojia

Pia yaweza tokea madhara ya afya ya uzazi baada ya kujifungua ambayo yana weza chukua muda mrefu ata baada ya mkataba wa kuhudumiwa kuisha pia...

Maaana mkataba una elezea kula kula ili watoto wale ambao ndio shabaha ya mwenye uhitaji waweze kuwa na afya lakini afya ya mama ni kama imewekwa kando

Tuliandikiwa awe na njema ya akili(asiwe na matatizo ya akili) ukija kupatwa na matatizo ya akili yatokanayo na uzazi una fanyaje na hii ni biashara!?

Ile pesa 25m haitakiwi kuhusika ktk hizo gharama sababu ndio zawadi (earn/profit) na ndio maana tuna ona kuna mnyumbuliko wa pesa za vyakula na nk...
Asante kwa mawazo ya kujenga,
Kama una wazo lolote liainishe vizuri ili niweze kufanya kitu bora zaidi kwa mtoto/watoto na mwanamke atakaye wazaa.
Pia nimeweka sharti la mwanamke kukaa na mtoto/watoto kwa mwaka mmoja ikiwemo uangalizi wa kiafya kwa wote mtoto/watoto na mwanamke atakae jifungua.
 
Nakuona Mkuu unavyopiga mahesabu utafkiri unafanya biashara ya vitoto vya mbwa 😂
Naomba kuiliza,
kwanini unataka kufanya hiki kitu?
Are you a homosexual?
Kuna mambo mengi, wengine hawa pendi ndoa, wengine ktk ndoa wana uhitaji wa watoto lakini hawataki kuongeza mke hivyo wana kubaliana na mke kutafuta mtu atakae wasaidia na baada ya hapo mke wa katika ndoa ana kuja walea wale watoto na watoto wana kua wakitambua wale ndio baba na mama

Ndio sababu kuu ya kukataa mama kuhusika tena baada ya watoto kupatikana, mazoea yana kufa na hapo ndipo watoto wataambiwa labda mama alikufa kama ni single dad au huyu ndio mama yenu kama ana mke

Kuna sababu nyingi japo mleta mada ana weza kusema kusudio lake

Na sijui sheria zetu zina ruhusu hili jambo au vipi
 
Achana na mikataba, mkataba makaratasi ujue! Huyu ni kiumbe akizaliwa akapendeza, mama atamtaka! Na kama ni donor, hilo unalo! Yametukuta mengine
Ndugu mkataba ni mkataba, hakunaga mawazo binafsi kwenye mkataba wa kisheria uliosainiwa mahakamani na ustawi wa jamii.
Labda kama una experience yako unaweza kutueleza watu wengine wakajifunza
 
Yeah alikuwa mzima na afya yake kama mashart yanavyo mtaka kuwa na afya njema nk...

Ikitokea baada ya kutengwa na wapendwa wake ile hali ya kukubali kuwa mbali na familia (watoto) kisaikolojia

Pia yaweza tokea madhara ya afya ya uzazi baada ya kujifungua ambayo yana weza chukua muda mrefu ata baada ya mkataba wa kuhudumiwa kuisha pia...

Maaana mkataba una elezea kula kula ili watoto wale ambao ndio shabaha ya mwenye uhitaji waweze kuwa na afya lakini afya ya mama ni kama imewekwa kando

Tuliandikiwa awe na njema ya akili(asiwe na matatizo ya akili) ukija kupatwa na matatizo ya akili yatokanayo na uzazi una fanyaje na hii ni biashara!?

Ile pesa 25m haitakiwi kuhusika ktk hizo gharama sababu ndio zawadi (earn/profit) na ndio maana tuna ona kuna mnyumbuliko wa pesa za vyakula na nk...
Umechambua vizuri sana na umewasaidia wale ambao wana nia ya kujaribu bahatii
 
Back
Top Bottom