Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Kama mkewe hazai aseme tunaweza kumuonea huruma tukapunguza hadi 10M kabisa
 
Ila hii kama uko na pesa hivyo haina hata haja ya kuingia gharama ya ivf.
Kwa nini isiwe mating ya kawaida tu na mimba ikatunga na mambo mengine yakafata?
 
Ndugu mkataba ni mkataba, hakunaga mawazo binafsi kwenye mkataba wa kisheria uliosainiwa mahakamani na ustawi wa jamii.
Labda kama una experience yako unaweza kutueleza watu wengine wakajifunza
Jiliwaze wewe, hayo unayoyasema ni kwa mtu ambaye hana hela yake! Rufaa unadhani zipo kwa ajili gani? Mawakili huwa ndiyo kazi yao! Kesi itaenda Mpaka mtoto anapata PhD. Njia rahisi ni kufuata masharti na utakuwa safe:-
1. Donor asikujue wewe unayenunua yai lake,
2. Surrogate asikujue wewe
3. Surrogate asione mtoto atakayemzaa
4. Lazima surrogate akae hospitali amefungiwa kipindi chote cha mimba etc
 
Asante kwa maoni na ushauri ndugu,
ila malipo, masharti, na sifa za mwanamke husika zitabaki kama tangazo lilivyo.
 

Kwa nini usichukue kwa mayatima?
 

Yes Hii sheria kuna sehemu kama niliona hivi

Je mtoa mada amejipangaje?
 

Hiyo ya kukaa na mtoto ndo ungeitoa kabisa..
 
Imagine wewe ungelelewa na single parent. Mbona mnakuwa selfish hivi bila kumfikiria mtoto ?
Sio lazima mkuu kwa atakaeona sawa kufanya iyo biashara maamuzi yake yaheshimiwe hakuna haja ya kupangiana maisha tuna mitazamo na mapito tofauti ya kimaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…