Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Kuna mambo mengi, wengine hawa pendi ndoa, wengine ktk ndoa wana uhitaji wa watoto lakini hawataki kuongeza mke hivyo wana kubaliana na mke kutafuta mtu atakae wasaidia na baada ya hapo mke wa katika ndoa ana kuja walea wale watoto na watoto wana kua wakitambua wale ndio baba na mama

Ndio sababu kuu ya kukataa mama kuhusika tena baada ya watoto kupatikana, mazoea yana kufa na hapo ndipo watoto wataambiwa labda mama alikufa kama ni single dad au huyu ndio mama yenu kama ana mke

Kuna sababu nyingi japo mleta mada ana weza kusema kusudio lake

Na sijui sheria zetu zina ruhusu hili jambo au vipi
Kama mkewe hazai aseme tunaweza kumuonea huruma tukapunguza hadi 10M kabisa
 
Ndugu mkataba ni mkataba, hakunaga mawazo binafsi kwenye mkataba wa kisheria uliosainiwa mahakamani na ustawi wa jamii.
Labda kama una experience yako unaweza kutueleza watu wengine wakajifunza
Jiliwaze wewe, hayo unayoyasema ni kwa mtu ambaye hana hela yake! Rufaa unadhani zipo kwa ajili gani? Mawakili huwa ndiyo kazi yao! Kesi itaenda Mpaka mtoto anapata PhD. Njia rahisi ni kufuata masharti na utakuwa safe:-
1. Donor asikujue wewe unayenunua yai lake,
2. Surrogate asikujue wewe
3. Surrogate asione mtoto atakayemzaa
4. Lazima surrogate akae hospitali amefungiwa kipindi chote cha mimba etc
 
Jiliwaze wewe, hayo unayoyasema ni kwa mtu ambaye hana hela yake! Rufaa unadhani zipo kwa ajili gani? Mawakili huwa ndiyo kazi yao! Kesi itaenda Mpaka mtoto anapata PhD. Njia rahisi ni kufuata masharti na utakuwa safe:-
1. Donor asikujue wewe unayenunua yai lake,
2. Surrogate asikujue wewe
3. Surrogate asione mtoto atakayemzaa
4. Lazima surrogate akae hospitali amefungiwa kipindi chote cha mimba etc
Asante kwa maoni na ushauri ndugu,
ila malipo, masharti, na sifa za mwanamke husika zitabaki kama tangazo lilivyo.
 
Ndio ndugu, na inawezekana vizuri sana pia kumbuka itakua damu yangu.
Kuna watoto wapo vituo vya watoto yatima wapo chini ya mwaka mmoja na wanalelewa hadi kua watu wazima.
Hivyo kwa watoto wangu inawezekana nikawalea kwa mazingira bora zaidi na kumbuka nitaanza kuwalea baada ya kunyonya kwa mwaka mmoja toka kwa mwanamke atakaewazaa

Kwa nini usichukue kwa mayatima?
 
Kitu cha muhimu ni kulinda ustawi wa mtoto! Hizi sheria wenzetu yaliwakuta mengi. Hivi Unadhani kama hana mtoto na kwa bahati mbaya asipate mwingine, atakugeuka na kuclaim ni mtoto wake! Unajua sheria ya Tanzania inatambua Mpaka kesho mwanamke anayemtoa mtoto katika k yake ndiye mama halisi?

Yes Hii sheria kuna sehemu kama niliona hivi

Je mtoa mada amejipangaje?
 
Asante kwa mawazo ya kujenga,
Kama una wazo lolote liainishe vizuri ili niweze kufanya kitu bora zaidi kwa mtoto/watoto na mwanamke atakaye wazaa.
Pia nimeweka sharti la mwanamke kukaa na mtoto/watoto kwa mwaka mmoja ikiwemo uangalizi wa kiafya kwa wote mtoto/watoto na mwanamke atakae jifungua.

Hiyo ya kukaa na mtoto ndo ungeitoa kabisa..
 
Imagine wewe ungelelewa na single parent. Mbona mnakuwa selfish hivi bila kumfikiria mtoto ?
Sio lazima mkuu kwa atakaeona sawa kufanya iyo biashara maamuzi yake yaheshimiwe hakuna haja ya kupangiana maisha tuna mitazamo na mapito tofauti ya kimaisha
 
Back
Top Bottom