Kuna mambo mengi, wengine hawa pendi ndoa, wengine ktk ndoa wana uhitaji wa watoto lakini hawataki kuongeza mke hivyo wana kubaliana na mke kutafuta mtu atakae wasaidia na baada ya hapo mke wa katika ndoa ana kuja walea wale watoto na watoto wana kua wakitambua wale ndio baba na mama
Ndio sababu kuu ya kukataa mama kuhusika tena baada ya watoto kupatikana, mazoea yana kufa na hapo ndipo watoto wataambiwa labda mama alikufa kama ni single dad au huyu ndio mama yenu kama ana mke
Kuna sababu nyingi japo mleta mada ana weza kusema kusudio lake
Na sijui sheria zetu zina ruhusu hili jambo au vipi