Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Ulishuhudia tukitupa watoto vyooni?
 
Yule mbibi alizaa na wacko Jacko alipata hadi kichaa kisa kama hiki hiki cha kuuza watoto
 

Mwenzako huyo hapo
 
Logic ni kupata mtoto/watoto bila mama na baba kukutana kimwili, pili mama kutojihusisha na mtoto/watoto kwa namna yeyote maisha yake yote hapa duniani ikiwemo kutowaona mtoto/watoto na baba yao kisheria baada ya mwaka tangu huyo mama kujifungua
Tunauliza hivi sababu iliyokusukuma kutafuta mtoto kwa njia hii ni ninii? Naona unazunguuuka kinyama?

Au labda nisitafune maneno " mkuu unaweza kuto.mbana fresh?
 
Anayakwepa sana maswali ya hivi[emoji848]
Haya maswali yote nilishajibu ndugu,
Pitia comment zote utaona.
Nilishaandika kwamba nitajibu maswali katika kila comment katika tangazo ili niweze kufanya jambo liwe bora zaidi
 
Una tatizo mahali si bure[emoji848][emoji848]
 
Tunauliza hivi sababu iliyokusukuma kutata mtoto kwa njia hii ni ipi? Naona unazunguuuka kinyama?

Au labda nisitafune maneno " mkuu unaweza kuto.mbana fresh?
Hayo mambo mengine siwezi kuelezea kwa kirefu sababu ni binafsi zaidi, ila kama upo tayari na una sifa nilizotaja njoo PM ndugu nitakujibu kwa kirefu sana
 
Unaishi hapa bongo?

Nini kinakufanya utake IVF?
Mim ninaishi bongo na nimefanya IVF
 
Kwanini usifanye kama Surrogate?..ili atleast mtoto awe na Mama atakayemjua?
Labda wife ana matatizo ya kuzalisha mayai ndo maana
Hahahaha i need money lkn after letting the baby go i will sufer mpk niingie kaburini au nipewe back the kid and the 25m will be used kunitibu
"Smart" girl atachukua tenda na maadamu anawafahamu wahusika, atamfuatilia tu mtoto akilelewa na kukua siku ya siku mtoto ndo kawa mkubwa ametoboa, anaibuka bila ya kujali mkataba. Na mtoto akimjua mama wake wa damu ndo anaweza kuelekea kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…