Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Mim ninaishi bongo na nimefanya IVF
Asante kwa huo ushuhuda ndugu,
Mambo ya IVF kwa sasa ni ya kawaida sana ingawa ni gharama, ila kutokuyaelewa vizuri kunafanya watu waone kama ni mambo ya ajabu.
 
Mim ninaishi bongo na nimefanya IVF
Hili suala uenda ni geni kwa wengi ndo maana wanaona ni kitu cha ajabu
 
Nakuona Mkuu unavyopiga mahesabu utafkiri unafanya biashara ya vitoto vya mbwa [emoji23]
Naomba kuiliza,
kwanini unataka kufanya hiki kitu?
Are you a homosexual?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]
 
Ectolife ndio unahitaji wala usihangaike na mwanamke akuzalie bali subiri kuna artificial womb na wanafyatua watoto 30,000 kwa mwaka kwenye laboratory moja

Wanasema watu hawaongezeki sana na itafika kipindi tutakosa wafanyakazi

Sijui China atatengeneza machine cheap kidogo na mimi ninunue?

Elon Musk mwenyewe ana lea watoto 9 ambao hajawazaa yeye

View attachment 2454774View attachment 2454775
Hii haitakaa iwezekane kinachofanyika tumboni na Ile pumzi ya uhai mtoto anayoipata ni mysterious haijulikani inatoka wapi, hata kwa shetani ni fumbo kubwa sana, hiyo formula ya pumzi ya uhai Mungu atakaa a-share na mwanadamu
 
Sasa apo kuna shida gan acheni uswahili,iyo ni advance ya technology tena yenye manufaa sana huwez jua mama anashida gan mpk anashindwa kuibeba mimba mwnyw
We chukua fursa iyo
Kwani huyu ni Ke?[emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom