Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
IVF hoyeee!!Mim ninaishi bongo na nimefanya IVF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IVF hoyeee!!Mim ninaishi bongo na nimefanya IVF
Haya maswali ni personal sana mimi naona kama upo interested mfate inbox mwongee kuhusu ishu husika aliyoileta hapaTunauliza hivi sababu iliyokusukuma kutata mtoto kwa njia hii ni ipi? Naona unazunguuuka kinyama?
Au labda nisitafune maneno " mkuu unaweza kuto.mbana fresh?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Sawa mkuu, na hivi kwann umetaka mwanamke mweupe?? Hupendi mtoto mweusi?
Hupendi rangi nyeusi?
Kama wanaringa IVF ndo suluhishiIVF hoyeee!!
Asante kwa huo ushuhuda ndugu,Mim ninaishi bongo na nimefanya IVF
Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate
Baada ya kukataliwa na wanawake wote nilio-waaproach, finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not...www.jamiiforums.com
Asante kwa ufafanuzi mzuri nduguHaya maswali ni personal sana mimi naona kama upo interested mfate inbox mwongee kuhusu ishu husika aliyoileta hapa
Hili suala uenda ni geni kwa wengi ndo maana wanaona ni kitu cha ajabuMim ninaishi bongo na nimefanya IVF
Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate
Baada ya kukataliwa na wanawake wote nilio-waaproach, finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not...www.jamiiforums.com
Na ntafanya TenaAsante kwa huo ushuhuda ndugu,
Mambo ya IVF kwa sasa ni ya kawaida sana ingawa ni gharama, ila kutokuyaelewa vizuri kunafanya watu waone kama ni mambo ya ajabu.
Vizuri nduguNa ntafanya Tena
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]Nakuona Mkuu unavyopiga mahesabu utafkiri unafanya biashara ya vitoto vya mbwa [emoji23]
Naomba kuiliza,
kwanini unataka kufanya hiki kitu?
Are you a homosexual?
Yamekukuta mkuu?Achana na mikataba, mkataba makaratasi ujue! Huyu ni kiumbe akizaliwa akapendeza, mama atamtaka! Na kama ni donor, hilo unalo! Yametukuta mengine
Kama hana mb.oroo je? I mean anamiliki kinuktaa hakifiki hata kwenye mashavu ya k[emoji848]Ila hii kama uko na pesa hivyo haina hata haja ya kuingia gharama ya ivf.
Kwa nini isiwe mating ya kawaida tu na mimba ikatunga na mambo mengine yakafata?
Hii haitakaa iwezekane kinachofanyika tumboni na Ile pumzi ya uhai mtoto anayoipata ni mysterious haijulikani inatoka wapi, hata kwa shetani ni fumbo kubwa sana, hiyo formula ya pumzi ya uhai Mungu atakaa a-share na mwanadamuEctolife ndio unahitaji wala usihangaike na mwanamke akuzalie bali subiri kuna artificial womb na wanafyatua watoto 30,000 kwa mwaka kwenye laboratory moja
Wanasema watu hawaongezeki sana na itafika kipindi tutakosa wafanyakazi
Sijui China atatengeneza machine cheap kidogo na mimi ninunue?
Elon Musk mwenyewe ana lea watoto 9 ambao hajawazaa yeye
View attachment 2454774View attachment 2454775
Aseee[emoji848][emoji848]Asante kwa maoni na ushauri ndugu,
ila malipo, masharti, na sifa za mwanamke husika zitabaki kama tangazo lilivyo.
Hakuna kitu kama hicho so far ni imaginationHii mi najua ilikua inawezekana tokea miaka ya 70 huko, , ila walikuwa hawafanyi kwa sababu za ethics.
Sikuizi hakuna ethics?
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji38] we ni robot nini?Asante kwa ushauri ndugu, ila kwa sasa vitu vya kwenye tangazo/uzi kama malipo, masharti na sifa za mwanamke husika zitabaki kama zilivyo
Umewazaa je asipofanikiwa kuzaa mwingine?[emoji848]Kwani akimzaa huyo si anaweza kwenda kuzaa wa kwake na huku ana capital ya 25M?? Kumbuka kuna wanaotupa watoto au kuwaua..
Kwani huyu ni Ke?[emoji15][emoji15]Sasa apo kuna shida gan acheni uswahili,iyo ni advance ya technology tena yenye manufaa sana huwez jua mama anashida gan mpk anashindwa kuibeba mimba mwnyw
We chukua fursa iyo