Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Asante kwa huo ushuhuda ndugu,
Mambo ya IVF kwa sasa ni ya kawaida sana ingawa ni gharama, ila kutokuyaelewa vizuri kunafanya watu waone kama ni mambo ya ajabu.
 
Hili suala uenda ni geni kwa wengi ndo maana wanaona ni kitu cha ajabu
 
Nakuona Mkuu unavyopiga mahesabu utafkiri unafanya biashara ya vitoto vya mbwa [emoji23]
Naomba kuiliza,
kwanini unataka kufanya hiki kitu?
Are you a homosexual?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]
 
Hii haitakaa iwezekane kinachofanyika tumboni na Ile pumzi ya uhai mtoto anayoipata ni mysterious haijulikani inatoka wapi, hata kwa shetani ni fumbo kubwa sana, hiyo formula ya pumzi ya uhai Mungu atakaa a-share na mwanadamu
 
Sasa apo kuna shida gan acheni uswahili,iyo ni advance ya technology tena yenye manufaa sana huwez jua mama anashida gan mpk anashindwa kuibeba mimba mwnyw
We chukua fursa iyo
Kwani huyu ni Ke?[emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…