🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakupengeza sana dada yangu. Ukitaka kula haramu chagua iliyo nona. Kero za mimba na kuharibu mwili kwa hela kidogo hivyo?
AiseeNdo nitolee
Anamsumbua eeh?Hawa vijana wanaongea tu! Hii kitu si mchezo. Ni uhai wa binadamu na kuna mwanamke ambaye ni binadamu anayebadilika kila kukicha! Ninao watato wa hivyo mie. Nakueleza Watoto wa IVF wana akili ajabu na ni wazuri. Hawaugui ovyo kama hawa wengine, hii hutamanisha masurrogate na kuanza kusumbua. Mtoto wa kwanza mke wangu alilazimisha surrogate awe mtoto wa ndugu yake, ila cha moto anakipata
Hata ingekuwa mimi ningehangaika hadi nimjue mwanangu alipo nimjaze ukwelii....Anamsumbua eeh?
[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38] kama unasifa nilizotoa njoo PmUmeanza kwa kunishutumu, hivyo sidhani kama unaweza kunielewa.
Pia siwezi kukuelezea kwanini nimetumia IVF sababu ni jambo binafsi, ila kama unasifa nilizotoa katika tangazo njoo PM kwa maelezo mengineyo zaidi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38] we jamaa bana, unajibiwa hivi we umo tu hahahaKama unaweza kukaza kwann usitumie njia iliyo ya kawaida
Ila we jamaa ina maana mpaka sasa hivi hujafanikiwa huko PM?Asante kwa maoni ndugu, ila huo ukweli unaosema ni sawa kwako ila kwa mtu mwingine unaweza usiwe sawa.
Pia hakuna uovu unaofichwa sababu tangazo lipo wazi kabisa masharti, sifa na malipo vipo wazi kwa aliye tayari.
Nini tatizo kwako?
Hehehehe....mbona yule mtoto wa CR hamjui mama ake na sidhani kama hata anataka kumjua mamaake[emoji848][emoji848]Hata ingekuwa mimi ningehangaika hadi nimjue mwanangu alipo nimjaze ukwelii....
Na hapo ndo mwisho na mwanzo
Wabongo akili zetu tunazijua wenyeweHehehehe....mbona yule mtoto wa CR hamjui mama ake na sidhani kama hata anataka kumjua mamaake[emoji848][emoji848]
Watu wengi wanakuja PM, ila lazima nizingatie vigezo na masharti.Ila we jamaa ina maana mpaka sasa hivi hujafanikiwa huko PM?
Mbona ndo kilichopo..watu wanamharass mtoa mada balaa had kumkashifu..ndo ujue wabongo tuko bado nyuma sana sana sana....!lolUtashangaa jf wanakupangia wanavyotakia wao
😂😂😂 tupo negative sanaMbona ndo kilichopo..watu wanamharass mtoa mada balaa had kumkashifu..ndo ujue wabongo tuko bado nyuma sana sana sana....!lol
Lakini kama umesaini kuwa hutamtafuta halafu umtafute hapo unatafuta matatizoHata ingekuwa mimi ningehangaika hadi nimjue mwanangu alipo nimjaze ukwelii....
Na hapo ndo mwisho na mwanzo
Wabongo bado sana kufikia wazunguuLakini kama umesaini kuwa hutamtafuta halafu umtafute hapo unatafuta matatizo
Ila kwa wazungu ni jambo tofauti yaani unamtafuta unampata, mtoto ndio anakufungulia mashtaka kwanza kumuuza kama mbuzi na hatatamani kukuona na kuongea na wewe
Halafu baba ndio anakufilisi kabisa mahakamani
Asante kwa maoni, mtoto/watoto wakifa hiyo ni nje ya uwezo wa binadamu sababu kifo kinaweza kutokea katika namna tofauti hata bila IVF.Mtoto akifa/mzazi akifa pindi anajifungua itakuwaje??
Ya Mungu mengi.
Hiyo ni changamoto sana ndugu, kidogo hii inafikirisha sana..!!Mbona ndo kilichopo..watu wanamharass mtoa mada balaa had kumkashifu..ndo ujue wabongo tuko bado nyuma sana sana sana....!lol
Kwanza una moyo wa ajabu...! Mtu anajiona yeye mzima wa afya hajui kuna watu wanapitia mambo magumu sana kiafya...wanataka ufunguke...eish🙌Hiyo ni changamoto sana ndugu, kidogo hii inafikirisha sana..!!
najiuliza inakuaje jambo nataka kufanya mimi kwa gharama zangu ila mtu anataka lazimisha nifanye kama yeye atakavyo au niamini atakavyo yeye.
Wengine wanafika mbali zaidi na kuanza kutukana, kukashifu na dharau.
Maoni na ushauri ni vizuri na napokea ila kuna mambo mengine kama ya kashfa, dharau, kebehi kwa kweli yanasikitisha