Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Hawa vijana wanaongea tu! Hii kitu si mchezo. Ni uhai wa binadamu na kuna mwanamke ambaye ni binadamu anayebadilika kila kukicha! Ninao watato wa hivyo mie. Nakueleza Watoto wa IVF wana akili ajabu na ni wazuri. Hawaugui ovyo kama hawa wengine, hii hutamanisha masurrogate na kuanza kusumbua. Mtoto wa kwanza mke wangu alilazimisha surrogate awe mtoto wa ndugu yake, ila cha moto anakipata
Anamsumbua eeh?
 
Asante kwa maoni ndugu, ila huo ukweli unaosema ni sawa kwako ila kwa mtu mwingine unaweza usiwe sawa.
Pia hakuna uovu unaofichwa sababu tangazo lipo wazi kabisa masharti, sifa na malipo vipo wazi kwa aliye tayari.
Nini tatizo kwako?
Ila we jamaa ina maana mpaka sasa hivi hujafanikiwa huko PM?
 
Hata ingekuwa mimi ningehangaika hadi nimjue mwanangu alipo nimjaze ukwelii....
Na hapo ndo mwisho na mwanzo
Hehehehe....mbona yule mtoto wa CR hamjui mama ake na sidhani kama hata anataka kumjua mamaake[emoji848][emoji848]
 
Hehehehe....mbona yule mtoto wa CR hamjui mama ake na sidhani kama hata anataka kumjua mamaake[emoji848][emoji848]
Wabongo akili zetu tunazijua wenyewe
Kwanza tunapenda kusikiliza ujinga sana so hata mtoto akiambiwa mmoja sio mzazi wake lazima mauza uza yaanze...
Wazungu wametuzidi kila kitu
Kuhusu mama nae akishajua mpunga upo blackmailing huwa hazitaisha
 
Ila we jamaa ina maana mpaka sasa hivi hujafanikiwa huko PM?
Watu wengi wanakuja PM, ila lazima nizingatie vigezo na masharti.
Pia nimeweka mda wa siku mbili mfululizo kuanzia jana kujibu maswali yote hapa Jamii Forum ili niweze kufanya jambo bora zaidi kwa kusoma mawazo na maoni tofauti.

Leo usiku nitahitimisha, hivyo sitojibu ujumbe wowote kuanzia kesho asubuhi
 
Hata ingekuwa mimi ningehangaika hadi nimjue mwanangu alipo nimjaze ukwelii....
Na hapo ndo mwisho na mwanzo
Lakini kama umesaini kuwa hutamtafuta halafu umtafute hapo unatafuta matatizo

Ila kwa wazungu ni jambo tofauti yaani unamtafuta unampata, mtoto ndio anakufungulia mashtaka kwanza kumuuza kama mbuzi na hatatamani kukuona na kuongea na wewe
Halafu baba ndio anakufilisi kabisa mahakamani
 
Wabongo bado sana kufikia wazunguu
 
Mtoto akifa/mzazi akifa pindi anajifungua itakuwaje??

Ya Mungu mengi.
Asante kwa maoni, mtoto/watoto wakifa hiyo ni nje ya uwezo wa binadamu sababu kifo kinaweza kutokea katika namna tofauti hata bila IVF.
Hivyo kama ni mtoto/watoto wakifa mwanamke atalipwa kama kawaida sababu ameshatimiza wajibu wake.
Kama mzazi akifa pia ni kumshukuru Mungu sababu, ni kifo cha kawaida kama vifo vingine kwa kua IVF haihusishi operation yeyote wakati wa kujifungua wala haina hatari yeyote kwa mama mzazi, ila tahadhari zote za kawaida zitachukuliwa kuzuia vifo vinavyoweza kutokea mjamzito akijifungua na baada ya kujifungua,
tahadhari zitachukuliwa kama sehemu nyingine yoyote wazazi wanapojifungua
 
Mbona ndo kilichopo..watu wanamharass mtoa mada balaa had kumkashifu..ndo ujue wabongo tuko bado nyuma sana sana sana....!lol
Hiyo ni changamoto sana ndugu, kidogo hii inafikirisha sana..!!
najiuliza inakuaje jambo nataka kufanya mimi kwa gharama zangu ila mtu anataka lazimisha nifanye kama yeye atakavyo au niamini atakavyo yeye.
Wengine wanafika mbali zaidi na kuanza kutukana, kukashifu na dharau.
Maoni na ushauri ni vizuri na napokea ila kuna mambo mengine kama ya kashfa, dharau, kebehi kwa kweli yanasikitisha
 
Kwanza una moyo wa ajabu...! Mtu anajiona yeye mzima wa afya hajui kuna watu wanapitia mambo magumu sana kiafya...wanataka ufunguke...eish🙌
 
Back
Top Bottom