Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakupengeza sana dada yangu. Ukitaka kula haramu chagua iliyo nona. Kero za mimba na kuharibu mwili kwa hela kidogo hivyo?
Me nimemtania tu
Masharti ya kutokumuona mtoto wangu siyawezi asee