Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanunua mtoto kwa karibu milioni 60 unamtunza mpaka anafikia miaka 18 let say kwa milioni 60 nyingine halafu unamuuza kwenye black market kwa wanao harvest organs kwa milioni 600. Bonge la faida.. Mjini njoo na akili tu vingine vyote vitakuja vyenyewe
 

The point sio IVF lasivyo angebebana na mkewe kimya kimya wakafanya,
The point is mtu atoe mtoto wake (yai lake) tena eti amlee mwaka mzima halafu amuachie,
People just have questions which he refuses to answer so tunabaki na viulizo wengine tumejiundia majibu yetu,
Mfano kakataa kusema kama hata ana huyo mke ndomana me nimewaza labda ni mwana upinde anataka mtoto sa sijui watu wanatoa wapi huruma kwani kasema ana shida!
 
Wala haihitaji kua na ugonjwa wa akili, hii kitu Ughaibuni inafanywa sana tu.
Ina faida kuliko kutupa, kutelekeza au kuua watoto kisa maisha magumu na sababu kama hizo.

Pm ya jamaa huenda iko busy kupokea watu.

Tusubiri mrejesho.
Kwani we unaelewaje ugonjwa wa akili! Sio hadi uvue nguo
Pia watu wengi kufanya kitu haimaanishi ni sawa, unahitaji mfano?
Ni kama sperm donors wanaouza sperms kwenye sperm banks we unaona ni sawa? Unaona huna hela unaenda kupiga puli unauza mbegu.
Mwishowe mtoto anazaliwa kwa lesbian couples baadaye anahangaika kumtafuta baba yake halafu wanajikuta wako watoto 30+ wa huyo sperm donor, hii nimeona documentary

Kizazi cha ajabu sana kinakuja, kila kitu hoves
 
Asante kwa maneno ya faraja ndugu,
Mungu mwema, naamini hili jambo litafanikiwa.
Pia bado naamini kwamba kuna watu wengi wema kama wewe watakaoweza kufanya na kutoa ushirikiano kufanikisha hili jambo bila kuwaza kufanya hila au fitina zozote kabla ya ujauzito na baada ya kujifungua kama tangazo linavyoeleza.
 
Asante kwa maoni ndugu, ila huo ni mtazamo wako.
 
Kwa hizi gharamaa hata mie naweza afford, ngoja nimuambie baba tamu tufanye mpango tupate katoto ketu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mlongo honestly nimewazaa nimejikuta navaa viatu vyake nimetumia mnoooo...Lau ningeweza ningemzalia tu!!!inauma jamanii
 
Kaahh ...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mmekuelewa broohhh
 
Ameen naimani weye sio gay Wala lesbian ni mwanandoa kamili unahitaji mtoto Ili mpate faraja kamili ,Mungu awafanyie wepesi mnooo
 
Asante kwa maoni ndugu, ili nikukumbushe kwamba hili ni jambo hiari na sio lazima,
tangazo limeeleza malipo, masharti na sifa za huyo mzazi anayehitajika hivyo kwa mtu atakaeweza kufata hayo masharti na anazo sifa ndie anaekaribishwa.
Kuhusu kueleza kwamba nina mke hilo ni jambo binafsi na siwezi kulielezea sababu halihusiani na hilo zoezi pia halitohusiana na huyo mzazi atakaekua tayari kufanya IVF.
Pia kuhusisha hili jambo na mambo ya upinde niseme tu kwamba hayo ni mawazo yako binafsi
 
Sawasawa Mkuu all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…